How Many HyperMarkets in Tanzania?

How Many HyperMarkets in Tanzania?

smsambazi

New Member
Joined
Jul 18, 2012
Posts
2
Reaction score
0
Habari za mida hii wana jamii,
Mimi ni mranzania nipo Korea.
Ninatafuta kujua kuwa kuna Hyper markets ngapi tanzania.
Ninajua kuna Mlimani city, Uchumi na Nakumatt in arusha,
Je kuna zaidi?
Ninaomba msaada
 
Back
Top Bottom