Mimi sikuwahi kupewa special treatment hata siku moja kwanza nina miaka minne tu akaniacha niende na dada. Huwa nahisi mama yangu labda hakupanga kunizaaWe acha tu...
Nimefaudu sana nyama za kufichiwa na mama. That woman dah! Apumzike salama kwa kweli. Hakuna upendo kama wa mama na last born wake wanaoshibana aisee [emoji16][emoji16][emoji3590][emoji3590][emoji3590]
Bidada habari za siku aiseeNakusalimu
Na umri ukienda zaidi usingizi unaisha kabisaMimi umri unavyoenda najikuta sitaki kabisa kulala wawili
Ndo yule baunsa mchovu kwa bed ama mwingineGuys huyu last born kanishinda jaman mwanaume mda wote my momy my dady oh jaman nime mchoka nataman kumuacha
[emoji125][emoji125][emoji125][emoji125][emoji125][emoji125][emoji125][emoji125][emoji125][emoji125][emoji1708][emoji1708]Last born wanadeka sio MWANAUME sio MWANAMKE....hata kitandani atataka alale ukutani....
Last born anakikombe chake ukikitumia anazila au kugoma kukitumia.........
Ni kweli usingizi sasa hivi ni wa kubembeleza...ikitokea nilale saa tatu halafu mtu aniamshe saa tano kaniharibia network ndio silali tena hadi saa kumi hukoNa umri ukienda zaidi usingizi unaisha kabisa
Hongera kwa uzeeNi kweli usingizi sasa hivi ni wa kubembeleza...ikitokea nilale saa tatu halafu mtu aniamshe saa tano kaniharibia network ndio silali tena hadi saa kumi huko
Nimewai kuishi na ma last born ๐๐๐คฃ๐คฃ๐คฃ[emoji125][emoji125][emoji125][emoji125][emoji125][emoji125][emoji125][emoji125][emoji125][emoji125][emoji1708][emoji1708]
Wewe kama ulishawahi lala na mm aisee napenda kulala ukutani pia
AhsanteHongera kwa uzee
๐๐๐๐Yanakera mno..yamekaa kisenge senge tu afu ving'ang'aniz kishenz na kaz huwa gayatak kufanya mambwa yale ukilikuta la kiume linakera mno na ndo yanayoongoza kuwa mashoga
Basi kumbe yeye ndiyo mwenye matatizo ๐๐๐Wewe hujui unalolitaka. Mara useme wanaume wote, Mara useme last Born๐ฎ
Naomba mnijibu
Hivi kwanini wanaume ni waongo sana shida ni nini? Mpaka mnakuwa hivyo shida nini?www.jamiiforums.com
Endelea kurukaruka kisha umri ukishafikia pentagon utatafuta kuolewa hata na mgema tembo.Guys huyu last born kanishinda jaman mwanaume mda wote my momy my dady oh jaman nime mchoka nataman kumuacha
[emoji81][emoji81][emoji81][emoji81]Yanakera mno..yamekaa kisenge senge tu afu ving'ang'aniz kishenz na kaz huwa gayatak kufanya mambwa yale ukilikuta la kiume linakera mno na ndo yanayoongoza kuwa mashoga