How long shall they kill our PROPHETS while we stand aside and look

swagazetu

JF-Expert Member
Joined
Nov 28, 2013
Posts
4,250
Reaction score
1,470
Ni muda sasa toka tuone watetezi wa wanyonge wakikandamizwa wakiuawa na kuteswa kwa ajili ya jina la ukombozi wa mnyonge.wameuliwa sana wameteswa sana wameumizwa sana wameng'olewa meno sana na hata kuchomwa sindano za sumu kwa ajili ya kulitaja jina kuu la ukombozi wa mtanzania.

Wale tuliohai,tunawaenzi vpi hawa manabii wa ukombozi walioteswa na kufa kwa ajili yetu?

Including Mvungi,Mwangosi,Sokoine,and others being threaten and humiliated,are satisfied?

How long shall they kill our prophets while we stand aside and look !!
 
Sema tufanyeje!!
Wapinzani ndo hao hawataki kwenda Ikulu nani sasa atakayechunguza hayo?
 
gongo na bangi zinakufanya uone mambo tofati na uhalisia
nenda RWANDA,BURUNDU,UGANDA nahat matai mengi ya afrika magharibi na arabuni ukaangalie then urudi hapa na POROJO ZAKO. hivi mtu mwenye akili timamu anaweza kumuita MWANGOSI ni mtetezi wa wanyonge !!!!???????
 
Acha unafiki kama kweli we umewajali hao uliowataja njoo na verified name yako
 
 
Last edited by a moderator:



hujambo mdada?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…