Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
1st Post
**********
Mwandishi: KigaKoyo
This is a story of how i met my wife and not merely how i hit the mom and dota. Natanguliza radhi maana udambwi unaweza chelewa kiasi ila you will not be disappointed ukianza.
Baada ya chuo watu wanakuaga na zile resolutions za maisha, how they want to play their game in life. Kwangu mimi nilianza pia kuwaza kujitegemea zaidi, maana i felt like maisha yangu yote yameamuliwa na mama yangu. She chose shule ya kusoma, nini nisome, chuo gani, course gani, nikae wapi, ninunue nini etc, so hata zile papuchi nlizokua nakula chuo niliona ilikua ni kwa sababu ya support ya my mom. Maana she made me live like a king. I wanted change.
So i returned home and started working in a family company, ila ilikua ni kampuni ambayo utaalamu wangu haukutumika sana and kibaya zaidi my twin sister ndo alikua boss wangu. Nikihitaji hela, inabidi nimpigie magoti sis. Nikamwambia mom, i can't do this, nataka niajiriwe mahala pengine.
Baada ya siku tatu mom ananiambia nenda Dodoma ofisi fulani kuna kazi uliyosomea. Nikawa very excited. Kufika Dom bana, naingia that office nikaelekezwa ofisi ya raslimali watu. Kufika reception ya ofisi nikamuona dada mmoja wa makamo, kavaa sketi wanaziita penseli, ingawa ni ndefu ila inachora umbile lake lilivyo, juu amevaa blouse ya light blue. Nikamsalimia shikamoo, akajibu then nikamuomba kuonana na boss wake ananiambia kaa hapo usubiri, mnyamwezi nikakaa yule dada kaingia ofisi ya ndani. Baada ya nusu saa akaingia binti mwingine mfupi amebeba tray lenye thermos, mayai na slices za mkate. Kaniuliza vipi? Namsubiri boss. Mbona yupo ndani? Ndo nikagundua nilibugi stepu.
Nikazama ndani, samahani nyingi na nini. Shida yako? Nikaulizwa, nikajibu. Vyeti na barua ya maombi ya kazi? Dah hata sikua navyo. Boss kaanza kuwaka pale, nyie mnaotegemea vimemo kwangu hampiti, kalete vyeti uviache kwa secretary, kesho interview, na usidhani uko alone uliyeletwa kwa vimemo. Dah mtihani.
Nikasema ngoja nirudi zangu tu home hapa hakuna kazi. Nikiwa naenda stendi nikakumbuka resolutions zangu za kufight alone. Nikasema hata kama sio pale ila ntatafuta chochote chakufanya hapa Dom. Cha kwanza nikaamua nikaprint vyeti vyangu from my laptop (hiyo kumbuka ni mwaka 2008), then nikavipeleka ofisini. Then what next, nikachukua room moja ya hotel nzuri pale Dom, nia ni kuwa nitafute manzi mzuri ambaye ntapitisha nae siku. Kuna msimamo mmoja ambao mpaka leo ninao, sichukuagi dem tu ilimradi dem, lazima akidhi vigezo vya ubora niliojiwekea, ambao sio wa kitoto ndugu msomaji. So siku hiyo nimezunguka jioni viwanja kadhaa hasa maeneo ya chuo cha mipango ila sikufanikiwa.
Kesho yake kwenye interview kidogo nijikojolee, maana yule HR ambaye baadae nolimfaham jina anaitwa Boss Rona alikua kama amenikamia mimi, ananiangalia kwa hasira ananiuliza maswali ya ajabu ajabu basi tu nikaona huyu hanipendi. Majibu yametoka tumepita mimi na dada mmoja anaitwa Lyamuya (jina la ukoo ndo mara nyingi tulikua tunalitumia) what a surprise!!!!!!. Badae Boss Rona akatuita kutupa orientation pale, tukatambulishwa kwa regional manager na wafanyakazi wengine, then akaniita pembeni akaniambia"inawezekana uliletwa Dodoma kwa kimemo, ila kwenye interview umepita kwa uwezo wako, i expect you to help the department utakayokuwepo" nikashukuru Mungu.
Hii ofisi ilikua ni ya Uma, ni shirika la serikali so mishahara inachelewa kweli kuanza kuflow kwa waajiriwa wapya. Kwakuwa niliazimia kujitegemea hela aliyonipa Mom nilitafuta gheto nikalipa, na hata mwezi haukuisha ikakata. Mm ni mtu ninayejipenda, always ntavaa vizuri na ntahakikisha nanukia vizuri, so nikajua nikiomba wafanyakazi wenzangu mkopo watajua nawatania kwa jinsi nilivyo. Boss Rona, ndo sikutaka kabisa kumfuata maana najua hanipendi. Nikamfuata boss mkuu, kaniambia nenda kwa HR duh.
Nikagonga kwa heshima pale ofisi kwake, miguu nimeibana, mikono nimeishika pamoja kwa mbele kama nanawa[emoji1787][emoji1787]. Yaani naingia ofisini ni kuanzia magotini kwenda chini tu ndo kunatembea. Bt one thing i know for sure nlikua nimependeza, kuna hivi vi Sweater vilikua fashion kipindi kile vina vimraba vyeupe na vyeusi kwa mbele, nime roll up the sleeves, a Rolex watch, silver necklace, kodrai nyeusi na raba nyeupe, na Mungu kanipa Sura na kimo. Sema mbele ta HR nlikua nakua kama mtoto. Baada ya salam, nikamweleza shida yangu, nimeishiwa boss, kaniangaliaaaaa, then nikaanza kuona anaingiwa na huruma machoni, nikahisi huyu atakua na mtoto so anapata ile huruma ya mzazi. Akaniuliza, is everything ok at home? Nikamwambia yeah, bt wanajua nina kazi now so nataka wapumzike. Kaniangalia tena kama dkk nzima, then nikasikia anamuita secretary, muite mhasibu. Basi akanisaidia kupata advance salary na kitu kinaitwa subsistence allowance.
After that nikajibana matumizi sana, nakumbuka ratiba yangu ilikua nikitoka job, uwanjani kucheza basketball, nikirudi napika, naoga, najisomea mambo mbalimbali then nalala. Weekend nacheza na watoto wa majirani pale, mchana naenda kushinda garage flani hivi ya mshikaji tunacheza nae kikapu jioni tizi au kwenye kijiwe cha saluni ya mshikaji then kupika kulala. The lifestyle made me popular, bt no dem. Pale nilipopanga kuna manzi ambaye hajafika vigezo vyangu alionesha wazi ananitaka bt sikutaka mazoea. Ila kuna mshikaji akanitonya demu wa hivyo hachelewi kukutangazia ww shoga au hudindi, dah. So tunafanyaje? Dawa ni mbili, kumla yeye ili kuzuia rumor kabla haijaanza, au tafuta manzi umle na majirani washuhudie, duh.
Option ya kwanza was out of discussion. Ya pili was more appealing, sema itanibidi nishushe kidogo viwango. Huyu mshikaji aliyekua ananipa hizi option kwao wanaduka na ndo nlipokua naenda kupiga nae stori, sasa mdodo wa kike ni kisu balaa, sema mfupi halafu ndo kamemaliza form four so bado kadenti ila nikasema mbinu ya bro itabidi itumike kwa hakahaka.
Sikuchelewa hata, next day jioni nikaibuka kwao na msela, nikamkuta kavaa kisinglendi chake, bahati nzuri mdogo wake nae alikuepo dukani, basi jamaa katoka tukawa tumekaa kwa nje, baada ya muda nikasubiri muda hakuna mteja nikamwambia mshkaji ngoja ninunue soda tunywe, nikasimama, jamaa katupa mgongo, nikajidai kuagiza pale huku nimechukua peni nikaandika juu ya gazeti lililokua pale kwenye counter ya duka, nlijua nina a window of only few seconds so sikuandika maneno marefu, "kesho saa tisa uje uchukue zawadi yako kwangu" nikahakikisha ameona, nikachukua soda nikakaa.
Kesho ilikua ni public holiday nakumbuka, so nikakaa kusubiri. Tena sikukaa ndani, nje ili hata majirani wakiwa ndani mwao akifika nifanye juu chini walau mmoja wa majirani ashuhudie mgodi ukizama. Bahati ilikua upande wangu, muda manzi anakuja yule mdada anayenitakaga alikua yupo nje, so wala sikuchelewa. Ingia ndani, nikafunga mlango, kugeuka namuona bado kasimama, nukamfata kwa nyuma kumhug, kakajichomoa eti zawadi yangu ilo wapi? Yaani hawa watoto wa shule ndo maana sipendagi, visumbufu balaa. Nikakaambia nilichelewa kununua ntakununulia tukitoka, eti kakataka kuondoka, kama zawadi hamna basi ntakuja ikiwa tayari.
Nikaona fedheha inaninyemelea maana yule dada akiona manzi katoka baada ya dkk tano si ndo mtaa mzima utaambiwa mm sio rizki. Nikakaambia nlikua nakutania, ile perfume nilikununulia, bahati nzuri haikua imetumika sana ni kama imejaa,. Kakafurahi, nikaanza tena mautundu. Kana nistopisha, eti kanauliza, nikikutwa na mwanamke wako? Kidogo nikazabe makofi, nikasema hawa watoto wanahitaji nguvu sometimes. Alikua amevaa suruali flani ya jeans. Yaani ndugu wasomaji, ilinichukua almost one hour kumtoa hiyo suruali, ila sikujuta. Ngozi ya yule binti ilikua very soft, yaani unajua ule usoft mbaka unahisi unaeza muumiza ukimpapasa. Ingawa alikua amelala kifudifudi, pichu nyeusi, kitop cheupe ila mkono wangu haukubanduka kwenye nyama laini za tako lake. Waungwana nlikua na ugwadu wa miezi kadhaa, nilivyoona katulia macho kayafumba, mzee nikapenya. Nimeshughurika nako mpaka mida ya saa 12 hivi kakaondoka, perfume hata hakakukumbuka tena.
Kwa kuwa kalikua jirani sikutaka tena. Kalishaserve the purpose. Nikawa naenda kwa msela maramojamoja nikikakuta kananipa shikamoo yangu, naipokea then napiga stori na mchizi.
Stori nikaanza kuzisikia saluni, eti nasikia unang'oa mdogo wake flani, mi nakanusha. Nikaona hapa mtaani nishachoma nyumba natakiwa kuhama (ushauri kwa mabaharia, usiharibu too close to home). Nikaanza kumuomba Boss Rona anipe makazi kwenye nyumba za shirika. Nilijua kule kila nyumba iko independent so ntakua free. Boss ananikazia tu, ooh, nyumba hakuna ingawa taarifa za kiinteligensia zinasema zipo, oooh subiri kuna walio leta maombi kabla yako, ingawa najua hakukua na mtu anayetaka makazi kule kwa wakati huo. Basi tu nikajua boss anaendeleza roho mbaya yake kwangu.
