How mnaweza ku date na last born?

Huu ndio msaada wa kweli sasa .Basi litakuwa ni parody kweli kazi yake kuamshia watu popo afu linakimbia πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜… Bora kukomaa na Hawa mashangazi wa uhakika
Huyu nime mvamia PM mazima mazima, ili kama atatuchora atuchore vizuri 🀣🀣🀣🀣 angekuwa tithiii asingekuwa na kiranga kihisi hiki
 
πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜… bora kupambanania mashangazi mazee kuliko haya mapyaaa, yana hatari πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜…
Kuna lishangazi limoja nimelikumbuka katika ufalme wangu now silioni pia pm limefunga.Sijui bazazi Gani kapita naye soon nitakutumia code naelewa huwezi kukosa neno
 
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Wanaume last borns ni majanga walah!! Utatamani uvichape makofi wakati mwingine, hawajawahi kuwa wa maana!!!
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Yanakera mno..yamekaa kisenge senge tu afu ving'ang'aniz kishenz na kaz huwa gayatak kufanya mambwa yale ukilikuta la kiume linakera mno na ndo yanayoongoza kuwa mashoga
 
Mimi ni last born ila nadiriki kukuunga mkono lastborn ni majanga
 
Ni raha sana kudate na first born wa jinsia yoyote.
Ila tatizo huanza wa kike akifika umri fulani hukazania ndoa kichizi, ukidate na first born unaenjoy sana coz wanajua mengi.
Haswaa ukipata mwanaume first born umepata mume
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…