How to Become an Intelligence Officer

How to Become an Intelligence Officer

Ningependekeza vijana wengi wenye shauku ya hii kazi wasome hili kitabu.
Michael Hariri was senior master minder wa Operations nying zilizo involve Kidon. Kama sio kuharibu kule Norway kwenye Series ya Spring of Youth kwa kumfananisha inocent civilian na Hassan Salameh alikua apewe u deputy mbeleni. He was called home and given desk tasks.
Victor Ostrovesrky kaongea mambo mengi sana cz na yy alikua key participant wa baadhi ya Operations. Nakupa heko kwa kua up to date mkuu.
 
Covert ops movies kama 24hours, strike back, nikita, inteligence etc zinawafanya watu watake kujiunga na hawa jamaa wa TISs.
 
Yapo maainisho kadhaa tofauti ya neno ujasusi, hata hivyo wataalamu wote wanaafikiana na ainisho jepesi kuwa ni utendaji wa siri chini ya mtandao wa siri uliosukwa kwa namna ya usiri ndani ya taasisi au vitengo maalum vya siri vinavyochunga ulinzi na usalama wa dola, watu, taasisi au biashara kwa njia za siri. Ni shughuli iliyozungukwa na mazingira ya usiri inayogusa maeneo yote ya jamii. Ni mtandao wenye malengo ya kulinda maslahi ya kidola, kibiashara, raia na mali zao dhidi ya mipango na njama za wahalifu au maadui. Ujasusi ni utafutaji wa habari au taarifa muhimu kwa njia za siri juu ya/au dhidi ya shughuli, biashara au maslahi ya kundi, jumuiya, taasisi au kampuni. Kwa ajili hiyo, ujasusi kama fani una mielekeo tofauti ambapo dhana yake kuu ni ulinzi wa kichunguzi.

Nimei copy toka kitabu cha dondoo kiitwacho: The Secret Work Of Soviet Secret Agency

NIMEVUTIWA NA ALICHOPOST de'levis, HAPA NINANUKUU

1. sifa ya kwanza ya jasusi ni lazima awe na uwezo kuchunguza(observation)..haija lishi mazingira ya mahali alipo na anafanya nini akili ya jasusi ni lazima we ina rekodi maeneo,matukio,na watu waliopo huku kkiwanwango cha kumbukumbu kichwani kiwe kikubwa na cha hali ya juu...lazima ajifnze na akumbuke viu vya aina nyingi kwa wakati mmoja na vyote viwe vya usahihi...mfano akiingia ndani ya nyumba chini ya dakika moja na nusu lazima awe amshajua nyumba hiyo ina vyumba vingapi milango mingapi madirisha...kama kuna gari limeegeshwa lazima ajue plate namba zake nk...na nilazima vitu hivyo vikae kichwani kwa mda mrefu hata mwezi mmoja...
vijana wengi hawana kumbukumbu nzuri.na hili ni tatizo kubwa mtu hata kukumbuka namba za simu hata kumi kwa wakato mmoja ni ngumu...wengi wa watu niliokutanana nao wengi wanaangukua katika kundi la 7+_ 2. .


2. sifa ya pili ya jasusi ni lazima atumie mantiki(logic)katika kuelewa vitu nakufikiri..na sifa hii ni muhimu sana .lazima ajue kwa nini hiki kiko hivi na hik kiko hivo na pia ajue namna ya kukifanya tofauti na kilivyo kuwa awali si katika muonekano tu bali pia katika ufahamu pia.

3. jasuli ni lazima ajue kubadili tabia kulingan na mazingirana eneo alilopo na pia tukio husika. lazima ajue watu wanaomzunguka wanataka nini na ni watu wa aina gani...hii itamsaida kujua aenende vipi katika mazingira hayo.jasusi lazima ajue kuchez ana hisia za watu..hii ni sifa muhimu sana tena sana...

4. jasusi ni lazima asikilize na we na wezo wa kusikiliza milango yote 7 ya fahamu(wengi mnajua milango mitano) ana achambue kwa uharaka nini cha kufanya kama yu katika hatari...ndugu wana jf katika uboongo wa mwanadamu kuna maelekezo mengi sana yanayomuonya binadamu juu ya haari yoyoe.jasusi ni lazimaajifunze maelekezo hayo naachukue hatua stahiki pindi anapokuwa katika hatari....mfano jasusi akiwa anatembea mitaan akfanya kazi yake kisha akakutana na mtu aliyekmuona mtaa mwingine saa moja lililopita jasusi ni lazimaajiluze ni hii n kawaida au nafatiliwa?


5.jasusi hatakiwa kuwa mkurupukaji,anatakiwa achukue stahiki na kokotozi kwa hatari iliyoko mbele yake au upande wa pili kwa kurekebisha plan zake kulingana na mahali alipo..lazima atafakati hatua za kuchukua na ni lazima hatua hizo ziendane na taarifa muhimu kulingana naeneo husika...kama jasusi ni mkurupukaji ni lazima hatafikia malengo ya kazi yake.. MWISHO WA KUNUKUU.

NB: Hizi sifa ninapenda sana sio tu nizifahamu bali pia niwe nazo yaani niwe hivyo ila nisiwe jasusi na kama nikiwa jasusi basi niwe ni ambaye ninafanya kazi hizo kwa kuwasaidia majasusi wenyewe wa nchi yangu bila kuwa ktk taasisi ama shirikia lolote.

Mpaka sasa hivi nimeshafahamu chakula kinachoongeza uwezo wa kumbukumbu, ni chakula alichokuwa anatumia mfalme suleiman na kinatumiwa na waisrael ila ni gharama kukipata.
 
Walio ndani ya Ngome wanataka kutoka............na walio nje ya ngome wanataka kiingia.........Kazi kweli kweli, ni kutokujua tu ni Utumwa fulani ambao ukiuingia wakati fulani utajilaumu kwa nini uliutaka................KULEWA SIFA NI HATARI
 
Back
Top Bottom