uliimba wimbo gani mkuu?afu kumbe bado mwanafunzi wa IFM,ndio maana....Music...
Aisee niacheni kabisa. I remember there is a time mtihani ulinifanya vibaya chuo,aisee nilikasirika mpaka nikawa nalia.
I remember ilikuwa juma5,my friends took me to coco beach,kulikuwa na karaoke.
Nikachagua wimbo,niliimba hisia,I cried like I wont see the world again. I free my self from the stress ya ule mtihani.
Nikarudi hostel Niko na amani kabisa na kujiandaa vizuri na mitihani iliyofuata.
Kabla ya kujifanya unanijua,jiulize je ni kweli unanijua?uliimba wimbo gani mkuu?afu kumbe bado mwanafunzi wa IFM,ndio maana....
samahani kama nitakuwa nimekukwaza mtoto mzuri,no need of hard feelings....relax and enjoy your life..Kabla ya kujifanya unanijua,jiulize je ni kweli unanijua?
Daah noma bro. ..wengi tuko addicted na music.Kwa case yangu siwezi pitisha hata 1 hour, na prefer kusikiliza muziki kuliko hata kuangalia video zake, movie ndo kabisa sina muda nazo!
Vipi kwa upande wako?
Ni wachache bro tunaelewa ivi vitu....Mkuu HARUFU hakika wewe ni MHENGA!
ngoma ulizoweka kizazi cha 90`s wataona unawachanganya tu....zimenikumbusha enzi za masomoni boarding tukuyu huko,long time ago!
tunafananaKaribia kila muda nasikiliza mziki
Halafu napenda ule mziki mkubwa kama club