How remembers this?

How remembers this?

Karibu tu share matukio yaliyowahi kuwa ya kihistoria nchini kwetu.
20250219_180753.jpg
 
kwanini umeanza na hili mkuu dah!..

Palichafuka sana sikuhiyo!, ilisikika mirindimo ya chuma cha mzungu kikiwa kimekamatwa vyema na jitu lililoamua kuwafanyia unyama wa wazi!, jitu lenye miraba minne lilisikika likisema "sina shida na raia ninashida na polisi"...😅
😂😂😂Aise ilikuwa hatari
 
"...Nimechaguliwa na wananchi wa Tanzania ambao ni masikini, ni wajibu wangu kuwatoa kwenye umaskini kuja kwenye maisha mazuri, ili atakayekuja (bibi titi) aturudishe tulikotoka..." By Magufuli.
 

Attachments

  • ‎@neonadejo_‎20250216‎_Phoenix.mp4
    1.4 MB
Back
Top Bottom