How should I drive while am drunken enough?

How should I drive while am drunken enough?

The ice breaker

JF-Expert Member
Joined
Apr 20, 2023
Posts
880
Reaction score
1,985
Asee sio poa , nipo kiwanja

Nimelewa sio poa , Sasa nawaza haka ka Vits na drive vipi mpka ghetto? Kigamboni

Njia yenyewe ya huku mbezi beach Kwa Zena
 
Ingia hapo Himo Plaza paki mkweche wako lala kwenye gari

utakuja kufa bure, Mbezi beach mpaka Kigamboni ni parefu mno

Bila shaka umetoka kuhangaika hapo Juliana
 
Kigamboni -Mbezi usiku ni kuteleza tu..

Labda kama umefuta akili zote...
Ingia hapo parking lala uondoke saa 2
 
Ingia hapo Himo Plaza paki mkweche wako lala kwenye gari

utakuja kufa bure, Mbezi beach mpaka Kigamboni ni parefu mno

Bila shaka umetoka kuhangaika hapo Juliana
Namba E unaita mkweche , acha dharau.. janja
 
Jambo ambalo wa TZ wengi hatujazoea ni kuacha gari nyumbani na kutumia usafiri wa kukodi (Tax/Uber/ Bolt etc) pale unapafahamu leo ni siku ya kumwagilia moyo vilivoooo.

Shida ingine wanywaji wanapenda hama hama baaa - anaweza enda bar hata 3 - 5 kwa siku/usiku mmoja

Kigali wengi wameweza fanya hivo
 
Upo job, hukupanga kula bia, mara wahuni wanakupigia njoo kitambaa cheupe Kuna bia zako na Kuna malaya mmoja Kwa ajili yako, wewe unafikiri utafanyaje mkuu ?
 
Back
Top Bottom