How I Met My Wife

Dah!!...Hii story nimeipenda bure kwa kweli

Enough Of No Love
 
Basi akawa analala chali huku kama ananivuta juu yake, sikuwa na namna ndugu msomaji. Nikaona ni jambo la busara sana kula tunda.

Dah!!...ulifaidi sana mkuu.

Enough Of No Love
 
KigaKoyo kaka yangu dunia ina masahibu makubwa sana kaka, wakati mwengine mtu anakusimulia yanayomkuta utaona kabisa huyu anadanganya, lakini kumbe ni ukweli mtupu, enzi za ujana wangu nilikutana na dada mmoja mrembo kutoka Arusha pale maisha club masaki akanisimulia jinsi alivyorubuniwa na tajiri fulani mkubwa kisha akaenda kumtelekeza kwenye shimo la machimbo usiku mkubwa katika Kafara za mali Baada ya kumlewesha chakari. Alikaa shimoni kwa siku 3 na kukumbana na mambo ya kuogofya sana, kutokea hapo Ndio alivyotambua ukweli juu uwepo wa Mungu. Alikuwa ananisimlia stori tunalizana mimi na yeye Kama watoto, makovu kwenye mwili wake hadi leo yanaonekana, ama kwa Hakika binaadamu tunapitia mengi na yakuogofya sana.
 
Mkuu

Jf idumu milele. We noma.
Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ukala tunda kimasihara nawewe... Halafu ukamtelekeza kama huyo tajiri...
Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…