platozoom
JF-Expert Member
- Jan 24, 2012
- 9,424
- 11,320
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Shosti najitahidi kuweka sura ya mbuzi haswaaaa lakini waaaapi.......hebu nipe maujanja walau. Si kwamba sina washkaji wanaume ninao watoka enzi hizo wengi tu na matani ya hapa na pale ila wanajua kabisa hawapati kitu. Tatizo ni hawa wapya ambao tunakuta ukubwani ndugu yangu,ndo mgogoro mtupuuuu!!!
Hahahahaha! Wife bana....haiwezekaniki eh? Labda uwe rafiki ya baba yako asee, maana hata makaka hatutabiriki LOL. Hata mie nakuunga mkono.
Na bado utalia sana
![]()
weye nani alikwambia kwamba ma swtlo ana hanging tummy kama huyu? yeye ni mtu wa six packs chezeya mtoa pancha wewe? tumbo kwake ni flat musculine and energetic.
Lol......yani wewe ndo hufai kabisa badala ya kuwafunda wanaume wenzio uwaambie kuwa wasiwe na tabia za mafisi wewe ndo kwanza unapigia msumari. Mume sio maneno hayo bana hebu saidia hapa kidogo,mimi yaani mkeo natafuta rafiki wa kiume lakini sio wa mapenzi ebhoo
Usidanganywe na umri.... hatutabiriki wanaume...Lol......yani wewe ndo hufai kabisa badala ya kuwafunda wanaume wenzio uwaambie kuwa wasiwe na tabia za mafisi wewe ndo kwanza unapigia msumari. Mume sio maneno hayo bana hebu saidia hapa kidogo,mimi yaani mkeo natafuta rafiki wa kiume lakini sio wa mapenzi ebhoo