how to get udom jobs?

how to get udom jobs?

tabia

Member
Joined
Jun 30, 2012
Posts
11
Reaction score
2
wanajamii naomba msaada kwa mtu mwenye anaweza kunipa direction namna ya kupata kazi za udom please ni pm.
 
umeweza kulogin jf, umeshindwa kufungua website ya udom! au unataka kupata kazi kwa kutumia mianya ya rushwa?
 
"kunipa direction namna ya kupata kazi za udom please ni pm"
 
kama ungeni pm ningekuona una akili:israel::eek2::eek2:
 
Ninahasira sana na watu wasiowezakujiamini. Kumbuka kwamba mwenzako kupewa mtihani hakukuzuiii wewe kupata 100%. akikushinda kwa alama yoyote haimaanishi ni sababu alipewa pepa bali ni kwa sababu wewe ni kilaza, vinginevyo mnatakiwa kupata naye alama sawa yaani 100% wote. Tafakari na chukua hatua!
 
Hapa mwalimu wa physics, graduate wa monduli teaching college umejitahidi kujibu angalau kwa hekima! Sio yale majibu uliyompatia ZeMarcopolo........yalikuwa kama mtaro wa majitaka.

nipe acount namba yako na namba yako ya siri then ntakupa namna rahisi ya kupata kazi udom
 
Working environment bado ni unstabble pale.................... Usipalilie saaaaaaaaaaaaaana.
 
mbona rahisi sana! nenda na kadi ya ccm alafu ukifika sema wewe ni mpare!!!!.......af ujfunze kusema yes na sio no!.............uwe tayari kupigwa pcha ya ndan!!! *usiwe mchoyo
 
Hapa mwalimu wa physics, graduate wa monduli teaching college umejitahidi kujibu angalau kwa hekima! Sio yale majibu uliyompatia ZeMarcopolo........yalikuwa kama mtaro wa majitaka.
Huo ni mtazamo wako hasi tu,ila nushukuru unaweka wazi ili tukusaidie sisi tunaojua maana ya majibu yaliyo kama mtaro wa maji taka.

Zingatioa kuwa vitu vyote ni vizuri duniani isipokuwa mpaka vifanyike muda na mahali sahihi na mtendaji husika. Inzi akikutwa kwenye mtaro wa maji taka habugudhiwi coz yuko mahali sahihi, ila akikutwa ndani ya sufuria lenye pilau ya kuliwa atasemwa ni mchafu. Parachichi ni tunda zuri sana na ukila mahali safi muda muafaka watu tutakusifu. Lakini kalie hilo parachichi chooni tukushangae, au kapakae kwenye ngozi yako kama hujakimbiwa. mpaka hapo utajua majitaka ni yapi na maji safi ni yapi?
 
Sisi ambao hatujui njia za mkato tutaendelea kutumia hizihizi,ipo siku Mungu atanyosha na hakuna kukata tamaa mpaka.............
 
Ninahasira sana na watu wasiowezakujiamini. Kumbuka kwamba mwenzako kupewa mtihani hakukuzuiii wewe kupata 100%. akikushinda kwa alama yoyote haimaanishi ni sababu alipewa pepa bali ni kwa sababu wewe ni kilaza, vinginevyo mnatakiwa kupata naye alama sawa yaani 100% wote. Tafakari na chukua hatua!
dah, we mwalimu wewe, huwa unanifurahisha sana na majibu yako ambayo ni short, clear and with vivid examples!. yani wewe ni kama Yesu Kristo, unatoa lekcha kwa mifano halisi papo kwa papo. tukipata walimu 1000 kama wewe nchi ingekua mbali.
 
Ahsante sana mkuu, mimi ni mwalimu kweli na wala si utani. Nilimaliza Monduli T.T.C, Mchepuo wa PM enzi hizo mkuu wa chuo ni mtu mmoja maarufu kwa jina la DEF, alikuwa mtata sana- alikuwa hataki uzembe na uvivu na konakona katika harakati za kimaendeleo
 
  • Thanks
Reactions: GP
Back
Top Bottom