How Tanzania cooks its economic figures and blocks media and experts from reporting

Hakuna kitu kama hiyo. Wakenya tulipokua kwa hiyo thread ilikua imewaka moto 24/7. Sahii hata ile attention kidogo inapata ni juu ya Wakenya wachache ambao bado hawajajulishwa tumegoma thread.
 
Hakuna kitu kama hiyo. Wakenya tulipokua kwa hiyo thread ilikua imewaka moto 24/7. Sahii hata ile attention kidogo inapata ni juu ya Wakenya wachache ambao bado hawajajulishwa tumegoma thread.
Hawajajulishwa wakat wahamasishaji ndio wamerudi rasmi hahaha we jamaa denial Za nn

Sent from my SM-J200H using JamiiForums mobile app
 
Nina uhakika SGR TZ ilikwama mwaka jana.
ATCL haifanyi kazi kwa sasa.
Uchumi unakua kwa 4%.
GDP $61b.
 
Nina uhakika SGR TZ ilikwama mwaka jana.
ATCL haifanyi kazi kwa sasa.
Uchumi unakua kwa 4%.
GDP $61b.

Ahaaa haaa haaa
Wishful thinkers.
If wishes were horses I could ride one.
 
I'm not sure if IMF has released it.
But I'm sure they have not said the Kenyan government is blocking.
Come back when kenya unblocks its IMF report..The east african report is out though you can get it at their website..
Hear is the press release 2019 according to article IV of IMF charter for Uganda and rwanda👇👇👇


It seems you always jump in with fools without doing any backgroud check.. An IMF press release as per article IV can and is very normal for it to be blocked by countries..Kenya has blocked their 2019 forcast report, and so has Tz..The only difference is there are hired media goons with a mission to twist every Tz story into a scandal
 
Haha ati umeishi Dar, jipe break na ujinga

So haunijui, never heard of me but somehow umejuaje sijaishi Dar?
Kuna mengi nzuri Dar kushida Nairobi na vice versa. Nikitaja zile Nairobi imeshinda Dar haimanishi zile nzuri Dar hazipo.
Vyakula Dar ni nzuri sana, nikifikiria juu ya huko nakumbuka vyakula na upishi vya kupendeza kushida Nairobi. Lakini waNairobi wana pesa kushida waDar.
 
We must brace for the economic crisis in the next several years with Magufuli Maduro in the office. The future looks very bleak
 

The only difference is that IMF has released a statement accusing Tanzania's dictatorial government of blocking the report.
When you see such a statement regarding Kenya, come back here with it.
Licking supremo's ass seems to have sucked the brain out of you.
 
Pombe kamata hapohapo naona wazungu povu lawatoka
Hatutaki kupangiwa,msitupangie
 
Nikikumbuka yale maisha ya kibera,korongocho,mathare,dandora,kiambiu dah najiuliza maisha aishiyo mkenya wa kawaida?kwenye kibanda ambacho huku tz huishi mifugo kama kuku,nguruwe nk
 
Do you remember when was the last time Dodoma borrowed from the IMF? May you please come back and tell us if you remember something...

Each year You borrow/depend 40% of your budget from the international donors and development partners including IMF and The World Bank
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…