how to heal from a breaking relationship?

eti Asprin msamaha wa nini dawa yako ni ndogo tu wote wa3 wakeze mchukueni akachezee klabu ya chicago bulls labda itampunguzia ashki.
Hahaha Chicago Bulls wana mchezo mchafu.

16-.jpg
 
uwiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiii....................jamaniiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiii.............. Asprin na platozoom kaka yangu wa moyoni wamechakachua thread yangu lol!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!! yani sasa mpaka na mimi nimeshaingia huko jamani?

Pole gfsonwin naona uzi umekwenda mrama!..
Back to ze topiki..kama alivyosema dadaangu Kaunga inategemea na Mmeachanaje?..Kuna break ups zengine kwa kweli zinahitaji 'rehabilitation' kabisa kwa sabb mnaachana ni a way ambayo akili inakuwa imechoka to the maximum..But all in all TIME IS BEST HEALER..Dont ever jump into another relationship b4 mind yako haijawa settled..ni muda gani ukae?..it depends na tragedy iliyokukuta!
 
Last edited by a moderator:

Hujui sredi yako imetonesha madonda ya watu.......hapa tunawapa vidonge na kuwa-heal hawa

man-commit-suicide-hanging-tree-01-500x270.jpg
 
Pole gfsonwin naona uzi umekwenda mrama!..
Back to ze topiki..kama alivyosema dadaangu Kaunga inategemea na Mmeachanaje?..Kuna break ups zengine kwa kweli zinahitaji 'rehabilitation' kabisa kwa sabb mnaachana ni a way ambayo akili inakuwa imechoka to the maximum..But all in all TIME IS BEST HEALER..Dont ever jump into another relationship b4 mind yako haijawa settled..ni muda gani ukae?..it depends na tragedy iliyokukuta!
SnowBall yaani huyu Asprin na platozoom hawa itabidi niwatafutie clab ya michezo wakaondolee stress zao huko. manake hapa siwaelewi kabisa.

back to the topic naona umesema kweli kabisa but je nini mtu kama akifanye ili aweze kuanza afresh after healing?
 
Bado sitaki kuamini kama kuna formula ambayo inaweza kuwa universally applied kwa wahanga wa mapenzi ili ku'resume' maisha yao tena...Uzoefu wangu unaniambia kuwa 'unapokuwa kwenye stress za mapenzi including break ups..please don't ever live in isolation'...because isolation is the sister to loneliness which are the mothers to suicides!
 
hapo kwenye bold ndipo ambapo tulikuwa hatujapagusa mkuu asante sana kwa kutupa somo zuri sana.
 
khaa! hii ya kwako nivea ni kiboko
ninakuambia inasaidia sana bunafsi nimecheka hivi hujawahi kuona mfano:mama alikimbiwa na baba au alipewa mimba akakataliwa ila anamjua baba watoto wanamuuliza baba yetu nani anawaambia alishakufa!!! kha ilhali anakatisha hapo mtaani kila siku?inasaidia kuondoa matarajio ya kitu maana kitu kikishakufa u have to forget about it gfsonwin
 
Last edited by a moderator:
Bado sitaki kuamini kama kuna formula ambayo inaweza kuwa universally applied kwa wahanga wa mapenzi ili ku'resume' maisha yao tena...Uzoefu wangu unaniambia kuwa 'unapokuwa kwenye stress za mapenzi including break ups..please don't ever live in isolation'...because isolation is the sister to loneliness which are the mothers to suicides!
SnowBall hivi sikuile ilikuwaje tena
 
Last edited by a moderator:
gfsonwin,hapo kwa red yaani natamani ungekua unaniona jinsi nilivyoshikwa na hasira ya gafulaaa.......daah basi tu aiseee
Tatizo la upande wa pili yaani kwa lugha ingine wanaume hawajui urafiki wa kampani tuuuu wao muda wote wanawaza dudu!!!!! Hata kama wewe utaonyesha huna mpango wa kuwa nae kimapenzi lakini yeye atafanya kila jitihada aende kusiko.....hapo ndio ninapoishia kuwa na utata kwa kila mwanaume ninae kutana nae loooh

Natafuta rafiki wa kiume wa company tuuuuu......hahahaaaa uwiiiiii nafwaaaaa
utaishia kubakwa kila siku
 
dawa ya moto ni moto, it depends ila kama a cause of this separation ni noma basi na wewe fanya noma tafuta gari lingine anza safari mpya, itajuana mbele ya safari - maisha ni mafupi sana please
 
Back
Top Bottom