Boss Rona alikua ni wale wamama wanaojitunza, umri wake ni 37 ila ni kama ana 27, she was not very beautiful bu she was sexy, and she knew it, maana alijua namna ya kuvaa nguo zinazoonesha assets zake, miguu and hips. Alikua pia anavaa miwani kitu kilichofanya aonekane even more sexier kwangu, bt tuliishia kumsifia tu tukiwa na colleagues hakuna ambaye alishathubutu kumnyemelea. Then one day akaniita ofisini, nimefika sioni cha maana anachoniambia, mwishoni akasema nimekupatia house,............ weweeeeeee weraaaaaaa, nilishangilia nikamfuata bila hata kukusudia nikamhug, ooh thanks boss, God bless you nyingi na nini. Badae kasema, why so desparate kuhama ulipo? Basi sipapendi tu, uswahili mwingi, boss akasuggest tukapatembelee makazi mapya nipaone.
Baada ya kazi kanichukua in her Suzuki hao mpaka quarters. I liked the position, ipo mwanzoni kabisa, mgeni anafika kwangu hakuna anayemuona. Basi kanipa keys tukazama, ananionesha pale utaweka kitanda, hapa uweke meza, sasa zile movement zake zikanifanya niwe namchora vizuri. Najua alinotice macho ya kifisi yanamtamani ila hakusema kitu. Baada ya muda kanirudisha hadi mtaani, nikamwambia karibu ndani. Hakupinga wala nini, anajidai kuvua viatu nikamkataza, yeye anasema hajazoea kuingia ndani na viatu akawa katoa kimoja nikafanikiwa kumzuia asivue cha pili, sasa ile kuzuiana tukajikuta tunagusana gusana, nikamsogeza akakaa kitandani, then nikachukua kiatu kingine nikaanza kumvalisha.
Leo alikua kavaa kigauni ambacho kiunoni kinafungwa belt, nilivyokua pale chini namvalisha akawa kanyoosha mguu ili nikiweke vizuri kiatu, sikuishia kuvalisha kiatu mazee, nikaunyanyua zaidi kidogo mguu wa boss Rona nikawa kama naumassage, mikono ilivyofika kwenye goti nikaizungusha nyuma ya goti nikaweka lips juu ya goti. Mikono ikawa inamove kwenda ndani zaidi, ikilisogeza gauni pia na kutoa nafasi kwa ulimi wangu utembea na paja kwa juu. Nikaona mwenyewe kalala kitandani, nikaendelea na zoezi langu mguu wa pili, then nikaikamata pichu nikaivuta magotini,(hua ikifikishwa hapa inashuka yenyewe kama inajua vile, chupi bana[emoji4]), Rona gauni lipo kiunoni, chupi hana, nikama mwili unanialika, nikatoa shati, nikafuata mate. Wow. Mpaka leo hua nikisikia wimbo wa Rihanna "whats my name" hasa ile intro ya drake, "i had you girl with them soft lips" namkumbuka Rona.
Those lips were sooooo soft and sweet, kidogo nisahau kuna kitumbua kipo wazi huku chini. Yeye ndo alinikumbusha, maana alianza kufungua mkanda na zipu ili amtoe babu. Alivyofanikiwa akaniweka sawa kati kati yake akaishika mashine mwenyewe kataka kuipenyeza, nikajichomoa, nikapiga magoti nikamgeuza. Kuna watu wamekariri goli la kwanza lazima liwe kifo cha mende. Kwa kweli siku hiyo sikutaka scenario yoyote iingilie kati tamanio langu kuu la kuona tako la boss likitingishika wakati napiga machine. Hata Rona mwenyewe alikua kama surprized hivi, nikamtenga vizuri, kumbuka mimi bado jeans yangu sijatoa na Rona pia gauni bado lipo usawa wa kiuno, chupi imekwama kwenye kiatu cha mguu mmojawapo (yes mpaka sasa hajavua viatu), kifua chini (sio mikono au viwiko) kiuno juu, ...... yah yah yah yah yah yah (in the voice of yule mzungu alicheza picha ya gods must be crazy). I enjoyed. Chapa sana vibao vya matako huku speed ikiwa speed constant. Gauni lile likitaka kushuka zaidi kifuani nalipandisha inakua kama kata K, or sometimes naliruhusu liyafunike the inakua kama ni kinguonguo, yah yah, yah, yah. Huyu sasa sikua na haja ya kusubiri majirani wamuone, they heard her.
That was a start of a relationship that took many years a daughter to break. Hiyo siku isingekua anawatoto home, angelala. Yes, Rona ana watoto watatu, mmoja wa ujanani (alimpata akiwa 18y.o) anaitwa Nora yuko Ifakara girls, wapili ana kama 8 yrs na wa mwisho ana 4 yrs. The husband yuko dar kikazi pia, wanaonanaga kwa mwezi mara moja.
Over the months, Boss Rona alitokea kunipenda sana, yaani hadi ofisini kwenye vikao akawa akitaka kuwakaripia watu, najikuta nakua upande wa anayekaripiwa basi boss anatulia anaishia kusema next time uwe makini Juma[emoji1787][emoji1787]. She tried to remain professional, ila i know she was obsessed with me. She wanted me all the time anywhere, nakumbuka oneday yupo kwenye kikao chao cha management, akanitumia msg, i want you now. Mvua kubwa ilikua inanyesha that day, so nje hakukua na movement za watu, nikapitia kwa secretary wake nikamwambia boss amesema unipe funguo za gari yake, then nikachukua mwamvuli hadi kwenye Suzuki,. Parkimg ilikua nyuma ya majengo ya ofisi zetu. Nlivyofika nikamtumia msg, nipo kwenye gari yako njoo now. Akajibu i cant, we are about to discuss important issues kutoka HQ,. Nikamwambia sijali, i want her now. Nikazima simu.
Nikaona kwa mbali mtu anakuja, nikateremsha kabisa suruali, akaingia kanikuta siti ya nyuma nishamsimamishia mashine, hakuchelewa, akaipanda. Mm nacheza na mapaja, na makalio, yeye ananiymnyonya lips huku anakatikia rungu. Huko nje maji ya mvua yanatiririka kwenye vioo. She screamed when she came and stopped, but hakuchomoa. Akawa ananiangalia tu, ananiambia thanks babe. For what? Kaniambia kwa kutimiza fantasies zangu. Zipi? Kajibu kutiwa kwenye mvua kama hivi, kutiwa huku nasubiriwa nimetoroka kwenye kikao. Nikacheka. Kuna fantasy nyingine imebaki,. Akacheka pia. Akajichomoa kajifuta fasta anataka kutoka. Nikamsgika mkono, nambie your other fantasy, ... oh, babe, nasubiriwa nimewaambia ninaongea na simu emergency. Nikamuacha bt alivyofungua mlango akatoka, akarudisha kichwa kwene gari akanikiss then akasema, my other fantasy ni kutiwa gerage na fundi magari. Then kasepa. She is crazy, or is she?
Ratiba yetu ikawa ni kila weekdays, tukirudi home, anapitia kwanza kwangu. Uzuri na yy aliishi kule kule quarters za shirika na nyumba yake nikiwa sebuleni kwangu naiona kwa nyuma. So weekends akiamuaga akiwa kwake ananipigia nakuja sebuleni then anatoka nyuma ya nyumba yake anajifunua nione chupi aliyovaa, au anacheza kwa kukata mauno (and she knew how) so ilikua burudani tosha.
Jumamosi moja jioni nikanyatia hadi kwake, nakumbuka mumewe alikuepo, nikaenda hadi anapopaki gari yake nikavunya taa ya indicator. Asubuhi nikawa nafanya zangu jogging nikajidai kugonga kwao,. Akatoka dogo, mwambie mama taa ya gari yake imevunjika, ila awe makini na mafundi feki, kama yuko tayari nimuelekeze fundi mwaminifu. Nikasepa. Later ananipigia nipeleke kwa huyo fundi. Nikamuelekeza tu mtaa, uzuri akapafahamu.
Boss Rona alifika garage ya yule mshikaji wangu tunayepiga nae kikapu. Mm nishampanga mshkaji. Maana jpili hawafungui na ni garage ambayo mbele ina bonge wa geti. Boss anashangaa mm namfungulia geti aingize gari. Nimevaa overroll ya blue ya yule fundi, imechafuka kwa oil chafu, nimejipaka kidogo pia usoni ni kwenye mkifua wangu uliokubali mazoezi. Nikafunga geti, akashuka anauliza, whats this, leo alivaa shati refu la vifungo, sketi ya mpasuo kwa nyuma. Nikaachana nae, nikaenda kwenye gari, nikafungua box la taa, nikachukua taa mpya ambayo nishainunua nikaanza kuifunga. Ananitazama tu. Nilipomaliza nikamwambia, ready to go boss, kuwa makini sana na hizi taa they are expensive. Akauliza, how much pamoja na ufundi? For a sexy woman like you its free.. eti, "jamani fundi, sema sh ngapi", nikamwambia, unless unataka kunilipa kivingine, ila hela yako sichukui. Kivingine kama? Nikafungua yale mavifungo ya overroll, nikamtoa babu. Like an obedient soldier, akapiga goti chini, kashika mashine kaiweka mdomoni. Hapo mkononi bado na spana, namgusa nayo kwenye matiti,. Alicheza na mic hadi nkawatoa wareno. She was the first woman to swallow my sperms. Akasimama kaniegemeza ukutani, kaanza kunipa denda huku kanishika mashavu.
Nikaona hii mechi ntapoteza uwanja wa nyumbani. Sikumfungua vishikizo ndugu msomaji, nilivichana, then nikamsogeza nkwenyegari yake nikamshikisha bonet. Sketi nayo nikaona inanichelewesha, nikatafuta ule mpasuo nikashika hukunahuku nikairarua mbaka kiunoni, chupi hii apa (mimi na chupi za kike ni mabest kinoma, hazijawahi niletea kauzibe) nikaivuta tu ikawa kama nimeivika kwenye tako la kulia, mzee nikamgusisha madini mwenyewe kasimama. Niliamua hii iwe mechi ya fujo, piga kama naua nyoka. Akaona sasa anaenda kupoteza, akajichomoq then kanisukuma chini, nikawa kama nimekaa, mgongo nimergemea ukuta then kaja kwa juu (kama nilivyosema awali pichu za kike zinanitii, wala haikutoka ilipo), boss kajipimia, hapo overroll nimevaa mguu mmoja tu, sikumbuki hata muda gani nilivua mguu mmoja. She did me good, huku ananiambia maneno yake pale ya kimahaba mwana nikamaliza. Akaniweka kichwa kwenye manyonyo yake, huku chini naona mashine inasimama ikiwa bado ndani, nikamlaza chini sasa kifo cha mende, sikutaka fujo hapa, slowly. But sio juu chini juu chini, hapana, hii movement ilikua chini, mbele, juu, nyuma, chini, kulia, juu, kushoto, juu, mbele....... slowly. Walah, boss Rona machozi yalimtoka. Tulitiana pale over 3hrs. Baadae ndo tunakuja kugundua Rona hana nguo ya kurudi nayo home maana nilichana sketi, nimechana shati. Uzuri alikua na mtandio, huku juu nikampa tshirt yangu safi akavaa. Shida alikua amechafuka oil everywhere, na mbaya zaidi magoti yake yamechubuka yanatoa dam kiasi. Nikasema huyu leo ndoa yakesidhani kama itapona.
