HOW MANY GALAXIES IN UNIVERSE?

hahaaa aisee'' ngoja nimuite mjuzi hapa" nadhani tutapa jawabu tu'' lifecoded
Huyu atakuja na story za kusafiri speed ya zaidi ya mwanga..
Wakati baba wa physics Einstein alishasema ili kitu kisafiri speed ya mwanga inabidi kiwe massless yani kisiwe na uzito wowote..

Au kama kina mass basi energy itakayotumika kukipeleka speed zaidi ya mwanga ni infinity..
Yaani uichukue universe yote uibadirishe kuwa energy bado haiwezi kuimove object yenye mass kwenda speed ya light
 
Aiseee" kitu ambacho ni impossible"
 

Do you real understand uwepo wa wormhole katika kutravell into distant galaxies..??

hapa hatuongelei kusafiri kwenye utupu wa anga la juu but through wormholes...




Inajulikana kabisa kuwa kama mwanga unatembea kwa speed ya 3,000,000km/s manale ili kitu kiweze kusafiri kwa speed kubwa zaidi ya hiyo inabidi kiwe na uzito mkubwa zaidi kitu ambacho bado kinaleta kuntradiction zaidi...

Kama ukisoma modern Quantum Entaglement inaprovu wrong Einstein's equation of realitivity ya
E=Mc2 ..make imebase na constat speed ya mwanga katika utupu kitu ambacho kinapigwa vikali make kuna baadhi ya galaxy zingine zinamove kwa speed kubwa kuliko mwanga..ndo mana tunasema kuwa Einstein equation yake ya relativity inaenda kuproviwa wrong na tayari washaanza kuifanyia kazi.

A Wormhole or an Einstein-Rosen Bridge is essentially a shortcut through space time that would connect two points in space. It could connect two points Billions of light-years away or even a few feet away, it could also connect two universes, and also different points in time.
Kuwepo kwa constant speed ya mwanga katika galaxy hii siyo kwamba hakuna vitu vingine vinavoweza kusafiri kwa speed zaidi ya hiyo..kunsider alxo anti matter travelling....

These are hypothetical models and to maintain the wormhole would require the use of Exotic matter with a negative energy density.

Does The equations of General relativity have solutions that allow the existence of Wormholes,?? though none of have been found yet.

So, yes, Wormholes could very well connect two distant Galaxies, even the ones beyond our Hubble Sphere (Hubble volume) which would normally never even be visible to us due to the expansion of the Universe. Who knows, Wormholes may even be the future of Space travel!
 
Mie sielewi chochote kuhusu haya mambo ila nipo hapa kupitia kila comment nielewe ili na mie nipate cha kubishania kijiweni maana bado naona hata nikielewa hayanisaidii chochote
 
nyota nyingi tuzionazo.....

nijitizama usiku huwa kuna nyota tatu huwa haziachani yaani zitahama tu kulingana na mzunguko uliopo na hizo tangu utoto wangu nimekuwa nikiziona katika muundo ukeuke wa kufuatana. zenyewe hazifi ili kuendana na ulichokisema hapo juu?

kama kuna mwingine amegundua nazungumzia nyota zipi anaweza kukazia
 
Hahaa yaani ni shida... kutuma chombo nje ya solar system tu unahitaji miaka 36.. sasa nani aliipiga picha ya universe na solar system[emoji23] [emoji23]
unaona ajabu sana kutumia dk45 kufika andromeda galaxy kwa future space-time technology ??

leo hii ukimuliza mzee wa 1920 kama alitegemea kuwepo kwa treni za umeme zenye kasi zaidi lets say kutoka kigoma hadi Dar kwa masaa 2 kuliko kutumia motokaa kwa zaid ya masaa 36 nadhani angekwambia hakuna usafiri kama huo kama ungekuja kutokea...

Kwanin sasa unakuwa mgumu kuamini kama through wormholes tutaweza kufika into distant galaxies hata kwa masaa 72 tu..

