Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hizo kura nyingi mtazipata wapi zaidi ya hira za wizi?Hahahahaah makubwaa!! tutasikia mengi kabla ya tarehe 30 March. Natamani mrudie uchaguzi harafu mpigwe tena kwa kura nyingi!!
Please watch this video carefully and listen to what the guy is saying. Someone other than IEBC had the
privileges to audit and change the numbers of the results of the Kenyan election.
wakawakamate google marekani! wanaomiliki youtube!Kwanini hizi sensitive evidences zinawekwa hapa jamvini wakati kesi bado iko mahakamani? are you conceding an early defeat? Huku ni ku-jeopardise kesi kuweni makini.... :nono:
Swala sio kukamatana bali sheria hua hairuhusu kujadili au kuanika ushahidi muhimu hadharani, kufanya hivyo kunaweza kubadili au kuharibu kabisa mwelekeo wa kesi. Ndio maana hata akina RAO na wenzie waliambiwa waache kuzungumzia kesi ktk mihadhara...umenipata:A S 39:wakawakamate google marekani! wanaomiliki youtube!
All information is coming from this site, that is actually providing fodder for all these false petitions and a springboard to frustrate democracy in kenya!
Shocking Details Showing TNA Was IEBC Through Kencall During Tallying « Kenya Stockholm Blog
Hii kitu ningumu sana habari ndo hiyo!Swala sio kukamatana bali sheria hua hairuhusu kujadili au kuanika ushahidi muhimu hadharani, kufanya hivyo kunaweza kubadili au kuharibu kabisa mwelekeo wa kesi. Ndio maana hata akina RAO na wenzie waliambiwa waache kuzungumzia kesi ktk mihadhara...umenipata:A S 39:
Swala sio kukamatana bali sheria hua hairuhusu kujadili au kuanika ushahidi muhimu hadharani, kufanya hivyo kunaweza kubadili au kuharibu kabisa mwelekeo wa kesi. Ndio maana hata akina RAO na wenzie waliambiwa waache kuzungumzia kesi ktk mihadhara...umenipata:A S 39: