How Europe Underdeveloped Africa

How Europe Underdeveloped Africa

MaxShimba

JF-Expert Member
Joined
Apr 11, 2008
Posts
35,771
Reaction score
4,065
Few books have been as influential in understanding African impoverishment as this groundbreaking analysis. Rodney shows the exploitation of the continent committed by the imperial countries of Europe, and subsequently the US, as aided by agents or unwitting accomplices in the North and in Africa. With oppression and liberation his main concern, he 'delves into the past', as he says in his preface, 'only because otherwise it would be impossible to understand how the present came into being ...In the search for an understanding of what is now called "underdevelopment" in Africa, the limits of inquiry have had to be fixed as far apart as the fifteenth century, on the one hand, and the end of the colonial period, on the other hand.' He argues that 'African development is possible only on the basis of a radical break with the international capitalist system, which has been the principal agency of underdevelopment of Africa over the last five centuries'. His Marxist analysis went far beyond previously accepted approaches and changed the way both third world development and colonial history are studied. Although first published in 1972, How Europe Underdeveloped Africa, remains an essential introduction to understanding the dynamics of Africa's contemporary relations with the West and is a powerful legacy of a committed activist and thinker.

books
 
Nimesoma hiki kitabu, nakubariana na Rodney katika mambo mengi lakini pia yapo mengi nisiyo kubariana naye
 
Rodney states:

"It can be said that most African societies had not reached a new stage of society markedly different from communalism."

Early European travelers to Africa were often impressed with what they saw. Rodney quotes an early Dutch traveler who visited Benin:

"The town seems very great. When you enter into it, you go into a great broad street, not paved, which seems to be seven or eight times broader than the Warmoes street in Amsterdam…The king's palace is a collection of buildings which occupy as much space as the town of Harlem, and which is enclosed with walls. There are numerous apartments for the Prince's ministers and fine galleries, most of which are as big as those on the Exchange in Amsterdam. They are supported by wooden pillars encased with copper, where their victories are depicted, and which are kept carefully clean.The town is composed of thirty main streets, very straight and 120 feet wide, apart from an infinity of small intersecting streets. The houses are close to one another, arranged in good order. These people are in no ways inferior to the Dutch as regards cleanliness…"

Obviously, there were great differences between Holland and Africa too. However, it is pure racism to portray Africa as barbaric and uncivilized prior to large-scale European contact. Such racist conceptions are not based in reality. They are part of a complex, evolving, and often contradictory narrative that has been used for hundreds of years to justify the plunder and exploitation of Africa by Europeans and other imperialists. Similar tales have been used to justify the imperial conquest of the Americas and Asia.
 
Nimesoma hiki kitabu, nakubariana na Rodney katika mambo mengi lakini pia yapo mengi nisiyo kubariana naye

Walter Rodney, Gora Ibrahim, Shivji ni majembe ya ukweli UD miaka ya mwanzo ya 70. Niliwashuhudia live hawa walimu wangu waukweli. Kitabu hicho nadhani ni marufuku Marekani na ndicho kilisababisha kuuwawa kwake.
 
Mimi pia nilikisoma hicho kitabu muda kidogo. Ila kwa hali ninayoiona Africa leo, nachelea kukubali sana maoni ya huyu bwana. Inawezekana kweli Europe walichangia na wanaendelea kuchangia, ila na sisi nao bwana.. dah!
 
Kwa nini unadhani hicho kitabu ni marufuku Marekani of all places?
 
Nakubaliana na wachangiaji wengi on the relevance of Rodney's book. What he presented was relevant wakati tulipopata uhuru, lakini mimi sioni umuhimu wake sasa miaka 51 baada ya uhuru. Tukitizama nchi kama India na Korea ya kusini miaka 50 iliyopita walikuwa na hali kama ya kwetu, lakini ukiangalia leo hii wapo mbali sana, sasa wamekuwa wafadhili wetu wakubwa. My opinion is we are lacking visionary leaders who can change economic landscape of this noble country of ours.
 
Kukosa MAONO na UBINAFSI ndo tatizo kuu la mtu mweusi!Mfano hai wa kihistoria MARCUS MUZAYA GURVEY. kaanda meli waafrika warud AFRIKA lakin YEYE AENDELEE KUBAKI AMERIKA.
 
Walter Rodney, Gora Ibrahim, Shivji ni majembe ya ukweli UD miaka ya mwanzo ya 70. Niliwashuhudia live hawa walimu wangu waukweli. Kitabu hicho nadhani ni marufuku Marekani na ndicho kilisababisha kuuwawa kwake.

Nimesoma kitabu chake hapa Marekani. Hakijapigwa marufuku. Siasa za Guyana ambako ni nchini kwake zina matatizo na yeye alirudi kule kwa nia ya kugombea urais. Hivyo kifo chake kinaweza kutokana na nia yake hiyo.
 
