Jayfour_King
JF-Expert Member
- Nov 15, 2009
- 1,135
- 130
Hiii kitu tunaipenda sana,
kwa wenye ndoa na wasio na ndoa.
Je wewe unahimili kukaa muda gani bila kupata ile kitu roho inapenda?
FL1 na wengine tusaidieni jamani ni kweli zile3 kelele na kuanguka kwa watoto wa kike kwenye shule za wasichana ni kwa sababu ya kukosa kuonana na wanaume kwa muda mrefu??????????????????? kama ni hivyo basi sex kila baada ya wiki angalu (hapa nipo resoanable kabisa)
Mmmh, huyu caren huyu, mbona unaonekana mcharuko hivi, by the way we ni she au he, au semenya
Si kosa lako! Mungu akusamehe na kukupa faraja la milele! Usiache kuomba hii ni kwaresima
faraja la milele kwani mie marehemu jamani???
na hilo ni kosa gani na la nani basi kama si langu?
mmmh. no comment wajameni hapa nimeblow.Carmel,
I am a proud mama of one!!
its just that i love sex so much although sio mtu wa mbio ndefu. Napenda kichwa zaidi (with intent to make my man not get enough of me) kila siku asubuhi anapata kidogo na kupunguza kukinai.
if you that i am a He, ntake radhi publicly.
Wale wenye IQ ndogo can not wait even for hours hasa mwenzi akiwa miguu kama hii
hahaaaaa Caren leo umenifurahisha saaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaana!!!!Carmel,
I am a proud mama of one!!
its just that i love sex so much although sio mtu wa mbio ndefu. Napenda kichwa zaidi (with intent to make my man not get enough of me) kila siku asubuhi anapata kidogo na kupunguza kukinai.
if you that i am a He, ntake radhi publicly.
mmmh. no comment wajameni hapa nimeblow.
Nina kuombea sana upate mwanga wa milele! na usikate tamaa na maisha. Funga Kwaresima rafiki husaidia kuondoa msongo wa mawazo teh teh teh teh, sina maana wewe ni marehemu mtarajiwa!
hahaaaaa Caren leo umenifurahisha saaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaana!!!!
ntahitaji mbinu zaidi privately!!!!
I follow JF's policy: where we dare to talk openly.
No privacy for me and i dont respond to PM's. You say it here and i respond honestly and teach you skills (if you want them for legitimate reasons kama kuboresha ndoa au uhusiano).
But thanks if you like my opening up. Its nice kupewa kichwa bila miguu kuingia for a change!!(ingawa nyie wanaume hili huwa hamlikubali saaana.)
ha haaaaaaaaaaaaaaaaa, anasoma hapa kaizer mi simo eeeeh!
Umepiga hodi lakini? maana naona umeingia moja kwa moja chumbani!!mie nafikiri minimum ni siku 2
Umepiga hodi lakini? maana naona umeingia moja kwa moja chumbani!!