how to heal from a breaking relationship?


Kwangu ni hiyo namba moja tu ndo nilikuwa naizingatia, hizo zingine nimeziona kwa wadhungu zaidi - na nilikujakugundua ni kutokana na lifestyle yao ambayo ni quite different from ours
 
wewe ni mdogo wangu wa moyoni Eiyer wala siyo feki ma swt brother. me luv you ma bro.

Mwache huyo msaliti............nasikia kanunuliwa bajaj basi kajua Kaizer ndio shemeji pekee duniani...halafu wewe!!
 
Last edited by a moderator:
hiyo namba 4 sio lazima...bt namba 1 its tru..i believe kama ulikua na mtu for a very long time mkaachana mh u need at least a year to recover

A year ......¡! Mmmh hata alieondokewa na mume haombolez mwaka mzima,itakua mpnz tena ukute kakuacha cz o anothr gal....mi nadhan in relation kila m2 anauwezo wake,wngn wanachukulia kama k2 cha ziada wngn wanacomplicate na hai ndo wanaumia kiac cha kujiua...
Kwa tazamo wang kupona maumiv ya mapenz depends na coz of separation,na jimc mlivyolua cz wngn hata uchumna bado wanahudumiana kama wako kwny ndoa,na hapo ukute hata hujulikan hom,ukiachwa unadataaaaa
 
cathe hapana binadamu anakawaida moja kwamba jambo kubwa likimtokea na kureact soon basi huishia kuamua kwa hasira zaid badala ya kuamua kwa akili.

2)marafiki naamini mtu unakuwa nao tu ila inategemea wewe unawapa priority gani however kama huna marafiki basi its your due time to do so.

3) namba tatu kuna marafiki ambao wanamashodo and you know them watu kama hao lazima ujifunze jinsi ya kuish nao ili wasikuumize kwa mashodo yao.

4)haina maana kwamba unatengeneza marafiki ili uje upick hapo ila unatafuta marafiki ili wakuintatain. ni bora sana mara nyingi kupick hapo kwani in that group is where people can demonstrate there true habits. na hii ni nzuri sana but hukurupuki bali unakwenda nayo taratibu sana.
 
Last edited by a moderator:
Mwache huyo msaliti............nasikia kanunuliwa bajaj basi kajua Kaizer ndio shemeji pekee duniani...halafu wewe!!

kwani mdogo wangu wewe unataka nikununulie nini? mshahara wangu wa mwez huu ntautumia kwa kazi hiyo ma dearest true bro. si unajua jinsi nikupendavyo? me luv you sana ma bro.
 
kwani mdogo wangu wewe unataka nikununulie nini? mshahara wangu wa mwez huu ntautumia kwa kazi hiyo ma dearest true bro. si unajua jinsi nikupendavyo? me luv you sana ma bro.

Ninunulie simu ya kuslaidi na suruali ya kauboi....me lavu yu sister
 
nilishaumizwa sana..sasa hivi hata nikitendwa siumii.
i got 99 problems ila mapenzi si mojawapo
 
Tatizo haya mambo tunaongea humu halafu hata hujui unaongea na mtu wa umri gani, yupo kwenye uhusiano kwa muda gani, ana watoto wangapi, alishaachwa au kuachika mara ngapi, kabila gani, amelelewa kwenye mazingira gani... etc etc etc, yani mambo ni mengi!!, kifupi ni Upendo na mapenzi ya dhati kati yenu wawili, Hata mkikorofishana vipi ni rahisi kusameheana, We kama ulioa/kuolewa au upo kwenye uhusiano na mtu kwasababu ya kitu fulani ujue unapoteza muda tu. Goma likilia huna chako.
 
RIP king'asti
yaani mi nitamuambia nini wifi?
 

Theoretically inawezekana, practically mnh!!!...
Tried and tested the bitter truth...

Mending the broken heart haina formula ambayo ni applicable
kwa kila mtu, ...binafsi naamini malezi na makuzi yako pekee ndiyo
yanayoweza kukuokoa "mdomoni mwa mamba!"
 
Mbu unachokisema ni kweli lakini ni kwamba pia jf pia panatumika kama sehemu ya kutuelimisha ma dear na ndio maana tunafundishana hapa si unaujua?
 
Last edited by a moderator:
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…