Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mkuu huu mwaka ukitoboa ukafanye ibada kuu kwa Mungu unaemwamini maana balaa hasa hapo kwenye cases.Kiuchumi: Sina hela kabisa.
Kiafya: Mi Mzima ila kuna maumivu napata kwenye kifua nikihema kwa nguvu.
Kimahusiano: Nimeachwa. TENA.
Kielimu: Nina supp kadhaa.
Kikazi: Nina kesi kama 4 hivi kazini na polisi.
Cha muhimu afya, kama una afya njema endelea kupambana. Tulio wengi tuko kwenye Jahazi sawa na lako, lakini tunapambana.Magumu sana hadi nachanganyikiwa
misungwi nsumbugu au sio[emoji28]Write your reply...nipo misungwi tu kijijini huku nimejifungia kwa bibi baada ya kutoroka na mil 2 ya kampuni flani ya masuala ya agriculture