Hiyo equation yako ya bwana mdogo Einstein inaprovuwa wrong sana wa watu wa modern era kwan ina limit nying sana...
 
hzo pcha huchukuliwa na telescope mkuu
ndio zinachukuliwa na telescope lkn hakuna picha ya jumla ya galaxy yetu halisi.. ni kana kwamba unauwezo wa kwenda juu mita 100 hlf unaambiwa upige picha dunia nzima!(yote itokee kwenye picha). sehemu baadhi ni halisi lkn sehemu nyengine ni work of art.
 
thats why nikasema kuwa ,now we have a new solution on that...

Nayo ni kupitia a shortcut way(wormholes) ..

Ukisema uende direct ni ngumu,utatumia a milions of years kufika huko uendako...
 
Hivi hizo wormholes unazoziongelea kuanzia mwanzo kwanza zina exist kweli au ni vitu vya kusadikika kama alliens n.k (of course sina knowledge ya mambo ya space sana knowledge niliyonayo ni ya kujisomea mwenyeww vitabu vichache tu)
Maana ndio mala yangu ya kwanza nasikia kuhusu wormholes... kama zipo zipo sehemu gani??
Zipo karibu na solar system yetu??
Maana the fastest space ship ever built inatumia miaka kama 30+ kutoka nje ya solar system je kukutana na hio wormhole ili waanze mambo ya kupita galaxy moja na nyingine fasta watatumia muda gani??
 
Mkuu joto linalotoka kwenye nyota kama jua hutokana na rxn ya gases kama hydrogen n.k

Sasa baada ya muda gases(fuel) kwenye hizo stars huisha na kwa stars kubwa gas inaisha fastaaa (miaka kama milioni kadhaa) nyota ndogo kama jua inaweza kutumia miaka bilioni kadhaa kuisha.

Sasa nyota tunazoziona zilikaa miaka milioni ndio zikadissapear sasa hivi mwanga wake ndio unaifikia dunia..
*Sasa inabidi ukae miaka kama milioni ndio utaona hizo nyota zako tatu unazoziona tangu utotoni zinapotea* maana zili emit huo mwanga tunaouona kwa miaka milioni kwahio usitegemee mwanga utaisha fasta hivyo
 
Mkuu sasa hao wanao mprove wrong braza mkubwa Einstein kwa nini hawapublish mambo yao wakachukua hata Nobel prize na kutupumzisha kusoma physics ya Einstein? ??
 

kwanza kabsaa ili uweze kusafiri nje ya galaxy kwa speed tofauti ni lazima usafiri kwa speed ambayo haipo katika anga lile...

Shortly tunasema kuwa kila galaxy ina speed yake inayoruhusu things kutravel within it and the speed should be costant...ndo mana tunasema kuwa ili uweze kutoka au kusafiri kwa speed kubwa zaidi lazima uzidi speed ya milky way galaxy ilivyolimit matter object kusafiri vikiwa ndani ya anga lake..

So njia shortcut hapa ni kutumia space ( nyusa) ndogo ndogo zinazotokea kwa muda au zipo tu...
between space and tme there is a hole that things can pass hence known as wormholes...

Kwa hiyo kupitia hizi ndo tunaweza toboa anga za mbali lakini pia mara nyingi hizi nyusa kuzipata inakuwa ni kazi sana kwani mpaka space time ibend kwanza ndo wormholes zinaonekana...

Kwa hiyo wanasayansi wamekuja na njia nyingine ya kutengeneza artificila wormholes zitakazoturahisishia kuchomoka ndani ya galaxy moja hadi nyingine bila kubeaffected na specific speed ya galaxy husika kwani huwezi kuvuka speed iliyopo ndani ...

However, new research has found that materials necessary to make a magnetic wormhole already exist and are easy to obtain.

