How I Met My Wife

Utakuwa umesoma SUA
 
I salute you mzee. Una busara sana sana. Simulizi hizi zinanifunza mengi... zinanifanya zifikiri kwa kina zaidi kuhusu maisha yangu na familia yangu. Nimeongea kitu maishani.

Salute pia kwa waleta simulizi.


Sent using Jamii Forums mobile app
 
I salute you mzee. Una busara sana sana. Simulizi hizi zinanifunza mengi... zinanifanya zifikiri kwa kina zaidi kuhusu maisha yangu na familia yangu. Nimeongea kitu maishani.

Salute pia kwa waleta simulizi.


Sent using Jamii Forums mobile app
Kama una familia, make sure unaifuatilia kwa karibu ili mama asimalize kila kitu bila wewe kujua.
 
umuhimu wa wazazi kuzungumza na watoto wao kuhusu afya ya uzazi
 
Siku ya hukumu ikifika, nitamuonyesha Mungu hii thread. You've already been through heaven on earth, going to heaven again would be unfair to some innocent folks like me hahaa. Kudos bro, hii ni bonge la story!
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] he has been heaven on earth but he paid a price for it!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Pole sana mkuu.

James Jason
 
Pole sana mkuu
 
Mwingine yeyoye anaweza kuleta stori yake jinsi alivyompata mwenza

Karibuni

James Jason
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…