Marekani kimepigwa marufuku? si kweli. hakijapigwa marufuku. kuuawa kwake kulitokana na harakati zaidi ya kitabu hicho.

Walter Rodney, Gora Ibrahim, Shivji ni majembe ya ukweli UD miaka ya mwanzo ya 70. Niliwashuhudia live hawa walimu wangu waukweli. Kitabu hicho nadhani ni marufuku Marekani na ndicho kilisababisha kuuwawa kwake.
 
Nimekisoma lakini nakumbuka zaidi hoja moja ya hulka ya waafrika kuwa na serikali kubwa kama aliyounda kikwete 2005 alipoingia madarakani na Dahomey walikuwa na serikali kubwa kuliko ya Uingereza miaka hiyo ya nighten kweusi.
 
Kuna paragraph anasema Europeans are like Vultures siphoning the wealth of Africa
Well said Rodney maana ni ukweli usiopingika ingawa kwa sasa ningeirephrase na kusema
Europeans together with a few African leaders are shamelessly siphoning the wealth of Africa
 
Kama uwepo wa wakoloni (wazungu) umechangia uduni wa maendeleo ya waafrika.

Mbona Ni miaka takriban zaidi ya hamsini 50 tangu wazungu wameondoka Lakina hakuna jipya waafrika walicho kifanya katika mendeleo yao wenyewe.Mashule na Vitega uchumi bado ni vilevile walivyoacha wazungu na vingine vimekufa.

Badala yake mnawaita tena kwa kutumia lugha nyingine ya Uwekezaji, Gesi, mafuta na madini bado hamuwezi kuchimba wenyewe kwa miaka 50 sasa TZ bado haina wataalamu na technolojia to explore those resources. na bado bajeti nyingi za waafrika zinawategemea tena hahao wazungu.
 
Ya kwamba matatizo yetu yote tuliyo nayo yemetoka na Europe
Ni kweli kuwa matatizo yetu ya leo hayakusababishwa na europe kwa vile tumejitawala kwa muda mrefu kuliko ule tuliotawaliwa na europe- ukiondoa muda wa vita za dunia. Hata hivyo, ni lazima utambue kuwa kitabu hicho kiliandikwa mwanzoni mwa miaka ya sabini ambapo matatizo yote yaliyokuwapo wakati huo yalikuwa ni matokeo ya kutawaliwa na Europe kwa vile nchi nyingi za Afrika ndiyo tu zilikuwa zimepata Uhuru. Rodney ni mojawapo ya vichwa vilivyokuwa UDSM wakati huo, leo hii kuna akina Dakta uchwara wanaokuja hapa na polls uchwara za kuonyesha eti serikali ya CCM inafanya vizuri badala ya kuchambua mambo ya msingi!.
 
Kama uwepo wa wakoloni (wazungu) umechangia uduni wa maendeleo ya waafrika.

Mbona Ni miaka takriban zaidi ya hamsini 50 tangu wazungu wameondoka Lakina hakuna jipya waafrika walicho kifanya katika mendeleo yao wenyewe.Mashule na Vitega uchumi bado ni vilevile walivyoacha wazungu na vingine vimekufa.

Badala yake mnawaita tena kwa kutumia lugha nyingine ya Uwekezaji, Gesi, mafuta na madini bado hamuwezi kuchimba wenyewe kwa miaka 50 sasa TZ bado haina wataalamu na technolojia to explore those resources. na bado bajeti nyingi za waafrika zinawategemea tena hahao wazungu.

Hapa nakubaliana na wewe mkuu, yani mpaka simple tarmac roads bado wachina ndio wanatujengea, nadhani tatizo letu kubwa ni maono, you get the leader you deserve, we are always given an opportunity to change lakini we dont!
 
Mimi pia nilikisoma hicho kitabu muda kidogo. Ila kwa hali ninayoiona Africa leo, nachelea kukubali sana maoni ya huyu bwana. Inawezekana kweli Europe walichangia na wanaendelea kuchangia, ila na sisi nao bwana.. dah!
Rodney ameandika kitabu kabla makoloni ya Asia ikiwemo,India,Malasia,Indonesia,Honkong etc hayajapiga hatua kubwa za kimaendeleo kama iilivo hivi sasa.. Maendeleo ya nchi hizi ni ushahidi tosha kwamba tatizo siyo ukoloni mamboleo bali ni uwongozi mbovu tena mbovu haswa Afrika.
 
Sioni zaidi ya muendelezo wa kumkubalisha Mwaafrika kuwa bila Mzungu (wa mungu) Waafrika hatuwezi kitu.

Civilization ilianzia Afrika, history na dalili zote zinaonesha hivyo, lakini hatujijui hatujitambui na kuta nne za madarasa tunazoaminishwa kuwa zinatutoa ujinga, ukweli ni kwamba zinatufundisha kusoma na kuandika na kuendelea kutujaza ujinga wa kujiona kuwa sisi hatuwezi kitu bila ya wao.
 
Back
Top Bottom