How RwandAir is bankrupting Rwanda and why we need a regional airline

regional airline is impossible...sahau tu
Aside from all the other factors.. there is also the logical thing to consider.... a fegional airline or any airline belonging to more than one country can only be formed if either both airlines are equal interms of assets or both airlines are starting out or if all the countries dont have a national airline to begin with...

you cant form a regional airline if one country already has one thats working a on a different level ....

just imagin Tz that is now sweating to buy its own planes and set up a national airline. then 20 years later, they own 20 wide body planes and 10 small ones... After all that sweat and then Malawi , Zambia, DRC with no reputable airlines sujjest to Tz that they should form a regional airline...will Tz just hand over the control of its planes to some ppl who couldnt even set up there own national airline?
 
Historia inajiridhisha kuwa Rwanda haikuwahi kumiliki shirika la Ndege,Sasa ndo wsanajifunza namna ya kutengeneza hasara kupitia Shirika hilo.Tanzania tuna pa kuanzia kujifunza lakini makosa ya awali hayaepukiki aslani lazima tuangukie pua tu hata iweje.Tuache siasa kwenye kazi za watu someni alama za nyakati.Zungukia mashirika yote ya ndege katika ulimwengu wa Tatu useme lipi shirika la ndege limewahi au linatengeneza faida.....HAKUNA !!

Ethiopian Airways huwa haifanyi hasara.
 
Challange him with facts and data...... kasema ya kwake haijalishi uhusiano wake na Kagame.....Biashara ya airline inahitaji feasibility study sio kukurupuka hii imekua kama "bandwagon" fulani katika region hii kwakuiga Kenya na Ethiopia.... Imagine Tanzania and Uganda eti wanafufua airlines zao.....jambo ambalo ni "economic suicide" matharani Ug ilisha uza routes zote mhimu kwa S.A. air Tz inamegi ya ki clear na internatinal aviation kwenye mtandao wa tiketi hatumo......ila kukuboa zaidi, nchi hizi, middle class income ya kupanda ndege ni ndogo sana and undefinable....airline katika region hii zimebadilika kua political tools, sio kibiashara kabisa.... kwa mtizamo wangu.
Nani kakwambia tunaiga Kenya na Ethiopia ?? Haiwezekani tujenge viwanja vya ndege
Zitue ndege za mataifa mengine. That wîll never be.
 
Acha uzalendo wa bila kutumia logic and reasoning.....unamatatizo lukuki nchini unakimbilia biashara ya airline wakati nchi kubwa kama India USA zina binafusisha mashirika yao
 
But also Kenye sio dependable partner ......selfish and hypocracy she want to dominant other partners in every aspect, forgeting the fact that Kenya can't survival and stand alone without her big neibours Tanzania and Uganda the biggest importer of her products and their key factor for her political stability
This is exactly the attitude I was talking about. If its true that Kenya needs her neighbours but Tanzania doesnt then what are you people waiting for? Just do it! Kwahivyo Tanzania ina nia nzuri na Kenya? Sijasikia hata siku moja rais Uhuru Kenyatta akiitaja Tanzania 'negatively'. Labda iwe ni rambi rambi zake anatuma, wakati kuna msiba Tz au wakati anawaalika 'ndugu zetu' wamuunge kw juhudi fulani au nyingine. Yaani kila wakati ni heshima kwanza. Ila JPM utasikia akisema, 'hii hata kure Kenya haipo'! n.k n.k .....Sasa wanafiki ndio kina nani?
 
Dominant through clean and acceptable manners.....not hypocracy with your so called sister countries, imagine Kenya wa lobying UN to shift her regional air base from Entebe Uganda to Nairobi Kenya....that's hypocracy of the highest degree
What is hypocracy?

Kenya didn't lobby for anything. The UN moved the base on their own. Nyie watu inferiority complex itawamaliza.
 
This is exactly the attitude I was talking about. If its true that Kenya needs her neighbours but Tanzania doesnt then what are you people waiting for? Just do it! Kwahivyo Tanzania ina nia nzuri na Kenya? Sijasikia hata siku moja rais Uhuru Kenyatta akiitaja Tanzania 'negatively'. Labda iwe ni rambi rambi zake anatuma, wakati kuna msiba Tz au wakati anawaalika 'ndugu zetu' wamuunge kw juhudi fulani au nyingine. Yaani kila wakati ni heshima kwanza. Ila JPM utasikia akisema, 'hii hata kure Kenya haipo'! n.k n.k .....Sasa wanafiki ndio kina nani?

Very true
 
true
 
Challange him with facts and data...... kasema ya kwake haijalishi uhusiano wake na Kagame.....Biashara ya airline inahitaji feasibility study sio kukurupuka hii imekua kama "bandwagon" fulani katika region hii kwakuiga Kenya na Ethiopia.... Imagine Tanzania and Uganda eti wanafufua airlines zao.....jambo ambalo ni "economic suicide" matharani Ug ilisha uza routes zote mhimu kwa S.A. air Tz inamegi ya ki clear na internatinal aviation kwenye mtandao wa tiketi hatumo......ila kukuboa zaidi, nchi hizi, middle class income ya kupanda ndege ni ndogo sana and undefinable....airline katika region hii zimebadilika kua political tools, sio kibiashara kabisa.... kwa mtizamo wangu.
Hivi ni kwamba buying power yetu ni ndogo au serikali zinafanya maksudi kuweka bei ya usafiri wa ndege kuwa juu sana?
Maana nliskia ulaya unaweza toka jiji moja kwenda lingine na nauli ni $50 tu!
 
Hivi hata bei ikishusha kua $50 kutoka dar kwenda mikoani kama mwz mbeya au Chato ndege zote za bombadier hazta jaa swala sio nauli swala shughuri unaenda katavi au chato kufanya shughuri gani ya biashara kwa kutumia nauli ya$ 50×2= Tsh 220,000 ni hera kumbwa biashara gani ya kumudu hiyo gharama? Utali wandani uko chini sana kwahiyo biashara ya airline bado economically illogical hapa nchini
 
Kenya ina improve pole pole, naona more airlines zinajoin the domestic market na wanafungua new routes kama Kisumu to Mombasa direct. Air fares pia zinashuka due to high competition. One can pay as little as $37 dollars from one city to another. Na hio pia imechangia domestic tourism kufika over 4 million.
 
Hivi hata bei ikishusha kua $50 kutoka dar kwenda mikoani kama mwz mbeya au Chato ndege zote za bombadier hazta jaa swala sio nauli swala shughuri unaenda katavi au chato kufanya shughuri gani ya biashara kwa kutumia nauli ya$ 50×2= Tsh 220,000 ni hera kumbwa biashara gani ya kumudu hiyo gharama? Utali wandani uko chini sana kwahiyo biashara ya airline bado economically illogical hapa nchini
Dar-Nairobi kwa $50 mbona ndege ingejaa!
Usiongelee mikoani tu hapa tunaangalia jumuiya ya afrika mashariki.
 
Hiyo ni international route kodi ya uwanja tu ni $40 kwa kila abiria sasa it's impossible kupata fare ya $50
 
Back
Top Bottom