Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ninahasira sana na watu wasiowezakujiamini. Kumbuka kwamba mwenzako kupewa mtihani hakukuzuiii wewe kupata 100%. akikushinda kwa alama yoyote haimaanishi ni sababu alipewa pepa bali ni kwa sababu wewe ni kilaza, vinginevyo mnatakiwa kupata naye alama sawa yaani 100% wote. Tafakari na chukua hatua!
Huo ni mtazamo wako hasi tu,ila nushukuru unaweka wazi ili tukusaidie sisi tunaojua maana ya majibu yaliyo kama mtaro wa maji taka.Hapa mwalimu wa physics, graduate wa monduli teaching college umejitahidi kujibu angalau kwa hekima! Sio yale majibu uliyompatia ZeMarcopolo........yalikuwa kama mtaro wa majitaka.
tafuta kigogo wa pale akufanyie mambowanajamii naomba msaada kwa mtu mwenye anaweza kunipa direction namna ya kupata kazi za udom please ni pm.
dah, we mwalimu wewe, huwa unanifurahisha sana na majibu yako ambayo ni short, clear and with vivid examples!. yani wewe ni kama Yesu Kristo, unatoa lekcha kwa mifano halisi papo kwa papo. tukipata walimu 1000 kama wewe nchi ingekua mbali.Ninahasira sana na watu wasiowezakujiamini. Kumbuka kwamba mwenzako kupewa mtihani hakukuzuiii wewe kupata 100%. akikushinda kwa alama yoyote haimaanishi ni sababu alipewa pepa bali ni kwa sababu wewe ni kilaza, vinginevyo mnatakiwa kupata naye alama sawa yaani 100% wote. Tafakari na chukua hatua!
dah, we mwalimu wewe, huwa unanifurahisha sana na majibu yako ambayo ni short, clear and with vivid examples!. yani wewe ni kama Yesu Kristo, unatoa lekcha kwa mifano halisi papo kwa papo. tukipata walimu 1000 kama wewe nchi ingekua mbali.
wanajamii naomba msaada kwa mtu mwenye anaweza kunipa direction namna ya kupata kazi za udom please ni pm.