Monetary doctor
JF-Expert Member
- Oct 20, 2022
- 3,711
- 6,762
Nakumbuka kauli ya bibi mmoja
Kadri unavyo panua ndivyo watu wanazidi kutamani aucoo 😂😂
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nakumbuka kauli ya bibi mmoja
Long time wengi humu walikuwa hawaja zaliwa
It was a typing errorWho remembers
Huyo bibi alinena vyemaNakumbuka kauli ya bibi mmoja
Kadri unavyo panua ndivyo watu wanazidi kutamani aucoo 😂😂
kwamba alikuwa havai miwani?View attachment 3242016
Ikulu tamu bwana.
Hizi tarehe ndo bi mkubwa anaambiwa muda umefika wa jembe kuja duniani, hatimae nikaja duniani 😂👊
Mkuu why?Alitakiwa kutopewa air time kabisa huyu jamaa!
Sana sana sema namkubali Anna she is smart kimavazi na kiakili najua wapo wataopingaHuyo bibi alinena vyema
Alitakiwa kutopewa air time kabisa huyu jamaa
Fala tu yule jamaa, kaudhalilisha sana ukristoMkuu why?
Wapingaji wala hawakosekani, tuwasubiri tuone.Sana sana sema namkubali Anna she is smart kimavazi na kiakili najua wapo wataopinga
Ila yupo vzrWapingaji wala hawakosekani, tuwasubiri tuone.
Namkubali tu sijui kwa niniAlitakiwa kutopewa air time kabisa huyu jamaa
Fala tu yule jamaa, kaudhalilisha sana ukristo
Kisa ana usemea ushoga kwa namna ile!Namkubali tu sijui kwa nini
Sijui amepotelea wapi.Ila yupo vzr
Hivi said meck sadik Yuko wap?
Ni kweli, genZ wengi humu Mwaka 1999 walikuwa ndiyo wanajifunza kutambaa wengine kujifunza kuongea miaka hiyo 😜Long time wengi humu walikuwa hawaja zaliwa
Aseeh hakuwa km Chala, Chala mropokaji hafikirii hata kidogo aaani .....Sijui amepotelea wapi.
Hakuwa Kama Chalamila zee la hovyo
Anajiamini sana awapo na mapolisi, sijui ndo anawaweza!Kisa ana usemea ushoga kwa namna ile!
Chal hana ubongo.Aseeh hakuwa km Chala, Chala mropokaji hafikirii hata kidogo aaani .....