Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hahahha sipati picha ulivyokuwa unachechemea kama vile umekanyaga mwiba.Hapo kibera nilienda nikawa nachanja veve asee sinikaambiwa twende msele huko kwa kejo ya chali angu flani jirani bana wacha nikanyage shonde buti yangu Tims ikajaa shonde alafu ilikua kama shonde ya green basi handas ikaruka kabisa nikaaza ku throw up uncontrollably.. Never forget
Haha mkuu umenikumbusha mbali asee na giza nilokua nachanja sikuweza kuendeleaHahahha sipati picha ulivyokuwa unachechemea kama vile umekanyaga mwiba.