Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Huyu atakuja na story za kusafiri speed ya zaidi ya mwanga..hahaaa aisee'' ngoja nimuite mjuzi hapa" nadhani tutapa jawabu tu'' lifecoded
Aiseee" kitu ambacho ni impossible"Huyu atakuja na story za kusafiri speed ya zaidi ya mwanga..
Wakati baba wa physics Einstein alishasema ili kitu kisafiri speed ya mwanga inabidi kiwe massless yani kisiwe na uzito wowote..
Au kama kina mass basi energy itakayotumika kukipeleka speed zaidi ya mwanga ni infinity..
Yaani uichukue universe yote uibadirishe kuwa energy bado haiwezi kuimove object yenye mass kwenda speed ya light
Huyu atakuja na story za kusafiri speed ya zaidi ya mwanga..
Wakati baba wa physics Einstein alishasema ili kitu kisafiri speed ya mwanga inabidi kiwe massless yani kisiwe na uzito wowote..
Au kama kina mass basi energy itakayotumika kukipeleka speed zaidi ya mwanga ni infinity..
Yaani uichukue universe yote uibadirishe kuwa energy bado haiwezi kuimove object yenye mass kwenda speed ya light
nyota nyingi tuzionazo.....Mkuu imagine kwenye solar system yetu kuna sayari 8 ambazo zinalizunguka jua... kwenye galaxy yetu kuna stars kubwa zaidi ya jua kama milioni kadhaa na kwenye universe kuna galaxies za kutosha tu kama bil 100 na inatabiriwa kiwa zitadouble to bil 200 kadri ugunduzi wa telescope zenye nguvu zaidi unavyoendelea..
Sisi binadamu ndo kwanza tuna hustle kuijua vizuri mars iliyopo karibu yetu achilia mbali kutoka kwenye solar system yetu ambayo chombo chenye speed duniani kinaweza kutumia miaka 36 kutoka kwenye solar system..
Kuifikia nyota iliyoko karibu yetu unahitaji kitembea millions of light year ambapo unaweza kutumia miaka mingi sana..
Kwahio kwa maono yangu naona binadamu hatuwezi kutembelea galaxy nyingine...maana kufika tu nje ya galaxy yetu unaweza kutumia miaka zaidi ya life expectancy ya mwanadamu miaka zaidi ya milioni..
Na kwa taarifa yako nyota nyingi tuzionazo juu sasa hivi hazipo...yaani sisi tunaona past.. muda wa ule mwanga wa nyota kutufikia sisi ni miaka mingi sana kiasi kwamba zile nyota zilisha dissappear
Kungekuwa na viumbe wengine kwenye galaxy ya mbali wakatumia darubini kutuangalia wangekuwa wanaona past ..yaani wangekuwa wanaona ma dinosaur
unaona ajabu sana kutumia dk45 kufika andromeda galaxy kwa future space-time technology ??Hahaa yaani ni shida... kutuma chombo nje ya solar system tu unahitaji miaka 36.. sasa nani aliipiga picha ya universe na solar system[emoji23] [emoji23]
ndio zinachukuliwa na telescope lkn hakuna picha ya jumla ya galaxy yetu halisi.. ni kana kwamba unauwezo wa kwenda juu mita 100 hlf unaambiwa upige picha dunia nzima!(yote itokee kwenye picha). sehemu baadhi ni halisi lkn sehemu nyengine ni work of art.hzo pcha huchukuliwa na telescope mkuu
thats why nikasema kuwa ,now we have a new solution on that...Huyu atakuja na story za kusafiri speed ya zaidi ya mwanga..
Wakati baba wa physics Einstein alishasema ili kitu kisafiri speed ya mwanga inabidi kiwe massless yani kisiwe na uzito wowote..
Au kama kina mass basi energy itakayotumika kukipeleka speed zaidi ya mwanga ni infinity..
Yaani uichukue universe yote uibadirishe kuwa energy bado haiwezi kuimove object yenye mass kwenda speed ya light
Hivi hizo wormholes unazoziongelea kuanzia mwanzo kwanza zina exist kweli au ni vitu vya kusadikika kama alliens n.k (of course sina knowledge ya mambo ya space sana knowledge niliyonayo ni ya kujisomea mwenyeww vitabu vichache tu)unaona ajabu sana kutumia dk45 kufika andromeda galaxy kwa future space-time technology ??
leo hii ukimuliza mzee wa 1920 kama alitegemea kuwepo kwa treni za umeme zenye kasi zaidi lets say kutoka kigoma hadi Dar kwa masaa 2 kuliko kutumia motokaa kwa zaid ya masaa 36 nadhani angekwambia hakuna usafiri kama huo kama ungekuja kutokea...
Kwanin sasa unakuwa mgumu kuamini kama through wormholes tutaweza kufika into distant galaxies hata kwa masaa 72 tu..
Hiyo equation yako ya bwana mdogo Einstein inaprovuwa wrong sana wa watu wa modern era kwan ina limit nying sana...
Mkuu joto linalotoka kwenye nyota kama jua hutokana na rxn ya gases kama hydrogen n.knyota nyingi tuzionazo.....
nijitizama usiku huwa kuna nyota tatu huwa haziachani yaani zitahama tu kulingana na mzunguko uliopo na hizo tangu utoto wangu nimekuwa nikiziona katika muundo ukeuke wa kufuatana. zenyewe hazifi ili kuendana na ulichokisema hapo juu?
kama kuna mwingine amegundua nazungumzia nyota zipi anaweza kukazia
Mkuu sasa hao wanao mprove wrong braza mkubwa Einstein kwa nini hawapublish mambo yao wakachukua hata Nobel prize na kutupumzisha kusoma physics ya Einstein? ??unaona ajabu sana kutumia dk45 kufika andromeda galaxy kwa future space-time technology ??
leo hii ukimuliza mzee wa 1920 kama alitegemea kuwepo kwa treni za umeme zenye kasi zaidi lets say kutoka kigoma hadi Dar kwa masaa 2 kuliko kutumia motokaa kwa zaid ya masaa 36 nadhani angekwambia hakuna usafiri kama huo kama ungekuja kutokea...
Kwanin sasa unakuwa mgumu kuamini kama through wormholes tutaweza kufika into distant galaxies hata kwa masaa 72 tu..
Hiyo equation yako ya bwana mdogo Einstein inaprovuwa wrong sana wa watu wa modern era kwan ina limit nying sana...
Hivi hizo wormholes unazoziongelea kuanzia mwanzo kwanza zina exist kweli au ni vitu vya kusadikika kama alliens n.k (of course sina knowledge ya mambo ya space sana knowledge niliyonayo ni ya kujisomea mwenyeww vitabu vichache tu)
Maana ndio mala yangu ya kwanza nasikia kuhusu wormholes... kama zipo zipo sehemu gani??
Zipo karibu na solar system yetu??
Maana the fastest space ship ever built inatumia miaka kama 30+ kutoka nje ya solar system je kukutana na hio wormhole ili waanze mambo ya kupita galaxy moja na nyingine fasta watatumia muda gani??
broo...nobel prize has nothing to offer in yo life zaid ya kuonekana kwa watu..Mkuu sasa hao wanao mprove wrong braza mkubwa Einstein kwa nini hawapublish mambo yao wakachukua hata Nobel prize na kutupumzisha kusoma physics ya Einstein? ??
Lakini hiyo telescope si ipo ndani ya Galaxy yenyewe itawezaje kujichukua..pia tambua kuwa telescope haichukui images bali ni kwa ajili ya kutazama anga za mbalihzo pcha huchukuliwa na telescope mkuu
Sayari hazipo ndani ya jua,zimelizunguka juaKuna sehemu either umechanganya au umekosea iko ivi ndani ya Galaxy ya Milk way kuna stars nyingi mno miongoni mwa izo star ni Jua letu ambalo ndani ya jua ndio kuna sayari tisa
Mkuu, idadi ya galaxies zote wamezijuaje? Space telescope miaka iliyopita walisema Galaxies zipo 120 billion, baadae (2016) wakasema zipo 2 trillion, ambayo ni zaidi ya idadi waliyokuwa wanaifikiria.mmmh....lakini mkuu through wormhole wameweza kufika kwenye galaxy hizo japo wenye dunia hii wanagoma kutuambia..
Kuhusu kutoka nje ya mfumo wa sayari yetu( solar system) imekuwa simple sana baada ya kustudy picha halisi ya jinsi universe ilivyojiweka katika sehemu zake..
Kupitia system ya spiral analysis ambayo ilitafutiwa ufumbuzi kupitia Fibonacci sequence ambayo ndo imekuja kuibua siri nzima ya jinsi mfumo mzima wa viumbe au sayari zote katika kila galaxy..
wamekuja wakagundua kuwa mpangilio wa vitu vyote ndani ya galaxy ya milky way ni sawa sawa na mpangilio ule ule katika galaxy za Andromeda na zingine
View attachment 833140
kupitia fibonacci calculations tunakuja kuconclude kuwa all living things in this universe are formed in spirally form that form a shape like spiral ...
Na ukiangalia kweli formation ya uzao wa kila kitu kinachopatikana kwenye universe hii kipo katika mfumo wa fibanacci structural( hapa mpaka uwe unasoma mfumo wa universe ndo utaendana na mimi kuhusiana na fibonacci sequence aplications)
,
Mtoto akiwa tumboni anakuwa ameoccupy fibanacci spiral shape,konokono anakuwa na spiral shape,angalia mimea yote ikiwa inaanza kutoa maua inaexihibit fibonacci spiral shaped,..
karibia kila aina ya formation ya kila kitu ipo katika mfumo wa fibonacci sequence...
Ukiwa mfuatiliaji sana wa Fibonacci's number utakuja kugundua kuwa the whole galaxies zinaocupy the same fibonacci formation sequence kiasi kwamba formation ya intersteller,galaxies,excess norble gases and other things kwenye kila galaxy ipo sawa kwa galaxy zote..
View attachment 833143
kwa hiyo tukija kugusia namna ya kufika huko kwenye galaxy zingine,ni simple sna kupitia time space machine ambapo tutatumia wormhole kama chombo kinachosafiri kwa haraka zaidi kuliko hizo roketi na sourcer tunazotegemea...
Ikumbukwe kuwa kupitia wormhole tutafika kwa speed kubwa sana zaidi ya speed ya mwanga (3,000,000 m/s) yani meter milion 3 kwa sekund moja..
wormhole itasafiri kwa speed kubwa zaidi ya mwanga ..
Kupitia wormhole transportation ,tutakuwa na uwezo wa kuingia galaxy nyingine kupitia galaxy moja hadi nyingine,,.
yani unajikuta unatumia dk 45 kutoboa galaxy ya Andromeda kupitia milky way galaxy..
Things are coming to terify the world ..keep watching how technology is going to fantasy the world and the universe itself...
Kuna kampuni moja kubwa snaa duniani ambalo ndo linasimamia hayo mambo ya kutengeneza space craft zitakazotumika kutufikisha kwenye kituo cha anga za mbali cha SPACE X ambapo tukifika huko tutachukua wormhole na kusafiri kwenda galaxy moja hadi nyingine...
Space X wamefikia pakubwa sana japo everything is put under secret kwa minajiri wanaoijua wao...
Kuna siri nyingi zishaaanza kuvuja kuhusu CERN project kuhusisha utengenezaji wa vifaaa vitakavyotumika kuunda wormhole ,,..japo wanajihusisha pia na uchunguzi wa Anti matter but wanajihusisha pia na namna watakavyokuja kugundua hizo wormhole kupitia madini maalumu.
Hii dhahabu na almasi inayotafutwa duniani kote kila kukicha usifikiri inatumika kutengenezea saa za mkononi na mikufu ya akina Lady Gaga na Rihanna ,hapana ina mambo yake...
Inasemekana lakini kuwa eti madini yanayohitajika kuunda hiyo wormhole space machine miongoni mwao ni dhahabu na almasi...
Sijalitafutia ufumbuzi vizuri kuhusu jambo hilo..
bado nadig mambo make wenye dunia hawataki kuweka mambo hadharani..
kwa hiyo mwisho niseme kuwa kusafiri hadi kufika galaxy nyingine inawezekana kabsaa...
sasa kama wameweza kubaini idadi ya galaxy zote pamoja na system za intersteller zote itakuwaje washindwe kufika huko..mbaya zaidi picha ya universe yote waliipigaje kama hawawezi kufika huko....
Kuna watu wanarisk maisha ili kila kitu kiende poa kwa hiyo sio kila jambo linawekwa wazi...
Kuna siri nzito sana juu ya uchimbaji wa dhahabu na Almasi pamoja na madini unayoyajua wewe...
Tuendeleeni kuwa wapole tu make mambo ni mazito...
Kwa mfano wakisafiri kwa velocity ya light kutoka Sayari tuliyopo mpaka Sayari nyengine. Kwa kasi hiyo hiyo ya light tukatoka mpaka kwenye Solar System ya kwetu, na kwa kasi hiyo hiyo ya light tukatoka mpaka kwenye Galaxy ya kwetu.kufika alpha centauri kwa wiki mbili inamana una safiri kwa speed kubwa zaidi ya mwanga........that cannot be possible mkuu
Haina madhara Mkuu, msije mkatuharibia Dunia?kwanza kabsaa ili uweze kusafiri nje ya galaxy kwa speed tofauti ni lazima usafiri kwa speed ambayo haipo katika anga lile...
Shortly tunasema kuwa kila galaxy ina speed yake inayoruhusu things kutravel within it and the speed should be costant...ndo mana tunasema kuwa ili uweze kutoka au kusafiri kwa speed kubwa zaidi lazima uzidi speed ya milky way galaxy ilivyolimit matter object kusafiri vikiwa ndani ya anga lake..
So njia shortcut hapa ni kutumia space ( nyusa) ndogo ndogo zinazotokea kwa muda au zipo tu...
between space and tme there is a hole that things can pass hence known as wormholes...
Kwa hiyo kupitia hizi ndo tunaweza toboa anga za mbali lakini pia mara nyingi hizi nyusa kuzipata inakuwa ni kazi sana kwani mpaka space time ibend kwanza ndo wormholes zinaonekana...
Kwa hiyo wanasayansi wamekuja na njia nyingine ya kutengeneza artificila wormholes zitakazoturahisishia kuchomoka ndani ya galaxy moja hadi nyingine bila kubeaffected na specific speed ya galaxy husika kwani huwezi kuvuka speed iliyopo ndani ...
However, new research has found that materials necessary to make a magnetic wormhole already exist and are easy to obtain.
The team found superconductors, which can carry high current levels (charged particles), release magnetic field lines from within, thereby distorting them.
kwa hiyo njia pekee ni kutengeneza superconductors kubwa ambazo zitakuwa zinagenerate high energy magnetic fields ambazo zitatudieect pa kutokea..conside bellow
View attachment 833422
The scientists made an object of three layers - two concentric spheres and an interior spiral-cylinder - which transmitted a magnetic field from one end to the other when placed in a liquid-nitrogen bath, as high-temperature superconductors require the low temperatures of the liquid chemical to work.
The two outer layers then concealed the magnetic field's existence, making it "invisible" while in transit.
Normally, the presence of the magnetic field should be detectable from all points around it.
If you want to apply this to medical techniques or medical equipment, for sure you will be interested in directing toward any given direction
kwa hiyo wormholes can be artificial ones au zile natural ones ambazo kuonekana mpaka uzivizie kwanza..View attachment 833423
kwa hiyo ukiwa kwenye galaxy yako unaweza ona nyota za kwenye galaxy nyingine kupitia hizo wormholes na ndo kitu cha kuwa unaotea nake haidumu sana inakuja na kupotea kutokana na space time detortion...