How long can you last without sex?

How long can you last without sex?

Sijaelewa swali kwa maana kwamba, huo muda ambao umeulizwa to stay without ni kwa hiyari kwa maana kwamba huduma ipo ila hujaamua kuitumia au no service and when is necessary to find it in whatever way?
 
Hiii kitu tunaipenda sana,
kwa wenye ndoa na wasio na ndoa.
Je wewe unahimili kukaa muda gani bila kupata ile kitu roho inapenda?

3-months, baada ya hapo 'maruweruwe' yanaanza...!
 
FL1 na wengine tusaidieni jamani ni kweli zile3 kelele na kuanguka kwa watoto wa kike kwenye shule za wasichana ni kwa sababu ya kukosa kuonana na wanaume kwa muda mrefu??????????????????? kama ni hivyo basi sex kila baada ya wiki angalu (hapa nipo resoanable kabisa)

Nilitaka kuuliza hilo................ kuwa wanaanguka baada ya kuwa wamekosa.....na enzi hizo tukiwa shule ndio maana disco la zoo tulikuwa tunapelekwa ama wao kuletwa!

Nwayz tukirudi kwenye topic; kama wife yuko fit its ok n tyme she me we just get giddy lakini akiwa anaumwa I can gor a mothn without na sipati shida na sometimes naridhika kwa service tu!
 
Mmmh, huyu caren huyu, mbona unaonekana mcharuko hivi, by the way we ni she au he, au semenya

Carmel,
I am a proud mama of one!!
its just that i love sex so much although sio mtu wa mbio ndefu. Napenda kichwa zaidi (with intent to make my man not get enough of me) kila siku asubuhi anapata kidogo na kupunguza kukinai.

if you that i am a He, ntake radhi publicly.
 
Wale wenye IQ ndogo can not wait even for hours hasa mwenzi akiwa miguu kama hii
DSC_2121.JPG
 
Si kosa lako! Mungu akusamehe na kukupa faraja la milele! Usiache kuomba hii ni kwaresima

faraja la milele kwani mie marehemu jamani???
na hilo ni kosa gani na la nani basi kama si langu?
 
faraja la milele kwani mie marehemu jamani???
na hilo ni kosa gani na la nani basi kama si langu?

Nina kuombea sana upate mwanga wa milele! na usikate tamaa na maisha. Funga Kwaresima rafiki husaidia kuondoa msongo wa mawazo teh teh teh teh, sina maana wewe ni marehemu mtarajiwa!
 
Carmel,
I am a proud mama of one!!
its just that i love sex so much although sio mtu wa mbio ndefu. Napenda kichwa zaidi (with intent to make my man not get enough of me) kila siku asubuhi anapata kidogo na kupunguza kukinai.

if you that i am a He, ntake radhi publicly.
mmmh. no comment wajameni hapa nimeblow.
 
Unafika nyumbani umechookaa halafu unakutana na sugestion kutoka kwa mumeo saying mpenzi kwa nini usiwe unapaka hina miguuni? unaanza kupata maswali huyu vipi? Mpaka uje ugundue kuwa alipita hapa JF na kuona hii miguu na uconnect ni kazi kwelikweli.
Thank God no face!!

Wale wenye IQ ndogo can not wait even for hours hasa mwenzi akiwa miguu kama hii
DSC_2121.JPG
 
Carmel,
I am a proud mama of one!!
its just that i love sex so much although sio mtu wa mbio ndefu. Napenda kichwa zaidi (with intent to make my man not get enough of me) kila siku asubuhi anapata kidogo na kupunguza kukinai.

if you that i am a He, ntake radhi publicly.
hahaaaaa Caren leo umenifurahisha saaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaana!!!!
ntahitaji mbinu zaidi privately!!!!
 
Nina kuombea sana upate mwanga wa milele! na usikate tamaa na maisha. Funga Kwaresima rafiki husaidia kuondoa msongo wa mawazo teh teh teh teh, sina maana wewe ni marehemu mtarajiwa!

asante kwa ushauri doc.....
ofcoz sote ni marehemu watarajiwa
 
hahaaaaa Caren leo umenifurahisha saaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaana!!!!
ntahitaji mbinu zaidi privately!!!!

I follow JF's policy: where we dare to talk openly.

No privacy for me and i dont respond to PM's. You say it here and i respond honestly and teach you skills (if you want them for legitimate reasons kama kuboresha ndoa au uhusiano).

But thanks if you like my opening up. Its nice kupewa kichwa bila miguu kuingia for a change!!(ingawa nyie wanaume hili huwa hamlikubali saaana.)
 
my dear I just admired the way u opened up here n that 'private' is used just to signify that n nothin more mamaa
hapo kwenye red....mie si mwanaume
 
Back
Top Bottom