How gunmen abducted Kenyan businessman in Tanzania

Sinister

JF-Expert Member
Joined
Feb 18, 2013
Posts
1,531
Reaction score
1,577
Kenyan businessman, Raphael Ongangi, who was abducted on Monday night in Dar es Salaam was in the company of his wife when the incident happened.

The 9:30pm incident happened when Ongangi and his wife Veronica Kundya were making their way home.

Three gunmen reportedly intercepted the couple at the intersection of Karume and Msasani road in the neighborhood of Oysterbay, right next to Ugandan High Commission.

Three men then entered their car and forced Ongangis wife to the back seat and then drove them to Safari Beach near Msasani fish market.

INSTRUCTIONS

CCTV cameras at the scene of the incident showed there were three cars, two motorbikes and more men arriving along with the couples’ Land Rover Discovery Sport.

They moved Ongangi to another car and left his wife in the first car and left.

Sources who spoke to Nairobi News say Veronica was left with orders to wait for further instructions from the abductors.

They later called her and told her not to report the matter to the police or anywhere else and just go home.

ABDUCTORS

Veronica however reported the kidnapping to Oysterbay police and later to the Kenyan High Commission.

Since then the abductors have not communicated with Ongangis family.

Mr Ongangi has been running a transport business between Dar es Salaam, DRC Congo, Zambia and Rwanda.

This is not the first time in the recent past to hear and read about abductions and kidnapping in Tanzania.

Last year, billionaire Mohamed Dewji was kidnapped in Dar es Salaam but was later released.
 
Nilianzisha uzi kuhusu hili tukio ukapelekwa na kuungwa kwenye uzi mwengine kwenye jukwaa la Watanzania.....Hii issue ipelekwe kwa KoT iwake moto.
 
Tulieni dawa iwaingie vizuri
 
Na vile nilidhani watanzania ni wangwana.
Sisi ni waungwana sana ila nyie ndo mnaotaka kutuvuruga,nina rafiki yangu Mkenya anafanya supplying ya spare za magari ukinikuta naye mitaa ya Kariakoo jinsi anavyojiachia huwezi kumdhania kama si raia hadi aongee ndo utamng'amua.

Haya matukio hayabagui yeyote anaweza kufanyiwa hata mzawa so sio issue sana.
 
I head alikuwa mshauri wa karibu wa Zitto Zuberi
 
Nilianzisha uzi kuhusu hili tukio ukapelekwa na kuungwa kwenye uzi mwengine kwenye jukwaa la Watanzania.....Hii issue ipelekwe kwa KoT iwake moto.

Siku hizi wakenya mko insecure sana, sio kwa sababu ni Mkenya, Hata mtz anaweza tu kutekwa,
 
Unauhakika katekwa au kakamatwa??? Vitu vingne ka hujui tulia tu ndugu au unahisi we ndio unajukumu la kuuliza na si serikali ya Kenya???
Ukiona viongozi wenu wamekaa kimyaa ujue wanataarifa na yote yanayoendelea kwa huyo bwana nani sijui...
Ifke tym humu ndani watu mkue yaan now mmeanza kujiona na nyie ka mawaziri na mabalozi???
Nilianzisha uzi kuhusu hili tukio ukapelekwa na kuungwa kwenye uzi mwengine kwenye jukwaa la Watanzania.....Hii issue ipelekwe kwa KoT iwake moto.
 
Wakenya wanaishi kwa uhuru Tanzania mpaka wanashikiri harakati za kurudisha nyuma maendeleo ya nchi, sasa huyu nyumbu alikua anakosa kipi Tanzania mpaka ajiunge na kusupport harakati za kukwamisha serikali?

Ni mfadhili na ni mastermind wa Zitto, na huyu Zitto anajulikana ni kibaraka mkubwa wa mabeberu, hata kuna mkenya alikua akishiriki kuhamasisha maandamano na vurugu kule Arusha mpaka akapigwa risasi 2013

Hii yote inatoa picture ni jinsi gani wa Kenya tumewapa uhuru kiasi sasa cha kutupangia namna ya kuishi na kuingilia mambo nyeti kabisa

Sasa tutawanyoosha
 
Huyu atakoma, Na itakuwa ni funzo kwa Wengine
 
.
IMG_20190628_193838.jpeg
 
Unauhakika katekwa au kakamatwa??? Vitu vingne ka hujui tulia tu ndugu au unahisi we ndio unajukumu la kuuliza na si serikali ya Kenya???
Ukiona viongozi wenu wamekaa kimyaa ujue wanataarifa na yote yanayoendelea kwa huyo bwana nani sijui...
Ifke tym humu ndani watu mkue yaan now mmeanza kujiona na nyie ka mawaziri na mabalozi???

Tatizo la watu kama wewe hukimbilia kusoma comments kabla ya kusoma taarifa zenyewe, kama kingereza kinakupa changamoto, tafuta mtu asome na kukutafsiria ili uelewe kwamba alitekwa na sio kukamatwa.
 
Hivi kwa akili yako angekua ametekwa serikali yenu ingekaa kimya ??? Ntolee utoto hapa uliza serikali yenu ka haina taarifa ndio uje uandike ujinga wako afu utoto kweli yaani
 
Mbona unatiririkwa udenda kama mtu aliyepagawa, hizi habari zimekugusa pabaya naona, kwa taarifa yako mkuu wa polisi Dar es Salaam bwana Lazaro Mambosasa amesema hana habari, pia ubalozi wa Kenya umesema hauna taarifa, sasa wewe mwenye taarifa zaidi nenda kamfahamishe huyo Mambosasa na ubalozi wa Kenya https://www.thecitizen.co.tz/news/1840340-5172984-8sf2qa/index.html
 
Huyo alikuwa spy agent wa GoK, tangu lini Zitto awe na msaidizi mkenya, atakachopata huko ni hak yake i. Tuheshimu siasa za ndani za kila nchi.
 
Back
Top Bottom