HOW MANY GALAXIES IN UNIVERSE?

TIASSA

JF-Expert Member
Joined
Jun 17, 2014
Posts
2,926
Reaction score
3,530


UMEONA HIYO PICHA HAPO JUU HIYO NDIYO MILK WAY GALAX AMBAYO TUNAISHI SISI IKIWEMO DUNIA NA SAYARI NYINGINE NANE, Katilati ya hiyo galaxy yetu ndipo kuna ile black hole (shimo jeusi tiii ) ambapo wamarekani wanasema linazunguka na kuzungusha sayari, zote, wanasayensi wanadai kuna galaxes zaidi ya 100 kama za kwetu nazo zina sayari zake na mifumo yake ya jua
je wanasayansi wakitaka kwenda kwenye hizo galaxy nyingine wataendaje, kupitia kwenye hiyo black hole haiwezekan, na pia kwenda mpaka mwisho wa galaxy haiwezekani
karibuni wakuu wenye uwelewa zaidi , ya haya maswala ya galaxy na universe
 
Naamini kuna dunia ingine yenye viumbe kama sisi kwenye galaxies zingine...


Kanisa Katoliki lina miliki Telescope station bora zaidi duniani.....kwa Wakatoliki mtakubaliana na mimi sala ya mwanakondoo imebadilika kutoka " aondoaye dhambi za dunia mpaka aondoaye dhambi za Ulimwengu(universe)"
 
Mkuu imagine kwenye solar system yetu kuna sayari 8 ambazo zinalizunguka jua... kwenye galaxy yetu kuna stars kubwa zaidi ya jua kama milioni kadhaa na kwenye universe kuna galaxies za kutosha tu kama bil 100 na inatabiriwa kiwa zitadouble to bil 200 kadri ugunduzi wa telescope zenye nguvu zaidi unavyoendelea..

Sisi binadamu ndo kwanza tuna hustle kuijua vizuri mars iliyopo karibu yetu achilia mbali kutoka kwenye solar system yetu ambayo chombo chenye speed duniani kinaweza kutumia miaka 36 kutoka kwenye solar system..

Kuifikia nyota iliyoko karibu yetu unahitaji kitembea millions of light year ambapo unaweza kutumia miaka mingi sana..

Kwahio kwa maono yangu naona binadamu hatuwezi kutembelea galaxy nyingine...maana kufika tu nje ya galaxy yetu unaweza kutumia miaka zaidi ya life expectancy ya mwanadamu miaka zaidi ya milioni..

Na kwa taarifa yako nyota nyingi tuzionazo juu sasa hivi hazipo...yaani sisi tunaona past.. muda wa ule mwanga wa nyota kutufikia sisi ni miaka mingi sana kiasi kwamba zile nyota zilisha dissappear

Kungekuwa na viumbe wengine kwenye galaxy ya mbali wakatumia darubini kutuangalia wangekuwa wanaona past ..yaani wangekuwa wanaona ma dinosaur
 
Wataalamu wanasema Universe is infinite... unakimbia zaidi ya kasi ya mwanga.fikiria kasi ya mwanga??

kila kukicha sayari..nyota na makorokoro yanazidi kuzalishwa.

sasa najiuliza nje ya universe kuna nini? hiyo nafasi inatoka wapi? kwanini iwe infinite???
 
Kwanza jua hiyo picha sio halisi!,maana hakuna kifaa kilichotoka nje ya galaxy yetu kikapiga picha lbd galaxy nyengine kwasababu zipo mbali hivyo zinaweza kupigwa picha ya jumla.
kuhusu kupita kwenye black hole hiyo ni ngumu maana inasemekana hata mwanga haufui dafu!..
kuhusu kuvuka solar system,kifaa cha voyager 1 kimeshavuka na kipo mbali mno..
kuhusu kutoka nje ya galaxy huo ni mziki mnene!.. hiyo ngoma tutahitaji kuunganisha nguvu ya dunia nzima kikubwa ni kupata kifaa chenye kasi kama ya mwanga hapo tutakuwa tumewin kwa asilimia 90!
 
hzo pcha huchukuliwa na telescope mkuu
 
Sina uhakika kama kuna galaxy nyingine ukiondoa milkway,NASA wangekuwa washaleta BLA BLA zao na mapichapicha.
 
kuwaza kusafiri kwenda galaxy nyngne ni mbali sana maana kwa sasa ht kusafiri kwenda nyota ya karibu na sisi ni issue ingawa scientist wanasema wanaweza kumudu speed ya kufika alpha centauri kwa miaka 20
 
Hapa ndio unaona ukuu WA Mungu. Galaxies ni nyingi zaidi ya hizo 100 unazosema
 
Kuna sehemu either umechanganya au umekosea iko ivi ndani ya Galaxy ya Milk way kuna stars nyingi mno miongoni mwa izo star ni Jua letu ambalo ndani ya jua ndio kuna sayari tisa
ndani ya jua mkuu?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…