The team found superconductors, which can carry high current levels (charged particles), release magnetic field lines from within, thereby distorting them.

kwa hiyo njia pekee ni kutengeneza superconductors kubwa ambazo zitakuwa zinagenerate high energy magnetic fields ambazo zitatudieect pa kutokea..conside bellow



The scientists made an object of three layers - two concentric spheres and an interior spiral-cylinder - which transmitted a magnetic field from one end to the other when placed in a liquid-nitrogen bath, as high-temperature superconductors require the low temperatures of the liquid chemical to work.

The two outer layers then concealed the magnetic field's existence, making it "invisible" while in transit.

Normally, the presence of the magnetic field should be detectable from all points around it.

If you want to apply this to medical techniques or medical equipment, for sure you will be interested in directing toward any given direction

kwa hiyo wormholes can be artificial ones au zile natural ones ambazo kuonekana mpaka uzivizie kwanza..

kwa hiyo ukiwa kwenye galaxy yako unaweza ona nyota za kwenye galaxy nyingine kupitia hizo wormholes na ndo kitu cha kuwa unaotea nake haidumu sana inakuja na kupotea kutokana na space time detortion...
 
Mkuu sasa hao wanao mprove wrong braza mkubwa Einstein kwa nini hawapublish mambo yao wakachukua hata Nobel prize na kutupumzisha kusoma physics ya Einstein? ??
broo...nobel prize has nothing to offer in yo life zaid ya kuonekana kwa watu..

kuna watu wanaoratibu mambo mazito hawatakiwa kuonekan kwenye jamii kutokana na usiri wa jambo linalofanywa..

mara nyingi anachaguliwa mtu ndo anapewa hiyo nobel prize ili kubrainwash watu..

make dunia itakuwa imemwangalia na kumtegemea atoa kitu ndo tuamini lakini nyuma yake kuna kundi la watu wanaratibu mambo kimya kimya...
Secret group of people hawahitaji kujulikana ili mambo yaende...

Fuatilia zaid hata watu wanaopewa nobel prize au tuzo most huwa wanasema kabsaa kuwa bila watu flabi nisingefika hapa ila hawezi kuwataja..
Lengo ni kumpa Aidia halafu wao wanasikilizia jinsi dunia inavyoenda kubebrainwashed...
 
Kuna sehemu either umechanganya au umekosea iko ivi ndani ya Galaxy ya Milk way kuna stars nyingi mno miongoni mwa izo star ni Jua letu ambalo ndani ya jua ndio kuna sayari tisa
Sayari hazipo ndani ya jua,zimelizunguka jua
 
Mkuu, idadi ya galaxies zote wamezijuaje? Space telescope miaka iliyopita walisema Galaxies zipo 120 billion, baadae (2016) wakasema zipo 2 trillion, ambayo ni zaidi ya idadi waliyokuwa wanaifikiria.

Edwin Hubble baada ya kugundua milk way si galaxy pekee katika universe astronomers wakajikita zaidi katika uchunguzi. Na zile galaxies tunazoziona ni mwisho wa teknolojia binadamu tuliyonayo. Kwa maana teknolojia tuliyokuwa nayo kuhusu uchunguzi wa universe, ndiyo ukomo wa maarifa yetu kuhusu universe. Ndiyo maana kadri muda unavyozidi kwenda na teknolojia inavyokuwa kubwa na ugunduzi wa galaxies nyengine zinaongezeka. Swali linalobakia, ulimwengu wetu ukubwa wake upoje; How big is big?
 
kufika alpha centauri kwa wiki mbili inamana una safiri kwa speed kubwa zaidi ya mwanga........that cannot be possible mkuu
Kwa mfano wakisafiri kwa velocity ya light kutoka Sayari tuliyopo mpaka Sayari nyengine. Kwa kasi hiyo hiyo ya light tukatoka mpaka kwenye Solar System ya kwetu, na kwa kasi hiyo hiyo ya light tukatoka mpaka kwenye Galaxy ya kwetu.

Hiyo, imekaaje?
 
Haina madhara Mkuu, msije mkatuharibia Dunia?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…