Mkuu sijui hata kufanyaFanya meditation utoe hasira hizo... Mkuu
Vuta pumzi nyingi kwa kutumia pua ibane kwenye kifua then iachie tartibu kupitia mdomo uku ukihesabu inayotoka..
Nikiw kweny poz gan mkuuVuta pumzi nyingi kwa kutumia pua ibane kwenye kifua then iachie tartibu kupitia mdomo uku ukihesabu inayotoka..
Tuliza akili yako tuu wakati unafanya hivyo
Jumapili ufike upanga