Mazee nimechoka kuandika. Nitaiendeleza walau kidogo kesho jioni. Walau mabaharia ma mabebez msome a story of how i met my wife....
Itaendelea...
James Jason
Mie nataka nianze kuisoma tena upyaSijawahi kukeshea uzi jf toka niijue ...nice story asee[emoji122][emoji122][emoji106]
Sent from my TECNO KA7 using JamiiForums mobile app
Huu uzi nimeusahau yaanMie nataka nianze kuisoma tena upya
AntonniaThe continuing story of how I met my wife.
.....The beginning of the downfall!!!!!!!!!........
Kabla sijaanza kuendeleza story niwaombe radhi kwa ukimya. The past week has been busy and frustrating. Ni bahati mbaya hiki kirusi cha COVID-19 kimecomplicate mambo yangu ya biashara, ila so far so good. Hapa nilipo nipo kwenye Qatar Airways to Doha then home. Natumia masaa haya Zaidi ya 13 kuandika muendelezo. I hope the story will meet your expectations and perhaps help you forgive your brother for keepin you waiting.
Endelea……
Kama ambavyo nlishawahi kusema, Nora ni aina ya wasichana ambao nliinjoy sana kampani yao. Hachoshi kuwa nae, haikua sex tu, na kimsingi ile jumamosi hatukutiana tena, ila it was fun to be around her.
Tuliongea mengi, tulisikiliza mziki, tulicheza mziki, (ukiwa in love wazee, unainjoi sana love songs, yaani zile lyrics zinapenya kama zilivyo. Love is a beautiful thing mazee. If you have been in love you will understand what I mean). Nakumbuka kuna a song inaitwa ‘dance again’ ya J’lo, basi aliupenda kishenzi, akawa ikifika yale mashairi yake
……… baby your fire is lighting me up, the way that you move boy is reason enough, that I love to make love to you baby. I cant behave oh I want you so much, your lips taste like heaven so why should I stop? Yeah, I love to make love to you babe………….
Basi ataninyanyua pale nlipokaa, ananisogelea ile zero distance, anaanza kukata kiuno slowly, yaani ile kiuno chake tu ndo kinamove, then anakua ananitazama huku anaimba. Ikifika muda wa Pitbull anarap nakua nahisi kama natakiwa nitambae nae ila ndo siwezi hahhaha, basi atanipa denda pale mpaka Jlo aanze tena kuimba. Nikawa najisemea, kama waliooa wanainjoi hivi, mbona ndoa zinavunjika dah……
Sometimes tulikaa tu kimya tumekumbatiana kila mtu anawaza vyake. Sijui yeye alikua anawaza nini, but mawazo yangu yalikua yamejikita kwenye namna ntakavyo mshawishi boss Rona anikubali kama mkwewe. Mbinu ambayo akili yangu ilikua inanishauri ni kwanza kumuweka wazi Nora, yani nimwambie dogo sikia, mimi na mama yako tushawahi kulana, ila zamani sana hahahahah. Dah, ila moyo ndo ulikua unagoma. Sikujua kwa hakika Nora atakavyoipokea. Ila kiukweli ni bora nimwambie mimi kuliko kuja kugundua kwa namna nyingine. Shida ilikua namwambiaje sasa..
I remember siku hiyo wote tulipitiwa usingizi kwenye kochi. Usiku sana nlivyostuka ndo nikamhamishia room. Nora amekuja kuamka saa nne asubuhi, wakati huo nlikua nishaandaa mayai, mikate na kahawa (kitu kingine nilichokua namshukuru Mungu ni kuwa both of us were coffee people, she loved coffee, so did I. I kissed her goodmorning and asked her to have breakfast. She said she has to clean up first. Nikajua tu asubuhi hii anataka akakate gogo kabisa. Ila ndo nikashangaa maana kabla hatujawa wapenzi alikua ananambia bt now anajitahidi kufichaficha hahaha.
Nikamuona akiwa ana came out of the bathroom amejifunga kanga pichu mkononi, mm niko nimekaa mezani namsubiri tupate chochote. Bt muonekano wake ukafanya nitamani kumla yeye kabla ya mayai. Nikawa namfuata, kama alijua vile nnachomfuatia, akawa ananikimbia, tukawa tunafukuzana mle sebuleni, anazunguka kochi, nikimfuata kulia anaenda kushoto, hadi kanga aliyovaa ikamtoka akawa kama alivyozaliwa, anacheka tu. Baadae kaamua eti akimbilie room, mm huyo namkimbiza. Kuingia room namkuta kasimama hakimbii tena, anatabasam tu. Nikawa namsogelea, akaniambia, “ vua nguo pia”…. Nikatii. Hapo tupo umbali kama mita mbili hivi from each other.
