Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Na MimiUnaposema ‘We’ unamaanisha wewe na nani?
Ah msiongee sana bhana.Mbona unatiririkwa udenda kama mtu aliyepagawa, hizi habari zimekugusa pabaya naona, kwa taarifa yako mkuu wa polisi Dar es Salaam bwana Lazaro Mambosasa amesema hana habari, pia ubalozi wa Kenya umesema hauna taarifa, sasa wewe mwenye taarifa zaidi nenda kamfahamishe huyo Mambosasa na ubalozi wa Kenya https://www.thecitizen.co.tz/news/1840340-5172984-8sf2qa/index.html
Hapana suala la uungwana hata moyo wako unajua tu sisi ni WAUNGWANA SANA TENA SANA.....hayo mengine aisee sijui ila sisi mashemeji kabisa tenaNa vile nilidhani watanzania ni wangwana.
Siasa ina thamani kubwa kuliko mtu!!!!!Huyo alikuwa spy agent wa GoK, tangu lini Zitto awe na msaidizi mkenya, atakachopata huko ni hak yake i. Tuheshimu siasa za ndani za kila nchi.
Hakuna nchi inayo ruhusu foreigners waingilie siasa zao za ndani, huyo ni shushushu ana kiapo cha kuwa tayari kufa akitetea taifa lake na shushushu ukikamatwa popote duniani kuwa tayari kutendwa pia.Siasa ina thamani kubwa kuliko mtu!!!!!
Mna kitu gani cha kuficha mpaka mfanyiwe ukasusi?Hakuna nchi inayo ruhusu foreigners waingilie siasa zao za ndani, huyo ni shushushu ana kiapo cha kuwa tayari kufa akitetea taifa lake na shushushu ukikamatwa popote duniani kuwa tayari kutendwa pia.
Una mahaba na siasa hadi yanakupofua, hivi Kenya na Tz unategemea wasifanyiane ujasusi? Kuendelea kujadiliana kwa angle hii ni ujinga, tafuta nyumbu mwenzio kamjaze upepo Tz hawafanyiwi ujasusi ila ndio ujue tu huyo mkenya ameshapotea saivi atakuwa anawachoma wenzie wa cell yake waliopo bongo tu.Mna kitu gani cha kuficha mpaka mfanyiwe ukasusi?
Siwapendi wajinga waliosoma.
Mo aliwachoma waangapi?Una mahaba na siasa hadi yanakupofua, hivi Kenya na Tz unategemea wasifanyiane ujasusi? Kuendelea kujadiliana kwa angle hii ni ujinga, tafuta nyumbu mwenzio kamjaze upepo Tz hawafanyiwi ujasusi ila ndio ujue tu huyo mkenya ameshapotea saivi atakuwa anawachoma wenzie wa cell yake waliopo bongo tu.
Kunani Mtwara mkuu?Hiwe funzo kwa wana kibera wote
Hiwe funzo kwa wana kibera woteKunani Mtwara mkuu?
Magaidi walioua wanakijiji Mtwara wadai kutaka kupandisha dola la kiislamu
IGP Sirro amewataka wanañchi wa Mtwara kutulia wakati vyombo vya ulinzi vikidhibiti usalama na kuwashughulikia mabedui walioua wananchi wenzetu. Kamanda Sirro amesema damu ya wananchi waliouawa haitapoteà bure jeshi la polisi litawatendea haki wahanga hao. IGP amesema bila kumung'unya maneno...www.jamiiforums.com
Kunani Mtwara mkuu?
Magaidi walioua wanakijiji Mtwara wadai kutaka kupandisha dola la kiislamu
IGP Sirro amewataka wanañchi wa Mtwara kutulia wakati vyombo vya ulinzi vikidhibiti usalama na kuwashughulikia mabedui walioua wananchi wenzetu. Kamanda Sirro amesema damu ya wananchi waliouawa haitapoteà bure jeshi la polisi litawatendea haki wahanga hao. IGP amesema bila kumung'unya maneno...www.jamiiforums.com