How gunmen abducted Kenyan businessman in Tanzania

Inasikitisha sana...

Katakua kale kajamaa ambacho megaphone amekasema kana mtandao wake kanajivunia...


Cc: mahondaw
 
Ah msiongee sana bhana.
Hii haitofautiani na nyie kuwazuia wafanya biashara wakubwa kuleta bidhaa kwenu Bakhresa na Dewji.
Eti mkisema Tz wamehusika na uchaguzi wenu kipindi Odinga na Kenyatta wanakinzana.
Au ndio hivyo mkuki kwa nguruwe.
Kama alivyosema bro REDEEMER anastahili kama ndio alikuwa akifanya ujinga wa ufukunyuku ktk taifa la watu
 
Hizi tabia watu wanajiteka na magenge yao afu kutafuta popularity kwenye media ni upuuzi sana
Atekwe kwa kipi hasa alichonacho ambacho ni tishio hata kwa mmachinga achilia mbali system
 
Huyo alikuwa spy agent wa GoK, tangu lini Zitto awe na msaidizi mkenya, atakachopata huko ni hak yake i. Tuheshimu siasa za ndani za kila nchi.
Siasa ina thamani kubwa kuliko mtu!!!!!
 
Siasa ina thamani kubwa kuliko mtu!!!!!
Hakuna nchi inayo ruhusu foreigners waingilie siasa zao za ndani, huyo ni shushushu ana kiapo cha kuwa tayari kufa akitetea taifa lake na shushushu ukikamatwa popote duniani kuwa tayari kutendwa pia.
 
Hakuna nchi inayo ruhusu foreigners waingilie siasa zao za ndani, huyo ni shushushu ana kiapo cha kuwa tayari kufa akitetea taifa lake na shushushu ukikamatwa popote duniani kuwa tayari kutendwa pia.
Mna kitu gani cha kuficha mpaka mfanyiwe ukasusi?
Siwapendi wajinga waliosoma.
 
Mna kitu gani cha kuficha mpaka mfanyiwe ukasusi?
Siwapendi wajinga waliosoma.
Una mahaba na siasa hadi yanakupofua, hivi Kenya na Tz unategemea wasifanyiane ujasusi? Kuendelea kujadiliana kwa angle hii ni ujinga, tafuta nyumbu mwenzio kamjaze upepo Tz hawafanyiwi ujasusi ila ndio ujue tu huyo mkenya ameshapotea saivi atakuwa anawachoma wenzie wa cell yake waliopo bongo tu.
 
Mo aliwachoma waangapi?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…