Tukawa sasa wote naked tunaangaliana tu. Kila mtu anamuappreciate mwenzie. Ile kukimbizana kiliipooza kidogo rombo, bt ile situation ya kuangaliana tukiwa naked ikafanya mnara utoke 3G mpaka 5G. She saw the transformation and she smiled. Sijui hata nani alimfuata mwenzie, ila tulijikuta in each other’s arms. And the sex was so much, so much sweet, Norah was something else jamani dah. naomba nisiende into details sana.
Nikaleta our breakfast kitandani tukawa tunakula with stories. Akawa analalamika kukosa kanisani. Anasema huwa haachi kwenda church hata iweje, so kukosa siku ile kukawa kunamdisturb akili. Nikamwambia, next Sunday tutaenda wote asijali. Akafurahi kinoma. Mida ya saa sita unusu hivi, stori zikiwa zimepamba moto tukasikia tena … ngo, ngo, ngo………….
Akili yangu ikajua atakua Boss Rona. Nadhani na Nora aliwaza the same maana alisema, “itakua mama”… nikamwambia, “yeah, itakua amefuata documents zake nilimuahidi jana bt sijafanya chochote”, “so tunafanyaje?” akauliza, bt hakua na wasiwasi sana kama jana. “relax, just stay inside usitoke kabisa wala kufanya chochote kitakachotoa sauti maana anaweza taka tuanze ifanyia kazi hiyo document sasa hivi na itachukua muda”.. akakubaliana na mm. kipindi hicho nlikua natumia simu Nokia moja inaitwa XpressMusic, ilikua na miziki kibao nikampa ili asiwe bored, ila lengo kubwa lilikua asisikie maongezi yetu.
I went and opened for Boss. This time sikuweza mzuia asiingie ndani. She went straight kwenye kochi. Hakua anasema kitu mpaka muda huo. Ila najua alivoniangalia alijua sikupendezwa na ugeni wake. “where is your girlfriend?” ndo ilikua swali lake la kwanza. Nikamjibu short tu, yupo ndani. Mpaka mda huo nlikua nimesimama tu, nlitaka ajue she is not welcome. “skiliza Kiga, mimi na wewe ni watu wazima hakuna mtoto kati yetu. Jana nimekesha nawaza about us. Ni kweli you need to have a girl of your own, sipaswi kuwa na roho mbaya ya kukuzuia. Bt naomba nikuulize swali, do you love her?” alivyouliza hili swali, sijui hata kwanini Bt out of nowhere nikajikuta nasmile, it was involuntary, ila nikarecover na kumjibu, “I love her so much boss, please understand why I cant continue with you”. Nilijibu hivi maana nilijua namjibu mama mkwe mtarajiwa, nilitaka siku akijua girlfriend wangu ni mwanae bas ajue pia kiasi gani nampenda binti ake kiasi cha kumtosa yeye.
“I understand. You see, just like me it seems you finally found the love of your life. You know me Kiga. And I’m sure you know how much I love you. Jinsi unavyojisikia kwa huyo mpenzi wako, ndo na mimi najisikia kwako. Just imagine how I feel right now. Mtu unaempenda kiasi hicho anakwambia hakutaki tena, imagine that Kiga”, nikawa namuona macho yanajaa chozi, bt sio zile za kutiririka…. Sikuwa na jibu ndugu msomaji.
Dah. Kati ya vitu vigumu nishawahi kufanya, basi kuandika haya ninayoandika ni mojawapo. Kati ya siku ambazo natamani zijirudie ili nibadilishe yaliyotokea basi ni siku hii. Kati ya makosa makubwa ambayo nishawahi kufanya na yakanikosti ni kosa ambalo nilifanya mchana wa jumapili hii. Natamani niiruke nisiandike chochote, bt naona labda nikiandika ile guilty ninayojisikia mpaka leo itaisha. I fucked up, and I fucked up big time. Sio kwamba nlikua sijui kuwa ntakachofanya kitamaanisha mimi na Norah ndo basi, nilijua sana ktk akili yangu, ila basi tu nikajikuta natenda kosa kubwa. Sitaki hata kumsingizia shetani, maana nilijua kabisa kila kitu, katika vitu kama mwanaume hutakiwi kufanya mazee, basi nlijikuta nimekitenda kimojawapo siku hii.
Kabla ya jumapili hii, boss Rona alikua ni kama X tu, yaani mpaka siku hii sikuwahi kuwachanganya mama na mwana, and I wanted to maintain that status quo. Ntahadithia dhambi nliyoifanya ila sitasema namna nlivyoifanya.
Nakumbuka, nlikua nmesimama boss alikua amekaa kwenye kochi. Then alisimama, akanifuata nilipo. Kinachoniumiza Zaidi ni kuwa uwezo wa kumzuia nlikua nao, ila sikuutumia ndugu msomaji. Nakumbuka akiwa amesimama close to me alinambia, “Give me this one time, and I will teach myself to un-love you”, sasa sijui ni ahadi yake kuwa after today hatanisumbua tena, au ni subconscious memories of her sweet cunt zilizonifanya nimuache afanye atakacho.
