How long can you live without music?

How long can you live without music?

Music...
Aisee niacheni kabisa. I remember there is a time mtihani ulinifanya vibaya chuo,aisee nilikasirika mpaka nikawa nalia.
I remember ilikuwa juma5,my friends took me to coco beach,kulikuwa na karaoke.

Nikachagua wimbo,niliimba hisia,I cried like I wont see the world again. I free my self from the stress ya ule mtihani.
Nikarudi hostel Niko na amani kabisa na kujiandaa vizuri na mitihani iliyofuata.
 
uliimba wimbo gani mkuu?afu kumbe bado mwanafunzi wa IFM,ndio maana....
 
Mkuu HARUFU hakika wewe ni MHENGA!
ngoma ulizoweka kizazi cha 90`s wataona unawachanganya tu....zimenikumbusha enzi za masomoni boarding tukuyu huko,long time ago!
 
Man music s my very first addiction, The World without music i would go insane
 
Back
Top Bottom