How long to wait?...

me nimeambiwa mpaka miaka miwili iishe alafu ananichomoa mapene ile mbaya. simuelewi kabisa huyu demu

Unajua kuna khanga zingine zina ujumbe mzuri sana...moja iliwahi kusomeka..''Babu jinga kaa ufikirie mali yako inaliwa''!! 🙂
 
tatizo wewe unakuwa Zuma!!!

afu hujui jina lake ni cheusi

hahahaha B nimecheka hapa sina mbavu! Pako anadhani eti umekula dili na mimi kumbe vitu vyenyewe nachoro!
 
Afu wewe mbona hujibu PM zangu. Niko siriaz ujue?

Nani kasikia? watu wameshapona na mila wameshadumisha we ndo unaulizia hali saa hizi?

hahaaaa jamani nani kanionea hii phrase??
 
Lunch ya leo naifata kabisa "al Nyantare" pale wana mbuzi safi sana halafu ni along ze way to Mkuranga binamu! najua hapo unado ze nidiful

wapi Pearl?
mbona umeanza kuharibu lunch yangu?
 
hahahaha B nimecheka hapa sina mbavu! Pako anadhani eti umekula dili na mimi kumbe vitu vyenyewe nachoro![/QUOTE]

anatafuta visingizio tu Pako wangu.....
 
MIMI ni kijana waJUZI JUZI kiongozi.sio kama wewe kijana SIKU NYINGI


SENKS! On a serious note leo kuna mtu kanipa deal nikaliona kama kubwa mno tunaweza kukamatwa!
 
Eti ni muda gani unafaa kupita kabla wapenzi wapya hawajaanza kukutana kimwili?
Inategemea experience ya kila mmoja uko alikotoka, wengine hata three days are enough to strart but others even a year!!! Mawazo yangu muda mrefu zaidi ni muhimu kwa afya yako
 
am sore jamani nimerudi was busy na waandishi ah
Lunch ya leo naifata kabisa "al Nyantare" pale wana mbuzi safi sana halafu ni along ze way to Mkuranga binamu! najua hapo unado ze nidiful

wapi Pearl?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…