TIASSA
JF-Expert Member
- Jun 17, 2014
- 2,926
- 3,530
UMEONA HIYO PICHA HAPO JUU HIYO NDIYO MILK WAY GALAX AMBAYO TUNAISHI SISI IKIWEMO DUNIA NA SAYARI NYINGINE NANE, Katilati ya hiyo galaxy yetu ndipo kuna ile black hole (shimo jeusi tiii ) ambapo wamarekani wanasema linazunguka na kuzungusha sayari, zote, wanasayensi wanadai kuna galaxes zaidi ya 100 kama za kwetu nazo zina sayari zake na mifumo yake ya jua
je wanasayansi wakitaka kwenda kwenye hizo galaxy nyingine wataendaje, kupitia kwenye hiyo black hole haiwezekan, na pia kwenda mpaka mwisho wa galaxy haiwezekani
karibuni wakuu wenye uwelewa zaidi , ya haya maswala ya galaxy na universe