Mayonene
JF-Expert Member
- Mar 16, 2016
- 1,595
- 1,419
Haujawahi kuwa Rais kwa hiyo wewe tulia tu.
Ok
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Haujawahi kuwa Rais kwa hiyo wewe tulia tu.
Ndugu yangu ukiona tz inaongelewa hoja ina mlengo wa kisiasa inabidi kitulia kidogo kusoma mchezo, sisi watanzania moja ya vitu tunashindwa ni kuficha tofauti zetu, hata sehemu ambayo huwa tunatakiwa kuongea kama taifa huwa ushabiki unakaa mbele. Ndio kama haya!Binafsi sijapata sehemu Magu ameongea hayo, na ndio maana nikasema kama kweli ameyasema, basi atakua ameanika desperation kubwa sana kwamba iliwabidi mubembeleleze kwa kutaja mambo ya damu iliyomwagika badala ya maamuzi ya kisayansi ambayo yalikua yamewapendelea tayari.
Binafsi sijapata sehemu Magu ameongea hayo, na ndio maana nikasema kama kweli ameyasema, basi atakua ameanika desperation kubwa sana kwamba iliwabidi mubembeleleze kwa kutaja mambo ya damu iliyomwagika badala ya maamuzi ya kisayansi ambayo yalikua yamewapendelea tayari.
Well said! Umenikumbusha pia kitu hiki nilikuwa nimekisahau!Ability to negotiate. Imenikumbusha maneno aliyotoa hayati Mandela wakati wa kuweka sahihi mkataba wa Amani Arusha miaka michache iliyopita kati ya pande karibu 10 katika mgogoro wa Burundi. Asubuhi pande 4 ziliweka sahihi zikabaki sita hivi kama sijasahau. Mzee Mandela aliamka akanena maneno makali ya ndani kabisa kuliko aliyosema Mhe. Rais Maghufuli. Walipotoka na kurudi wote waliweka sahihi zao. Sitaki kuyarudia hapa yale maneno kwa heshima ya Mzee wetu. Clinton aliposimama ili kupoza joto la yale maneno alisema: " Tutamwelewa Mzee Mandela tukizingatia amekaa gerezani miaka 27." Ability to Negoiate.
i pity you...i bet you consider your statement etiquette. would it cost you a kidney to request?
ask and you shall be given. besides your answer is in the video. take your time
Have you watched the video?
how then can you teach manners that you dont have...preaching water and taking wine...however right you are,youre not justified with the kind of tone you use. to wrongs dont make a right...that rage was uncalled for,rattling like you got hurt by that mistake,try to manner up yourselfPlease learn some manners. If you copy an article learn to give credit.
This story was on Nairobiwire.com. We also read Kenyan blogs.
Otherwise you should have just embedded the video and left it at that, or explained the video in your own words.
Udugu ni kweli sisi ni ndugu lakini jee iwapo mmoja wa hao ndugu ni mlafi, anatamaa anataka kila kizuri na manufaa apate yeye kwanza inakuwaje????Wakenya na watanzania ni ndugu si busara kupigana kwa maneno kuhusu mambo kama haya. Bomba limepita Tanzania lakini liikisha hadi wakenya watapata ajira. Sisi watu wa mpakani tunakunywa chai Isibania lunch Tarime au Sirari. Kwahiyo tuzidi kuvulimiliana na kuomneana hari
how then can you teach manners that you dont have...preaching water and taking wine...however right you are,youre not justified with the kind of tone you use. to wrongs dont make a right...that rage was uncalled for,rattling like you got hurt by that mistake,try to manner up yourself