MPWAAZ,
hivi mzenji hamjaachana tu?🙂😀
Mzenj for life!
mnapima afya regularly??
unawezaje kukaa na mwanamke muda wote huo NA HALI WEWE NI BACHELA?(u r still searching😀😀😀)Mzenj for life!
umekula senksi HAPOOOOOOOOOOOOOOOOOOOIli iweje?
unawezaje kukaa na mwanamke muda wote huo NA HALI WEWE NI BACHELA?(u r still searching😀😀😀)
Asante mume wangu kwa kuwahi home kila siku, najua unasoma hapa. usiwasikilize hawa mabinamu zangu hapa mpenzi.
nitaku-piemuSina option ya searching tena baada ya kumpata wa kuzikana Mzenj!
Usijali mke wangu mi kuwahi ndo ada nisipomuwahi wewe nitamuwahi nani? leo nitayarishie supu kidogo nasikia mifupa imekaza kidogo
nitaku-piemu
ili mjue mu wazima au wagonjwa mpate na matibabu afya irejeee au muishi kwa matumaini (just in case)Ili iweje?
ili mjue mu wazima au wagonjwa mpate na matibabu afya irejeee au muishi kwa matumaini (just in case)
Wengine ni ma-HE humu binamu dont trust everything you see on your screen.haya majaribu mengine!
ha haaaaaaaaaaaaaaaaa, anasoma hapa kaizer mi simo eeeeh!Usijali mke wangu mi kuwahi ndo ada nisipomuwahi wewe nitamuwahi nani? leo nitayarishie supu kidogo nasikia mifupa imekaza kidogo
Nimeweka ten years lakini sio ten years halisi.Nilitaka kuonyesha kuwa inawezekana Kusubiri kwa long term zaidi ya miaka 10.
Kwa hiyo is not a must after 10 yrs.
Mmmh, huyu caren huyu, mbona unaonekana mcharuko hivi, by the way we ni she au he, au semenyaWell said my dear!!
It depends on the mood. Mi nafikiri uroho wa mtu na stamina ndo inamatter. Ila hapo kwenye score umesahau score ya moja bila na bila bila. Hizi score inamaanisha mechi lazima irudiwe siku hiyo hiyo.
Kwa mfano jana asubuhi kwangu ilikuwa bila bila bcoz nilikuwa nawahi kazini nikaomba kuingiziwa kichwa tu. Leo asubuhi nimerudia tena kuomba kichwa na bado nimetoka bilabila so kesho tena asubuhi nitaomba kichwa ili irudiwe jumamosi asubuhi na hapo score lazima iwe moja moja au mbili moja ushindi kwa mume.
Mechi hizi bwana!!
Nguli, siku utaua mtu; kutwa mara 3 mwaka mzima? hizo zote na wifi peke yake au zingine offline? yaani hapo hata mchungaji hatakubaliana endapo litatokea pingamiziUngebadili swali liwe how many times(for married pipo kama sisi) tunafanya tendo hilo kwa ruhusa ya kanisa??
Jibu kwa mimi ni kutwa mara 3 kwa miezi 12, kukiwa na kipingamizi tunamwona mchungaji(If symptoms persist seek medical advice....pharmacists angeshauri hivyo)