How I Met My Wife

How I Met My Wife

Aaaagh! Kwenye hii story nimefika part 7 kilichonifurahisha kuliko vyooote ni pale sister wa singida yule nesi alivyokupa makavu live! Nimempenda sana! Na usomi wako ulikuwa hutaki matumizi ya condom,ulikuwa unaharibu maisha ya wasichana tu, Tatu alikumbeleza umpeleke kwenu aishi na kulea mimba yako ukakataa, kaitoa unamwacha. Umenikeraaaaaaaa, anyways naendelea kuisoma !

Sent from my Infinix X572 using JamiiForums mobile app
 
Kilaba hii hapa story....Nikiambiwa nitaje story tatu bora nilizozisoma humu ndani, THIS IS NUMBER ONE....yapili ni ya KHUMBU...ya tatu ni ya AMIDA...

enjoy yourself.
 
 
workshop
 
1st Of Nzi Chuma

Nami nimetamani sana kushare "how I met my wife" baada ya kuisoma hii ya Kiga, imenisisimua sana. Kama ilivyokua hiyo, utamu unaweza kuchelewa kukolea kidogo, lakini mdogo mdogo tutafika.

Tuanzie mwaka 2007 ambapo niliripoti advance shule moja Kilimanjaro kwenda kusoma PCM baada ya kukamilisha masomo yangu ya Olevel kule Tanga. Kutokana na ucheshi nilionao, uongeaji wangu na ubishi wangu, wengi wa wanafunzi wenzangu waliniambia nimekosea sana kuja kusoma PCM, nilitakiwa kusoma masomo ya arts ambayo wao waliamini yangenitoa zaidi. Upande wangu mimi kilichonivutia kusoma PCM ni kwa sababu naipenda sana hesabu, sana tena na ndo ambayo baadae niliifanyia degree yake na ndo inayoniweka mjini kwa sasa. Mwaka 2008 waliripoti form 5 wapya sisi tukawa rasmi ni kaka sasa maana shule yetu haikuwa na Olevel. Madogo wa form 5 wakanizoea sana haswa wa bwenini kwangu na walipenda sana ucheshi wangu na jinsi ninavyopiga nao story. Siku moja ukazuka ubishi mzito baada ya kuwaambia madogo kuwa mimi ninao uwezo wa kumtongoza demu yeyote kupitia simu ambaye nitapewa namba yake. Wengi walibisha wakidai kwamba haiwezekani, kama vipi nipewe namba. Sote tunajua kuwa simu haziruhusiwi shuleni lakini wakorofi walikuwa nazo na ukizingatia ni shule ya boys tupu tena advance only, hakuna mwalimu alijali sana. Basi kijana mmoja kwa jina la Mzamil yeye akatoa namba akidai kwamba huyu dada yeye alikosea namba na kumpigia. Kwahy akataka nimpigie huyo demu na kumuweka loudspeaker ili bweni zima wasikie ninavyosaundisha, nikapewa na simu ambayo ina salio la kutosha kwa ajili ya kazi hiyo. Nikaipiga ile namba ambayo nakumbuka ilikuwa ikiishia na 999 ikaita sanaa lakini haikupokelewa (kumbuka ulikua ni usiku wa saa 4), bila shaka huyu dada atakuwa alikua amelala. Basi wale jamaa wakaona hiyo sio shida, nipewe namba nyingine ya dada ambaye anaitwa Sophy. Huyu Sophy alikuwa na ukaribu na huyu mtoa namba huko kwao Morogoro, jamaa alidai kuwa ni mtoto wa mjombaake. Nikampigia Sophy na kwa bahati nzuri akapokea.. Haloo.. Hellow Sophy... Nani mwenzangu..? .. Nzi Chuma hapa.. Nambie Nzi Chuma... Nikamwambia mimi nahitaji urafiki mwema na ww dadaangu... Urafiki gani hatujuani...?? Jamaa wakacheka bweni zima baada ya mimi kujibiwa hivyo kitu kilichomfanya Sophy ashtuke na kukata simu. Wengi walinikejeli kwamba sina jipya na wengine waliniambia unaweza. Basi mimi nikaomba namba zote mbili, ile ya Nai inayoishia 999 na ya Sophy nikasave kwenye simu yangu kisha nikajipumzisha.
Wakati nautafuta usingizi, simu ile ya kwanza ambayo niliitumia kupiga namba za Nai ikawa inaita, jamaa mwenye simu alipoona ni Nai ndo mpigaji akaniletea hadi kitandani kwangu, mimi nikashuka na kwenda kuongea nae nyuma ya bweni. Licha ya kuwa Nai hakuwa ananifahamu, lakini alionyesha anapenda sana urafiki, akafurahia maongezi yetu ambayo niliongea nae kwa zaidi ya saa nzima. Kabla ya kukata simu nikamwambia kuwa hii sio namba yangu, simu yangu ilizima tu chaji ndo maana nkatumia namba ile kumtafta, hivyo nitamtext kwenye namba yangu na tutaitumia hiyo namba kuwasiliana. Uzuri wa Nai alikuwa muelewa saaana, alinielewa bila ubishi. Kesho yake tena, Sophy akapiga kwenye ile namba, jamaa akaniletea simu, nikaongea na Sophy ambaye alinieleza vitu vingi sana kuhusu yeye, ikiwemo suala la jana usiku ambapo alikuwa amelewa halafu mimi nikawa namzingua. Nikahisi hapa kwa Sophy nimepotea njia, mimi na pombe wapi na wapi? Sikuwahi kujaribu wala kukaa sehemu wanapokunywa na wakati huo ndo kwanzaa nipo form six basi mtu akitaja mambo ya Pombe sijui nilikuwa namuona vipi..
Siku zikawa zinaenda, sikuacha kuwasiliana na yeyote kati ya Nai wala Sophy, tulichat sana, kuongea sana na simu usiku.. Kuna kipindi ilikuwa inabidi nitumie uongo ili niweze kuongea nao wote wawili. Naweza nikaongea na mmoja kisha nikamwambia ngoja nikasome kwanza kisha nikampigia mwengine. Nai yeye alikuwa mwanamke wa mfano wake (na nikiri kuwa sijawahi kukutana na mwanamke wa sampuli hii maishani mwangu), yeye ukimwambia "wait nitakupigia" hatosumbua mpaka umpigie. Yaani ni mwanamke flan ambaye nahisi amelelewa katika mazingira flan ya kustaajabisha au amejiongeza tu. Kipindi hiki ambacho mimi nipo form six, wote Nai na Sophy walikuwa wapo mtaani tu baada ya kumaliza form 4. Nadhani tulimalza nao form 4 lakn matokeo yao hayakuwa mazuri kuendelea na advance. Sophy yeye alikuw ni mtoto wa mwalimu na Nai alikuwa mtoto wa kigogo flaniz wote Sophy na Nai waliishi Moro.
Siku hazigandi, nikamaliza form six nikarudi nyumbani Tanga, nikaenda shule niliyosoma Olevel kuomba part time (kipindi kile shule zilikuwa na uwezo wa kuajiri) nikapewa part time nikawa nafundisha Physcs & Maths kwa malipo ya sh 150k kwa mwezi mmoja, nikaona sio mbaya nikaendelea kupiga piga hapa kwa sababu kutokea February nimemalza form six mpaka October kwenda chuo ni muda mrefu sana. Nikafundisha pale kwa mwezi mmoja na kupewa cheque yangu ya 150k, kwakuwa mawasiliano yangu na Nai pamoja na Sophy yalikuwa yanaendelea kama kawaida, nikaona sasa ni muda muafaka wa mimi kwenda Moro kuonana na kufahamiana na watu wote hawa wawili. Nikachomoka Ijumaa ya wiki ile jioni kama saa 10 nikapanda basi na kwenda moja kwa moja mpaka Dar, nakumbuka nilifika dar yapata saa 4:30 usiku.. Moja kwa moja hadi Tandale ambapo nilienda kwa dada yangu na kulala hapo ili safari ianze asubuhi ya kuelekea Morogoro.

Wazee nimeona nianze kidooogoo.. Leo sina nguvu sana, ila kuanzia kesho itaendele kwa urefu sanaa..

Tuwe pamoja mpaka tuone nilipataje mke wangu, msichoke kufuatilia wala msikate tamaa mapema, naamini kuna mengi sana ya kujifunza katika story hii...

Sent using Jamii Forums mobile app
Hap nitaendelea kesho....
Nimemmaliza KigaKoyo na bonge la story... Big up sana
 
the continuing story of how I met my wife


.......The end of the beginning........


Familia yetu na ile ya Nasra na Mussa ziliendelea kuwa karibu. Hasa ukaribu wa Nora na Nasra. Nasra alifanikiwa kujifungua watoto mapacha, boy and a girl. Wakati wanazaliwa sikuhisi kitu, bt tulivorudi home Nora ndo akanambia, “wale watoto ni wako bro”. sikuamini. But baada ya miezi sita, ndo nikaona kabisa hawa wangu hawa. Ila ndo ntafanyaje. Nlijua kabisa Nasra amelitambua hilo bt sio sisi wala yeye aliyelizungumzia. Kwa upande wa Mussa sijui alijua akaamua kuuchuna, au hakua ametambua bado.

Watoto wakiwa na miezi saba tu, tukapata taarifa Mussa amepata ajali ya gari. And after two days he passed away. Baada ya maziko, Nasra akarudi kwao magomeni, but hali ya kifedha ya wazazi haikua nzuri sana, so Nora akawa anajitahidi kumpa tafu rafiki yake ila yale mazingira hayakua condusive kwa watoto. Nora ndo alisuggest, akanambia wale watoto itabidi tufanye namna tuwachukue.

Sijui Nora alimshawishi vipi Nasra, akakubali akahamia pale kwangu. Mwanzo akawa ananionea sana aibu, hata sikujua sababu. But kadri miezi ilivyoenda ndo alizidi kunizoea kama shemeji sasa. Kule Arusha biashara home zilikua zinayumba balaa. Nikamwambia sis, Nora aingie kwenye management. So baada ya chuo tu kuisha, Nora akawa muda mwingi yupo Arusha. Dsm tukawa tunabaki na Nasra. Akiwa Arusha Nora akawa ananiambia, ukijisikia kula we mle, I know anakupenda, na najua wanaume utakua unamtamani ila unaogopa hahahha. Nikawa kwa kweli sina mpango.

Nakumbuka ilichukua few months Nora kubadilisha hali ya kampuni, hadi akafungua tawi lingine hapa Dar, ili kurahisisha export processes. So Nasra akapewa job kwenye ofisi ya dar. Everyone was happy. Nora oneday akaniuliza kama nshakula, nikajibu hapana, akanambia tu shauri yako, mzigo utaanza kuliwa na majirani then watoto wako wapate baba mpya….. Nora alikua serious, sijua aliongea nini na Nasra, but one day Nora akiwa hayupo, nikashangaa kuanza kuona mabadiliko ya kimavazi akiwa mle ndani. Sometimes sketi fupi, sometimes bukta dah, na ile shepu nikajua tu hapa nakaribishwa. Kama utani tu siku moja tumekutana kwenye korido, nikamshika mkono nikaanza kumuongoza room kwake, naona anakuja tu hata hapingi.

Nora yeye alinipenda sana tu. But alikua na ule userious flani hivi na misimamo ile ya kama umekosea atakuchana live, so ule ‘u-kike’ hakua nao sana. Nasra yeye ni kama amefundwa namna ya kumhandle mwanaume. She made sure nimekula vizuri, nimeoga, nimenukia na alikua na ule upole wa kike, yaani hata kama hajakosea atakuomba msamaha. Cha muhim Zaidi alimheshim sana Nora, akiwepo hajishughurishi kabisa na mimi. Na niliona ubest wao ndo unazidi. Nasra akawa ananipush sasa nioe ili niwe kwenye ndoa. Nikamwambia, nikioa si ataninyima, “Mama Tafa mwenyewe keshaidhinisha, mimi sina mpango wa kuolewa tena wala kuongeza mtoto, as long as im with the man I love nimeridhika kuwa nilivyo”

Kweli tulifunga ndoa, tukahamia mitaa ya tegeta nyumba kubwa Zaidi. Now miaka minne since nimemuoa Nora. Kama unajiuliza Nora alikua serious kuruhusu kushare na Nasra, jibu ni ndiyo. Sio mara moja ashanisurprise kwa threesome. Sometimes hotel room najua yuko alone, nawakuta wote wako ready kuliwa. Sometimes naangalia football sitting room nikienda kulala nawakuta wote bed, Tunapiga mechi ya mtu tatu kiroho safi.

Kwa sasa game za Nasra zimepungua kiasi maana alihamia Arusha, na Nora akaja Dar. Kids wote wako na Nasra Arusha, we are planning kuongeza mtoto mwingine na Nora. And by the way, watoto wa Nasra wakiwa wadogo kabisa tuliwabadilishia kabisa na vyeti vya kuzaliwa, ndugu wa Mussa ilibidi waambiwe ukweli kuwa damu sio yao.


So ladies and gentlemen, that's a story of how i met my dear wife Nora.View attachment 1388509

Sent using Jamii Forums mobile app

Daaah nimesoma nimemaliza kwa raha na bado Tamuu Broo...... ila Yote kwa Yotee Unafaidi xana Kuishi mzee Natamani nivaee Viatu vyakooo Dadadekiiiiii.....
 
Back
Top Bottom