How is this possible!?

How is this possible!?

Planett

JF-Expert Member
Joined
Mar 20, 2014
Posts
10,497
Reaction score
16,180
Straight to the topic,
Wakuu katika pitapita zangu youtube nimekutana na video ya siku za nyuma kidogo (kama 5yrs back) ikimuonesha mwamba Rick Ross akipaform jijini Dar es salaam. Kilichonishangaza na kuniacha na maswali mengi ni jinsi WASUKUMA wenzangu wanavyoflow na mzee Rick Ross, hivi muda wa kukariri zile nyimbo wameutoa wapi!? Anaesema watz hatujui Lugha ya malkia ajitafakari vizuri aisee maana kwa jinsi watu wanavyoflow hadi Rozay mwenyewe ameshangaa ni kitu ambacho hakutarajia na huenda alijua angeishia kuimba mwenyewe. Heko wasukuma wenzangu mlioko mjini, MMETISHA hadi najiuliza HOW IS THIS EVEN POSSIBLE??
 
Back
Top Bottom