How is Life Treating you? (Maisha yanakufanyaje Huko ulipo sasa hivi?)

Kiuchumi: Sina hela kabisa.
Kiafya: Mi Mzima ila kuna maumivu napata kwenye kifua nikihema kwa nguvu.
Kimahusiano: Nimeachwa. TENA.
Kielimu: Nina supp kadhaa.
Kikazi: Nina kesi kama 4 hivi kazini na polisi.
 
Kiuchumi: Sina hela kabisa.
Kiafya: Mi Mzima ila kuna maumivu napata kwenye kifua nikihema kwa nguvu.
Kimahusiano: Nimeachwa. TENA.
Kielimu: Nina supp kadhaa.
Kikazi: Nina kesi kama 4 hivi kazini na polisi.
pole sana
 
Kila mtu ana namna maisha yanavyomfanya kwa sasa katika dunia hii. Just comment hapo chini jinsi yanavyo kushughulikia kwa kadri utavyoweza.

ME:Fair with a lot of ups and down but am holding.

Nipo kunywa kikombe cha tangawizi na limao.
Nafikiri unaweza kujua kiurahisi jinsi maisha yanavyonifanya
 
Kiuchumi: Sina hela kabisa.
Kiafya: Mi Mzima ila kuna maumivu napata kwenye kifua nikihema kwa nguvu.
Kimahusiano: Nimeachwa. TENA.
Kielimu: Nina supp kadhaa.
Kikazi: Nina kesi kama 4 hivi kazini na polisi.
Nyie ndo wenye roho ya paka..
Hilo nafasi si uachie waje na wengine..😜
Joke
 
Mi hata hayaeleweki yanabana yanaachia unaweza sema kama chafya inayotaka kuja kisha inapotea!
Utafikiri nimebeti nayo!
Yanachosha hayaeleweki kama sigara nyota kokote unawasha tu!

Yakizidi sana ntafanya maombi nisipojibiwa nageukia upande wa pili!
Hapo nitakuwa naroga hata mtu akinikanyaga maana ntaona ananiharibia maisha..πŸ˜œπŸ˜‚πŸ˜…
 
Nina furaha kubwa japo kuna mambo yananikabili na deadline niliyojiwekea imekaribia lakini nakomaa, sijutii maana nilipo ni nafuu mara 4 ya nilikokuwa zamani.

Ahsante Mungu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…