How I imagine people in JF

How I imagine people in JF

Ohhh..I told you girl....., you are soo smart n genius...!
Yes whats up girl....!

Thats whats up girl!...i like you already!...you are my jf bff from now...even though i dont like making friends...
 
Kellyo1 umewahi kuona mtu anatumia politics kujenga nchi yake ?? --- give a leader silver or leadership he will choose silver ------- uliza kwanini
 
Kama mwana JF....,nimemaanisha pale tunapojadili mambo muhimu kwa mstakabali wa taifa letu. Hope umenipata Nyani Ngabu.

Duh! Aisee unaanza kuniogopesha...umeni-describe kama unanijua vile na si watu wengi wanaonijua humu ndani maana I can count them all in one hand....
 
Kellyo1 umewahi kuona mtu anatumia politics kujenga nchi yake ?? --- give a leader silver or leadership he will choose silver ------- uliza kwanini

Kuna watu wanadhani hivyo humu jf kuwa wanaweza kujenga nchi kwa politics only!....
 
I have to help her...she means when it comes to serious matter unakuwa serious to discuss lakini pia you can be fun and make jokes...unlike those who pretend to be stack on politics tuu wakidhani kuwa ndiyo smart move...kumbe ni some bogus move hata obama pia can be fun at times..kuna times za kuwa serious na kufanya jokes...

Thanks Kelly01 for a shoulder.......
 
I have to help her...she means when it comes to serious matter unakuwa serious to discuss lakini pia you can be fun and make jokes...unlike those who pretend to be stack on politics tuu wakidhani kuwa ndiyo smart move...kumbe ni some bogus move hata obama pia can be fun at times..kuna times za kuwa serious na kufanya jokes...

thanks Cupcake....I like Himawari too...she seems pretty cool to me....you two may kick it someday....
 
Duh! Aisee unaanza kuniogopesha...umeni-describe kama unanijua vile na si watu wengi wanaonijua humu ndani maana I can count them all in one hand....

hahahaha cupcake...himawari amefanya imagination zake...so dont worry!
 
Huwezi kujenga nchi kwa kukaa katika computer kubishana tu --- kama fani yako haikuruhusu kukaa hapo -- waache wenye fani hiyo wafanye kazi hizo wewe kahamasishe huko vijijini mitaani na sehemu zingine
 
Thats whats up girl!...i like you already!...you are my jf bff from now...even though i dont like making friends...

Ohh wow..welcome to the world...,I like people of your character....we can be friends even though you dont like making friends..!!!!
 
thanks Cupcake....I like Himawari too...she seems pretty cool to me....you two may kick it someday....

yeah she sound really nice....you know me i am not good in making friends but i like her and since you like her too...so i count her in she is my friend from now on....right?...au tutamuunganisha himawari na Masanilo...what do you think?
 
Nyani Ngabu
(a) Ana kitambi cha pombe za kienyeji
(b) Anavaa suruali zenye kubana makalio
(c) Ana mokasini za rangi nyeupe na mashati ya kubana mwili
(d) Mtaalam sana wa kucheza draft; halafu mbishi kupindukia
(e) Mwoga sana kutongoza akina dada;
 
Ohh wow..welcome to the world...,I like people of your character....we can be friends even though you dont like making friends..!!!!

hahahahaah...that sounds GREAT!....hi5!.I see my cupcake like you too!...you have good sense of humour.
 
Back
Top Bottom