How is Life Treating you? (Maisha yanakufanyaje Huko ulipo sasa hivi?)

How is Life Treating you? (Maisha yanakufanyaje Huko ulipo sasa hivi?)

Kiuchumi: Sina hela kabisa.
Kiafya: Mi Mzima ila kuna maumivu napata kwenye kifua nikihema kwa nguvu.
Kimahusiano: Nimeachwa. TENA.
Kielimu: Nina supp kadhaa.
Kikazi: Nina kesi kama 4 hivi kazini na polisi.
Mkuu huu mwaka ukitoboa ukafanye ibada kuu kwa Mungu unaemwamini maana balaa hasa hapo kwenye cases.
 
Write your reply...nipo misungwi tu kijijini huku nimejifungia kwa bibi baada ya kutoroka na mil 2 ya kampuni flani ya masuala ya agriculture
 
I don't know may be i need to reflect and find my self!
 
Write your reply...nipo misungwi tu kijijini huku nimejifungia kwa bibi baada ya kutoroka na mil 2 ya kampuni flani ya masuala ya agriculture
misungwi nsumbugu au sio[emoji28]
 
Back
Top Bottom