How long can you last without sex?

How long can you last without sex?

Kama siko busy nawaza kitu ile lkn kama niko busy siku moja inatosha si unajua tena?
 
unawezaje kukaa na mwanamke muda wote huo NA HALI WEWE NI BACHELA?(u r still searching😀😀😀)

Sina option ya searching tena baada ya kumpata wa kuzikana Mzenj!
 
Asante mume wangu kwa kuwahi home kila siku, najua unasoma hapa. usiwasikilize hawa mabinamu zangu hapa mpenzi.

Usijali mke wangu mi kuwahi ndo ada nisipomuwahi wewe nitamuwahi nani? leo nitayarishie supu kidogo nasikia mifupa imekaza kidogo
 
ili mjue mu wazima au wagonjwa mpate na matibabu afya irejeee au muishi kwa matumaini (just in case)

Si kosa lako! Mungu akusamehe na kukupa faraja la milele! Usiache kuomba hii ni kwaresima
 
Usijali mke wangu mi kuwahi ndo ada nisipomuwahi wewe nitamuwahi nani? leo nitayarishie supu kidogo nasikia mifupa imekaza kidogo
ha haaaaaaaaaaaaaaaaa, anasoma hapa kaizer mi simo eeeeh!
 
Nimeweka ten years lakini sio ten years halisi.Nilitaka kuonyesha kuwa inawezekana Kusubiri kwa long term zaidi ya miaka 10.
Kwa hiyo is not a must after 10 yrs.

labda kama hujabalee bado, ukiwa umebalee kaka hiyo kitu kama huna sababu ya kuimiss within two days basi max period isizidi miezi sita, at least uwe umeiona at least kwa macho akama sio kula kabisa. Make binadamu ameumbwa na matamanio especially kama mwili wako uko active, sisi wazee tulio mbali na wake zetu tunajitahidi sana kuvumilia, na tunapofika home, kitu ya kwanza inakuwa hiyo, at least uiangalie tu and then unajifanya kama huna hamu, kumbe mapigo ya moyo yanakuwa abnormal
 
FL1 na wengine tusaidieni jamani ni kweli zile3 kelele na kuanguka kwa watoto wa kike kwenye shule za wasichana ni kwa sababu ya kukosa kuonana na wanaume kwa muda mrefu??????????????????? kama ni hivyo basi sex kila baada ya wiki angalu (hapa nipo resoanable kabisa)
 
Well said my dear!!
It depends on the mood. Mi nafikiri uroho wa mtu na stamina ndo inamatter. Ila hapo kwenye score umesahau score ya moja bila na bila bila. Hizi score inamaanisha mechi lazima irudiwe siku hiyo hiyo.

Kwa mfano jana asubuhi kwangu ilikuwa bila bila bcoz nilikuwa nawahi kazini nikaomba kuingiziwa kichwa tu. Leo asubuhi nimerudia tena kuomba kichwa na bado nimetoka bilabila so kesho tena asubuhi nitaomba kichwa ili irudiwe jumamosi asubuhi na hapo score lazima iwe moja moja au mbili moja ushindi kwa mume.

Mechi hizi bwana!!
Mmmh, huyu caren huyu, mbona unaonekana mcharuko hivi, by the way we ni she au he, au semenya
 
Ungebadili swali liwe how many times(for married pipo kama sisi) tunafanya tendo hilo kwa ruhusa ya kanisa??

Jibu kwa mimi ni kutwa mara 3 kwa miezi 12, kukiwa na kipingamizi tunamwona mchungaji(If symptoms persist seek medical advice....pharmacists angeshauri hivyo)
Nguli, siku utaua mtu; kutwa mara 3 mwaka mzima? hizo zote na wifi peke yake au zingine offline? yaani hapo hata mchungaji hatakubaliana endapo litatokea pingamizi
 
Back
Top Bottom