How long can you last without sex?

How long can you last without sex?

Bujibuji Simba Nyamaume

JF-Expert Member
Joined
Feb 4, 2009
Posts
76,107
Reaction score
160,001
Hiii kitu tunaipenda sana,
kwa wenye ndoa na wasio na ndoa.
Je wewe unahimili kukaa muda gani bila kupata ile kitu roho inapenda?
 
usiku mmoja kwangu ni kama miaka MIA MOJA!i can maximum last for one day
 
kwa hiyo BEYOND TEN YEARS you must have sex?...😀😀
Nimeweka ten years lakini sio ten years halisi.Nilitaka kuonyesha kuwa inawezekana Kusubiri kwa long term zaidi ya miaka 10.
Kwa hiyo is not a must after 10 yrs.
 
ukiwaza unaitaka itabidi upate maana mawazo kuyazui ni mpaka nafsi iamue,but for me I can stay longer s long as nina mambo meeeeeeengi ya kufanya n pia sijabariki hilo tendo lenyewe,but likiwa limebarikiwa mmh dia I shoul;d get it as much as posible n as long has haiumwi.
 
sasa si ungeandika tu I CAN STAY THE REST OF MY LIFE WITHOUT IT😀😀
 
ukiwaza unaitaka itabidi upate maana mawazo kuyazui ni mpaka nafsi iamue,but for me I can stay longer s long as nina mambo meeeeeeengi ya kufanya n pia sijabariki hilo tendo lenyewe,but likiwa limebarikiwa mmh dia I shoul;d get it as much as posible n as long has haiumwi.
Kwa hiyo ukiwa loose tu...!you need it.you need sm1 TO DO YOU😀😀..?
 
not loose dia si nimesema halijabarikiwa for now?ikibarikiwa tu kila itakapotokea chance
Kwa hiyo ukiwa loose tu...!you need it.you need sm1 TO DO YOU😀😀..?
 
Ungebadili swali liwe how many times(for married pipo kama sisi) tunafanya tendo hilo kwa ruhusa ya kanisa??

Jibu kwa mimi ni kutwa mara 3 kwa miezi 12, kukiwa na kipingamizi tunamwona mchungaji(If symptoms persist seek medical advice....pharmacists angeshauri hivyo)
 
ndio maana unaitwa NGULI😀😀😀
 
Hiii kitu tunaipenda sana,
kwa wenye ndoa na wasio na ndoa.
Je wewe unahimili kukaa muda gani bila kupata ile kitu roho inapenda?

Alafu apo kwenye red rekebisha usemi wako.sema hii kitu baadhi yetu tunaipenda sana.Ninaamini kuna watu kibao hawaipendi kama unavyodhani.Umegeneralize sana.
 
sitaki kuamini kwamba kuna mtu hapendi!....
 
Back
Top Bottom