The ice breaker
JF-Expert Member
- Apr 20, 2023
- 880
- 1,985
Sema kiwanja ,nikuchukue mwana kwetu usije tupa historia mpya pakikichaAsee sio poa , nipo kiwanja
Nimelewa sio poa , Sasa nawaza haka ka Vits na drive vipi mpka ghetto? Kigamboni
Njia yenyewe ya huku mbezi beach Kwa Zena
Shida iko wapi?Kakunje vizuri hako ka-vitz na ukaweke mfukoni.Anza mwendo kuelekea maghetoni.Asee sio poa , nipo kiwanja
Nimelewa sio poa , Sasa nawaza haka ka Vits na drive vipi mpka ghetto? Kigamboni
Njia yenyewe ya huku mbezi beach Kwa Zena
Namba E unaita mkweche , acha dharau.. janjaIngia hapo Himo Plaza paki mkweche wako lala kwenye gari
utakuja kufa bure, Mbezi beach mpaka Kigamboni ni parefu mno
Bila shaka umetoka kuhangaika hapo Juliana
Sielewi kitu hapa nilipoKigamboni -Mbezi usiku ni kuteleza tu..
Labda kama umefuta akili zote...
Ingia hapo parking lala uondoke saa 2
Bibi kizee akivaa g-string na kimini ndiyo anakuwa wa mwaka "af-mbili"?Namba E unaita mkweche , acha dharau.. janja
Njoo hapa tangibovu ulale kwangu,niko
silali geto Kwa mwanaume mwenzanguNjoo hapa tangibovu ulale kwangu,niko single
Upo job, hukupanga kula bia, mara wahuni wanakupigia njoo kitambaa cheupe Kuna bia zako na Kuna malaya mmoja Kwa ajili yako, wewe unafikiri utafanyaje mkuu ?Jambo ambalo wa TZ wengi hatujazoea ni kuacha gari nyumbani na kutumia usafiri wa kukodi (Tax/Uber/ Bolt etc) pale unapafahamu leo ni siku ya kumwagilia moyo vilivoooo.
Shida ingine wanywaji wanapenda hama hama baaa - anaweza enda bar hata 3 - 5 kwa siku/usiku mmoja
Kigali wengi wameweza fanya hivo
Unaacha gari job na kukimbia haraka kufuata malaya na bia za wahuni.Upo job, hukupanga kula bia, mara wahuni wanakupigia njoo kitambaa cheupe Kuna bia zako na Kuna malaya mmoja Kwa ajili yako, wewe unafikiri utafanyaje mkuu ?