Khantwe
JF-Expert Member
- Dec 20, 2012
- 59,415
- 119,473
Mimi sikuwahi kupewa special treatment hata siku moja kwanza nina miaka minne tu akaniacha niende na dada. Huwa nahisi mama yangu labda hakupanga kunizaaWe acha tu...
Nimefaudu sana nyama za kufichiwa na mama. That woman dah! Apumzike salama kwa kweli. Hakuna upendo kama wa mama na last born wake wanaoshibana aisee [emoji16][emoji16][emoji3590][emoji3590][emoji3590]