Aliniongoza hadi chumba cha pili ambacho kilikua upande wa pili wa sebule (yani hii nyumba ilikua ukitoka chumbani kwangu kuna korido then kabla hujaingia sebuleni unakutana na mlango wa kuingia jikoni, then after sebule upande wa pili kuna korido nyingine ambayo kuna chumba cha pili pamoja na bafu. So milango ya kuningia vymbani ilikua on the extreme sides of the house). Ile idea ya kumla mara ya mwisho boss Rona ilinijaa akilini kiasi kwamba mzuka ukaanza kunipanda. She undressed me, nikajikuta tu mikono imeenda takoni……………………. I was sooooooo stupid. Kama nlivosema mwanzo, mwanaume kunamiiko hutakiwi kuivunja, 1. Kumtia ndugu wa mtu unaempenda (kuna watu watasema mbona ulimla pendo na mdogo wake hahahahaha, sikua nimependa yeyote kati yao). 2. Kumtia rafiki wa mtu unaempenda (labda kwa ruhusa ya mke wako kama ilivotokeaga kwangu hahahah hii ni stori nyingine maybe ntaiweka one day) 3. Usichepuke na mtu wa mtaani kwako (ikibidi kuwa na mchepuko, tafuta wa mbali sana huko, yaani kama unaishi mbezi, nenda kaharibu salasala). So kumla boss Rona that day ilikuwa kuvunja mwiko mkubwa sana. Na the fact kuwa her daughter was on another room ilikua ni beyond ufisadi, ndo maana mpaka hua nasema nastahili consequences zilizonipata baada ya hii dhambi……….
Kama kawa wazee. Majuto huja baada ya goli kuchomoka. I felt so bad baada ya wagiriki kutoka. Mawazo yote kwa mpenzi wangu Nora. BossRona akawa ananifuta pale tena kwa mdomo wake, dah, sikua hata naelewa kinachoendelea. Nikavaa chapu, boss Rona kuna kitu alikua ananiambia bt hata sikuwa namsikiliza…. Nikafungua mlango nikaenda kwa the love of my life, the only girl I ever loved. Ile nimeingia room namkuta Norah kajilaza anasikiliza mziki huku macho ameyafunga. I just stopped there, looking at her. Alikua anasililiza mziki kwa sauti kubwa sana, kiasi kwamba sidhani kama alinisikia nikiingia. Niliweza kuusikia mziki aliokua anausikiliza, mashairi niliyasikia live ingawa kwa sauti ya mbali ……
……. Just think of all the moments that we’d spend, I just can’t let you go, for me you were meant, and I didn’t mean to hurt you, but I know that in the game of love you reap what you sow……..
Sijui ilikua ni sababu ya sauti nzuri ya Rose Royce ktk huu wimbo wa Wishing on a Star au ni mashairi ya huu wimbowake, au ni ile sura ya upole ya Norah nliyokua naitizama, au ni hisia tu za makosa niliyomtendea Norah ndo yalifanya nianze kulia. Sio ile ya kulia vimachozi vinatiririka huku ukiwa umesimama, hapana. I started sobbing ndugu msomaji. Yaani nilichuchumaa pale pembeni ya mlango nikaanza kulia. I felt guilty, stupid, Malaya vyote kwa pamoja. Nlistuka Norah amepiga magoti mbele yangu ananibembeleza, maskini hakua anajua kinachoniliza. She just hugged me huku ananiambia “its ok my love, Im here”, katika maneno anayo tamka wakati ananibembeleza nikatambua anahisi labda nimeandaa report vibaya mama yake kanizingua. Basi akanikokota hadi kwa bed. Akanilaza halaf akalala pembeni yangu amenihug. Kule kulia kukawa kumekoma bt machozi bado yakawa yanatoka kiasi. Yaani Nora, si akaanza kunichezea dushe huku anazidi nipa maneno ya kunituliza, alivoona imesimama, akaipandia. Yani mm hata sikua natoa ushirikiano. Ni kama akili haikua pale isipokua dushe peke yake.
Kama alidhani sex itanifanya nijisikie vizuri alikosea sana. Ilinifanya tu machozi yastop, ila moyo wangu ulikua bado unalia. Yani uzito wa tukio lililotokea siku hiyo mpaka leo siwezi libeba bila kupata maumivu ya moyo. So ingawa najua sio Nora wala Rona watakaosoma hapa, natumia fursa hii kuomba radhi kwa nafsi zao. I am really sorry.
“The downfall”
Norah wala hakutaka nimwambie chochote abt why I was crying. Believe me, nilitamani sana nimwambie ili walau nipate tulizo la moyo, ila kila nlipojaribu kuanza alinisitisha akisema she doesn’t care, her job is to make her man happy and that’s what she will do. Nakumbuka alisema, “hata kama umeua mtu bro, I’ll go to jail with you”. Basi mi nikatoka kwenda kumtimua boss Rona. Room hakuepo, so nikajua alisepa saa nyingi. Badae Norah akaanza kujiandaa maana alikua amemwambia mama yake kuwa wataingia stendi saa kumi, na hapo ilikua saa tisa kasoro kadhaa.
Idea ilikua kabla ya hiyo saa kumi aende home. Yaani kabla mama yake hajaamua kutoka kwenda kumfuata stendi. Then akifika amwambie waliwahi kutoka Mwanza so wamewahi kufika pia, akachukua taxi hadi mbele ya quaters. So alipiga uniform zake fresh. Alivyokua ready akanihug for sometime, she kissed me quickly, then akaniambia kesho yake atajitahidi kuja tena so nikitoka job niwahi kurudi. Niliplan kumsindikiza hadi mbele ya home kwangu, ila sio kabla ya mimi kuangalia mazingira ya usalama, hatukutaka jirani ahisi katokea pale kwangu.
