How TNA and IEBC conspired to steal the Kenyan Election 2013!!!

How TNA and IEBC conspired to steal the Kenyan Election 2013!!!

please watch this video carefully and listen to what the guy is saying. Someone other than iebc had the
privileges to audit and change the numbers of the results of the kenyan election.




image014.jpg




image ii

image016.jpg



image iii

image012.jpg


raila odinga je umesoma haya au unaambiwa tu?.

Sisi tuko pamoja na wewe kimaombi tukimwambia bwana yesu kwamba kama kweli ushindi wa uhuru kenyatta ni wa haki basi adumu milele lakini kma kuna hila zimetumika ili kumpa ushindi basi mungu atajuwa namana atakavyo mshughulikia kiumbe wake aliyemruhusu awe duniani.

Raila wewe mwambie yesu asante na uhuru ndie raisi mteule -kenya umeruhusu aitwe hivyo....
Pole sana raila na jipe moyo mkuu na mwachie mungu utapata amani moyoni mwako.

Lakini kama uhuru alishinda kwa haki basi atawale kwa haki ya mungu na awaongoze wakenya kwa haki tupu.
 
Last edited by a moderator:
Hi all! I had taken a shot break from this forum because I found myself having to deal with demented minds as far as raila's loss was concerned. The loss was long in coming and it is a surrise that some people thought Raila could win kenya's presidency.
So on realizing I am dealing with psychopaths, I opted out till the ruling. The ruling Confirmed that Uhuru won the election fairly. Still the same characters are in denial. Many have even challenged the SC's ruling on the BASIS OF WHAT THEY BELIEVE TO BE TRUE NOT WHAT REALLY IS TRUE.let us rest thic case. Uhuru will be sworn in on Tuesday and RAO will be jobless. That is a cruel reality
 
Mwathai sishangai najuwa wewe ni walewale tu.lakini ukweli unao wewe mwenyewe.iwapo kina kaka na madada wa n'nchi jirani wameweza kuyaona haya,sembuse wewe.
 
Kaka,sisi wakenya tuna kushukuruni sana kwa kuyaona haya.na huwo ndio upendo mulio nao kwetu,kwa hilo mungu ata wajazi,na awazididishie mapenzi.aamin.alamsik.
 
Back
Top Bottom