How to convince your man to get circumcised

How to convince your man to get circumcised

Bacha habari yako bwana. Pole kwa kukwazwa
kakwazwa nin ?
km kaamua kuielewa lugha kwa namna iyo iweje aseme kakwazwa?
uyo rafiki yangu namjua mwenyewe we mwache km alivyo anataka nmpe la akiba ashbe vzr sasa n kwamba skup!!!!!!!!!!!!!
 
Usijali bht, ndo maisha yalivyo!upo poa lakini?

Niko poa, yeah ni maisha and that which doesnt kill u, it makes u stronger.
@rose1980 bacha labda hujamkwaza anataka kukuchimba.
 
Rose.....................kiboko haya mama aksante kwa kutuharibia hacra wengine hapa.
 
haya hebu tupe na wewe uzoefu wako kwenye hili!!!!!

Mhh!! kwa kweli katika hili sina uzoefu kaka yangu, ila nimeanza kuhamasika na mimi natamani mwenye huo mkono wa sweta na mimi nionje ladha yake ili nije kuhadithia wajukuu zangu
 
PRECIOUS PLEASEEEE...KWANINI UNATAKA KUMSHAWISHI AKATE GOVI LAKE BANAAAAA....

DONT DO THAT PSEEE...MIE MWENYEWE I WISH I COULD TURN BACK ALL THOSE GUD DAYS NILIVYOKUWA NA GOVI LANGU....SIKUHIZI WANAWEKE WOTE MJINI HAWAJUI LADHA YA GOVI ..AND I KNOW PLENTY OF THEM WENYE HAMU YA KUONJA UTAMU WA HIYO KITU..

DAMN..GOD WHY ME PLEASEEEEEE...NINGEKUWA NALO HIZO TENDER ZOTE ZINGINIWEKA MJINI RAHA MUSTAREHEEEEE.....AM MISSIN MY GOVI BANAAA....DONT DO THAT TO YOUR MAN...ni maoni yangu jamaniiiiiiiii

crystal clear mkuu hujapindissha hata neno moja

govi soo sana aisee... ushaona mtu anakula kwa mkono na mikono ya sweta imepitiliza inachakachua msosi
 
Mhh!! kwa kweli katika hili sina uzoefu kaka yangu, ila nimeanza kuhamasika na mimi natamani mwenye huo mkono wa sweta na mimi nionje ladha yake ili nije kuhadithia wajukuu zangu

Usipate tabu Maty, tuwasiliane tu
 
Mhh!! kwa kweli katika hili sina uzoefu kaka yangu, ila nimeanza kuhamasika na mimi natamani mwenye huo mkono wa sweta na mimi nionje ladha yake ili nije kuhadithia wajukuu zangu
mmh wewe maty wewe usjaribu ata kuombea kukutana nayo..mhh mh..lakin mcheki bacha mwombe akakuonyeshe lakin maonyesho hayo sjui ndo exhibition iyo ifanyike kituo cha polis kwa maana asije akakurukia bure k.u.k.u.b.a.k.a mwaya!!!!!!
uone kwa macho tu uache apo apo!!!!!
 
mmmmh!sasa hapo Rose si ntakuwa nanyanyaswa kijinsia!ze practical is important to meki it pafecti
 
basi umejua mama chukua hatua
mshauri km ashauriki we sepa dahh utakaa nae vp uyo kaficha nyoka kwenye boksa?
maradhi+ata mautundu mengine pia utashndwa kuyafanya manake dah....ile kitu one twoo one twoo mic chek apo nehi manake mazngra ya mtutu hayapo frendly..
ivi risasi na makali yake inaweza ikawa sawa na waliomenywa?ahh ebu sepa bib weeweeeeee mwache na linyama lake km vp alifanye kamba yakuanikia nguo
bakteria apo garantee na mijianaume mingne ilivyo mivivvu kubadirisha boksa weeeee hatari utakuta kavaa boksa siku 4 au 5+g.o.v.i=?
duuh, dadaa una ma-punch.
 
Bacha habari yako bwana. Pole kwa kukwazwa

Heeee, na wewe umeonekana? Mhhhhh....Leo naona kama kuna lunalar eclipse.

Tupe basi feedback kidgo za huko ulikojificha/fichwa.....
 
Back
Top Bottom