I opened the door. Akawa ametoka ili mimi nitoke na begi then nifunge mlango. So akawa amenitangulia mpaka mbele ya kibaraza changu. Then nilisikia tu, “oh My Gooooood”, nikaacha kufunga mlango kwenda kucheki. Sikuamini nlichokiona maze, Uso kwa uso na Boss Rona.
Niliona hisia zote anazoweza hisi binadamu kwenye uso wa Boss Rona that day, hasa alipoona begi la mwanae pale kwa kibaraza….. sura ilianza na mshangao, then aibu, ikafuatiwa na ufahamu wa kinachoendelea, then huzuni na ikamalizia hasira…….. vyote hivyo in a matter of seconds. Then kabla yeyote hajasema chochote, boss Rona akaanguka chini kapoteza fahamu….
Then I saw something that made me realize that a bond between a mother and daughter is unbreakable. Norah aliruka kumfuata mama yake, akakaa chini halafu kamuegemeza mama yake kwenye mapaja yake. Her face was full of guilt. Yaani alivyonitazama, nikaona namna anavyoumia moyoni. Katika kipindi hicho kifupi sura yake ishabadilika kuwa nyekundu, kamasi zinamtoka, machozi yashalowanisha uso mzima, Analia huku ananitazama as if ananiambia, “look at what we’ve done”.
Akili ikanijia fasta kumpeleka hosp. nikawa nakimbia kuelekea kwake kuchukua Suzuki yake. Kumbe alikua amekuja nayo, ameipaki karibu kabisa na kwangu. Nikarudi, tukambeba, ingawa wakati huo alikua ashazinduka sema hana nguvu, machozi tu yanambubujika. Norah anamwambia tu, “I’m sorry mom, I’m sorry mom, I’m sorry ……” maskini hakujua kilichomzimisha mama yake sio hata alichokiwaza.
Tulivyomfikisha hosp, akawa kapewa kitanda apumzike huku kawekewa dripu. Nikawa namshauri Norah arudi home ili nibaki na Rona tuone tunajipanga vipi na hili janga. Nora kaniambia hamuachi mama yake. She owes her an apology. Akashauri tuwapigie simu mume wa boss na pale home, nikamkataza. Nikamwambia ni mshituko tu, she will be ok, tusiwashtue watu. She reached for my hand, then akanambia, “no matter what happens, we will be together again. This might be the last time we see each other this holiday, maana najua hasira za mama atanikataza kabisa kutoka, bt please lets keep our promises and vows”, hata sikumjibu alichosema, nilijikuta nashindwa kusema chochote.
Nakumbuka, wala boss Rona hakulazwa usiku pale. Daktari alishauri turudi nae home. So mida ya saa moja hivi tukawa tumetoka hosp. kufika kwenye gari, boss akaomba ufunguo, nikampa then nikapanda siti za nyuma. Rona alivoingia kwenye gari akasema “get out of my car”…. Nikawa kama sielewi hivi, ndo akanigeukia kabisa na kushout, “get the fuuuuuuuuck out”,. Norah akataka kunitetea pale, “mom please, lets explain”, “shut up”……. Nikaona niepushe shari, nikashuka, Nora akawa ananivuta nibaki, nikamwambia, ntachukua taxi, go with mom, she needs you more. Nikaona kanaanza kulia, mi nikatoka. Hao wakasepa……..
Nimefika home siku hiyo, sikulikuta begi la Nora pale out, nikajua walilibeba. So nikajua walau waliongea, ingawa nilihofu aina ya mazungumzo yao, ila nilijua lazima yalikua dominated na Nora kumuomba msamaha mama yake. One thing I was sure, Rona hataweza mwambia mwanae kuwa alikua anatoka na mimi. Nilikua na uhakika huo kwa sababu kwanza Rona ameolewa, na anapaswa kulinda heshima yake mbele ya mwanae. Pili, asingeweza kumbebesha aibu anayojisikia sasa mwanae pia, yani mwanae pia ajue ameshare mwanaume na mama yake, she would protect her daughter from that shame, that I was sure of. Ila nilijua mimi na Nora ndo basi tena. Her mom will never allow me kumuoa. Hata ingekua wewe ndugu msomaji, hii ni kitu usingeruhusu.
Kesho yake job nikakuta tu stori, boss Rona anaumwa so amepewa ED ya siku tano. Mimi nlichoamua kufanya that day ni kuresign. So nikaandika barua ya kuacha kazi ndani ya muda wa saa 24. Ki utaratibu unatakiwa ulipe mshahara wa mwezi mmoja ukiwa unaacha kazi so I made arrangements mshahara wa mwezi huo wasinipe. Watu walishangaa sana why nachukua uamuzi wa harakaharaka namna hiyo. Nikawahakikishia, naenda sehem nzuri Zaidi so waniombee tu, wakati hata sijui what I will do from here on…. Aliyesikitika Zaidi that day ni Lyamuya, kidogo alie. Akanihug pale na kunitakia all the best. Nikamuahidi I will always be in touch. Nikamwambia pia namuachia everything kwenye ile nyumba, avifanye anavyotaka isipokua vitabu tu ambavyo ntavifuata oneday.
Sikutaka hata kurudi kule home. Nliazimia kuanza upya kabisa na kusahau whatever happened in this beautiful Capital of our beloved Nation…….
Itaendelea kesho…. Matamanio yangu niimalize hii wiki. Then ntakua natupia matukio machache yakimkakati yanayoendelea till now.
Sent using Jamii Forums mobile app