How remembers this?

How remembers this?

Hizi tarehe ndo bi mkubwa anaambiwa muda umefika wa jembe kuja duniani, hatimae nikaja duniani 😂👊
Hongera sana Mkuu, kumbe JF yetu ina uhakika wa kuendelea miaka 70 ijayo Kwa kuwa ninyi Vijana bado mtakuwa imara wakati huo

Sisi wengi wa Wazee wenu tutakuwa tumeyaaga mashindano 🙌
 
Asante sana mzee wangu.....

Inaendelea vizuri ikiwa tutakuwa na sera na kanuni za kuimarisha ustawii wa forum yetu!
 
Ni kweli kabisa, ila mnashauriwa kutoa maoni ya namna ya kuiboresha kadri mtakavyoona inafaa.

Uongozi wa JF upo tayari kuyapokea kwaajili ya maboresho
 
Aaah kumbe ipo hivyo naona majukwaa yapo ya kutosha

Naona jf ya 2013 siyo ya sasa, hata kama issue za agemates km ngono lakini ninachokiona humu wengi nidhamu ni hakuna

wakifanikisha hili nadhani watu watakuwa kwenye mstari

I'd fake isimpe mtu mamlaka ya kumtusi kumkashifu mtu.....

Nidhamu haipo mzee wangu
 
Ndiyo maana Kuna mods kwaajili ya kudhibiti hali hiyo

Ukiwasilisha malalamiko ya matendo ya kuudhi huwa wanatoa adhabu
 
😂😂😂Unamlipa kijana 10k akufungulie account ya Facebook
Naona unanicheka Mzee wenu, nimeshaliwa sana hizo elfu 10 kumi

Mara ya mwisho Kuna Kijana alisema nimpe elfu 30 anifungulie akaunti X eti ile ya Tweeter imeuzwa baada ya mmiliki kuiuza Kwa Elon musk 🙌
 
Back
Top Bottom