how to heal from a breaking relationship?

how to heal from a breaking relationship?

kama c kweli bas ukwel unaujua!

Na bado utalia sana

cryingchild.jpg
 
Shosti najitahidi kuweka sura ya mbuzi haswaaaa lakini waaaapi.......hebu nipe maujanja walau. Si kwamba sina washkaji wanaume ninao watoka enzi hizo wengi tu na matani ya hapa na pale ila wanajua kabisa hawapati kitu. Tatizo ni hawa wapya ambao tunakuta ukubwani ndugu yangu,ndo mgogoro mtupuuuu!!!

hawa unawaambia from the very begging kwamba best sisi ni watu wa stari na kampani tu siyo kampani na kama hilo ndo wazo lako pse quit. sema naye ukweli kabisa wanaelewaga.
 
Hahahahaha! Wife bana....haiwezekaniki eh? Labda uwe rafiki ya baba yako asee, maana hata makaka hatutabiriki LOL. Hata mie nakuunga mkono.

Lol......yani wewe ndo hufai kabisa badala ya kuwafunda wanaume wenzio uwaambie kuwa wasiwe na tabia za mafisi wewe ndo kwanza unapigia msumari. Mume sio maneno hayo bana hebu saidia hapa kidogo,mimi yaani mkeo natafuta rafiki wa kiume lakini sio wa mapenzi ebhoo
 
weye nani alikwambia kwamba ma swtlo ana hanging tummy kama huyu? yeye ni mtu wa six packs chezeya mtoa pancha wewe? tumbo kwake ni flat musculine and energetic.

Unamdanganya hata kaka yako..........Unafikiri sikumbuki mwanzo mwa relation yenu mlivyokuwa!!

fatmullet.jpg
 
Lol......yani wewe ndo hufai kabisa badala ya kuwafunda wanaume wenzio uwaambie kuwa wasiwe na tabia za mafisi wewe ndo kwanza unapigia msumari. Mume sio maneno hayo bana hebu saidia hapa kidogo,mimi yaani mkeo natafuta rafiki wa kiume lakini sio wa mapenzi ebhoo

kwani huji kwamba siku hizi huyu Asprin toka agonganishe magari keshaanza kurukwa na akili?
 
Last edited by a moderator:
Lol......yani wewe ndo hufai kabisa badala ya kuwafunda wanaume wenzio uwaambie kuwa wasiwe na tabia za mafisi wewe ndo kwanza unapigia msumari. Mume sio maneno hayo bana hebu saidia hapa kidogo,mimi yaani mkeo natafuta rafiki wa kiume lakini sio wa mapenzi ebhoo
Usidanganywe na umri.... hatutabiriki wanaume...

163739_1670331470957_1017453659_1781181_6614776_n.jpg
 
uwiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiii....................jamaniiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiii.............. Asprin na platozoom kaka yangu wa moyoni wamechakachua thread yangu lol!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!! yani sasa mpaka na mimi nimeshaingia huko jamani?
 
Last edited by a moderator:
@gfsonwin umesahau hii unaassume amekufa hii pia inasaidia sana ,kujiheal haraka hahahaha
 
Tena Asprin hatuchagui rangi wala umbo............stress za nini kwa raha zetu
fat-under-dress.jpg
 
Last edited by a moderator:
Mtake radhi mume wetu wallaih akija shogako cacico hapa hamtaelewana na ule msamaha ataufuta!!!

eti Asprin msamaha wa nini dawa yako ni ndogo tu wote wa3 wakeze mchukueni akachezee klabu ya chicago bulls labda itampunguzia ashki.
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom